Muombe Mungu sana ukose pesa ufahamu tabia za watu zilivyo

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,738
Tabia za watu uwezi kuziona ukiwa na pesa.

Hata mpenzi wako hutamfahamu kama pesa zipo.

Uwezi kujua idadi ya ndugu, jamaa na marafiki kama pesa hipo.

Makosa yako mengi na matendo yako yanaweza kutunzwa na pesa bila tatizo.

Kusifiwa ni kwingi hata ukijamba hadharani utaambiwa pole ni mshituko au kuachwa ushuzi ukiangaliwa bila majibu.

Kwa maisha ya sasa pesa ndio inakupa uthamani na nuru maana dunia ya leo watu wanaangalia pesa
 
Watu wanateseka Kisa pesa hamna au huonagi nyuzi humu
Leo hii niombe eti nisiwe nayo duhh hapana aisee
 
Jiulize why wana sayansi, Wana wafanyia majaribio wanyama na si watu.

Watu tuna badilika Sana mzee, unafiki na maigizo ndio maisha yetu
 
Hii ni kweli niliwahi kumwambia mwanangu mmoja jaribu kuwa na rafiki mmoja au wawili tu hao mtasaidiana kwenye nyakati ngumu na nzuri..
Kuna wakati unapitia magumu unahitaji msaada wa pesa wale uliokuwa unawasaidia ukiamini ni wana watakusitiri huwezi kuamini wanachimba mazima..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom