100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 3,626
- 12,057
Mwaka 1997 IBM walitengeneza computer ikiitwa Deep Blue ikamshinda bingwa wa chess duniani aliitwa Garry Kasparov, watu wakaona dunia inaingia kwenye nyakati computer inakwenda kumzidi binadamu akili lakini si kweli, miaka ya1950' hadi 1960's kuna wanasayansi wakasema kuna robots zitakuja kufanya kazi kama mwanadamu matokeo yake walipata machine za kufulia, oven, vifaa vya kupika jikoni n.k, hadi leo haikutokea.
Artificial Intelligence ni ulaghai, ni brand, wafanyabiashara wapiga pesa Elon Musk na Billgate niliwasikia wakizungumza kuhusu hatari ya AI.
Lakini naona hao ni wafanyabiashara tu hakuna lolote, Elon Musk anasema AI ni hatari sana zaidi ya silaha za nuclear na watu wasiichimbe sana cha ajabu Musk ndio anaongoza msafara hivi sasa kufanya R&D juu ya robots zake za Tesla Bot.
Na wengi tunapoambiwa kuhusu AI tunawaza mfano wa machines au robots ambazo zina akili kumkaribia binadamu au sawa na binadamu zinaweza kufanya kazi, kuendesha gari, kufikiri , kukimbia na vitu vingi ambavyo mwanadamu hufanya, lakini hakuna kitu kama hiko. Na wengi wetu tunafikiri na kuogopa AI kwamba inakuja kureplace kazi nyingi.
Tech giants companies kama Google, Microsoft n.k wanaingiza pesa ndefu sana kupitia bidhaa za AI hivi sasa, bidhaa ikitoka ikitambulishwa tu kwamba ina AI basi tegemea watu kuitumia na kuinunua kwa wingi bidhaa hio.
Ukiingia youtube matangazo ni AI, Quora sasa wana AI, opera browser wana AI, software nyingi za kazi mfano microsoft office , photoshop, after effects n.k zina AI. Tech companies zinatembea na upepo wa AI si mchezo, hivi sasa si ajabu ukaenda kununua radio au Tv dukani na ukakuta imewekwa nembo kwamba inatumia AI.
Katika neno investors wameongoza kulitafuta google hivi karibuni ni AI, watu wana invest sana kwenye bidhaa za AI, nadhani ni biashara ya kwanza itawapa watu utajiri wa trillion dollar.
AI systems mfano ChatGPT zinakuwa trained kwa kulishwa data kwa kiasi kikubwa sana kutoka mtandaoni, kwanza hata ChatGPT yenyewe unapoiuliza huwa haifahamu ilichojibu kinamaanisha nini, ni kweli ama uongo, computer haipo emotion, computer haina critical thinking kama mwanadamu, AI tunaiweka kwenye automation, ni automated intelligence.
Mfano ChatGPT inapojibu huwa inaweka neno linalofuatia kwa kuangalia zaidi statistics kwa sehemu kubwa ni neno lipi limetumika zaidi linalofuatia, na hizi data ni binadamu kaandika zipo online, inachota mamia ya terabytes za data na kufanya pattern matching n.k kupata jibu.
AI ni Automated Intelligence na sio Artificial Intelligence kwa maoni yangu na nina uhakika na hilo.
AI inaweza kufanya specific tasks ambazo imekuwa programmed kufanya.
AI haina IQ, inafuata kile mwanadamu ame program ifanye.
AI siku zote itategemea ni kipi tuilishe, na vipi tuna i structure, AI ni computational mathematics applied to automation.
Movies na novels zimetudanganya pakubwa. Wafanya biashara wakubwa kama Elon Musk na maneno yao ya kutisha watu kuhusu AI ni ku hype wazidi kupiga pesa kiulaini.
Hakuna Intelligence ambayo ni artificial.