Mtu kukopa pesa mtandaoni na kukuweka kama mdhamini bila ridhaa yako ni sawa?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,066
40,725
1) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako

2) Anaposhindwa kulipa, wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni

3) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z akisheria wewe kama mdhamini.

Sasa najiuliza, hawa watu wamechanganyikiwa? Wakati anakopa sikushirikishwa wala kuambiwa lolote, ila ghafla bin vuu unaitwa mdhamini, hivi kuwa na ukaribu na mtu inamaanisha automatically weww ni mdhamini, hii imekaaje kaaje? 😂😂🤣🤣🤣

===========================
9F494254-A777-4391-BD19-AE5EC42670FA.jpeg

Hapo kwenye brown wanakiri kabisa kwamba wanakupa usumbufu kwa makusudi kabisa kwa jambo hambalo hukushirikishwa, hii itakuwa ni point nzuri sana kwenye judicial proceedings.

Sasa mimi nataka nikope elfu 10 halafu niweke namba ya Nape Nnauye kama mdhamini, maana ninayo, halafu silipi, na yeye aanze kufaidi matunda ya sheria zake...
 
Kama unapenda shari shari na haupo busy sana, washikati wewe. Itakupotezea muda na pesa kiasi ila unaweza otea bingo ukalipwa fidia.

Tunza meseji zao, calls zote record, wakijimix siku wakakutukana au kukutishia maisha fungua shauri.
Nimeshapigiwa simu kama mara 4 hivi, na wanatumia namba tofauti, na ni wakali hasa! Kwa kweli wananifanyia harassment mimi wakijua kwamba siwezi kuzima simu yangu, maana yule aliyekopa kawazimia simu, ni kweli namfahamu, lakini mimi sikushirikishwa lolote wakati anakopa.

Inabidi nianze mkakati wa kuwashtaki washenzy hawa, eti wananitishia kuepeleka taarifa zangu TCRA na kuanza kunikata moja kwa moja kwenye akaunti yangu ya pesa hadi deni liishe. Nasubiri watie mkono wachukue hata mia waone moto wake.

TCRA
 
Wa
1.) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako

2.) Anaposhindwa kulipa , wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni

3.) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z akisheria wewe kama mdhamini.

Sasa najiuliza, hawa watu wamechanganyikiwa? Wakati anakopa sikushirikishwa wala kuambiwa lolote, ila ghafla bin vuu unaitwa mdhamini, hivi kuwa na ukaribu na mtu inamaanisha automatically weww ni mdhamini, hii imekaaje kaaje? 😂😂🤣🤣🤣
Wanachemka sana,ila watajirekebisha!
 
Nimeshapigiwa simu kama mara 4 hivi, na wanatumia namba tofauti, na ni wakali hasa! Kwa kweli wananifanyianharassment mimi wakijua kwamba siwezi kuzima simu yangu, maana yule aliyekopa kawazimiansimu, ni kweli namfahamu, lakini mimi sikushirkishwa lolote wakati anakopa.., inabidi nianze mkakati wa kuwashtaki washenzy hawa, eti wananitishia kuepeleka taarifa zangu TCRA na kuanza kunikata moja kwa moja kwenye akaunti yangu ya pesa. Nasubiri watie mkono wachukue hata mia waone moto wake.
Hawawezi. Huo mkwara tu, we tafuta Mwanasheria mshikaji tu hafu muelekeze mchongo. Kama kuna hela atakuambua kama hakuna atakuambia.

Ila mkicheza bingo mnaweza piga. Unasema wamwnitukana wamenisababishia depression nikashindwa kutoka nje kutafuta hela kwa siku 7. Hasara ya shillingi million 10 hivi.
 
Shida ni kwamba,washkaji wanavuta kweli mpunga,bila kukushirikisha!
Aisee, mimi sijawahi kumshitaki mtu mahakamani kwa lolote lile! Ila kwa hili, itakuwa mara yangu ya kwanza, na mwanasheria ninae mzuri sana, na nitakaowashtaki ni mtandao wangu wa simu kwa wizi, kwamba wametoaje pesa kwenye akaunti yangu bila ridhaa yangu (namba ya siri)?!
 
1.) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako

2.) Anaposhindwa kulipa , wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni

3.) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z akisheria wewe kama mdhamini.

Sasa najiuliza, hawa watu wamechanganyikiwa? Wakati anakopa sikushirikishwa wala kuambiwa lolote, ila ghafla bin vuu unaitwa mdhamini, hivi kuwa na ukaribu na mtu inamaanisha automatically weww ni mdhamini, hii imekaaje kaaje? 😂😂🤣🤣🤣
Kilinikuta last month wakawa wananitumia message as vitisho ETI watanishitaki Kwa kosa la kushirikiana kutapeli Na Uyo mkopaji Mimi juju sijui chochote .....niliwatumia message nikawauliza mna nyaraka zenye Saini yangu zinazothothibitisha nlidhamini,,,wakati mnpeana pesa mlinishirikisha nikawaambia Mimi ndo nitaenda kuwashitak wao Kwa kunishutumu uongo Na vitisho.....wakaomba samahani wamekosea namba
 
Mimi siwatishii, mimi walllahi naenda kuwashtaki kweli, naweza kupata chochote labda, subiri waendelee kidogo nikusanye ushahidi vizuri, natafuta dokta wa akili anipime aseme nimepata depression sababu yao.

uzuri muda wa kuchezea ninao na pesa ya kuchezea ninayo, nitawatolea mfana kama case stady kwa wengine na hawatamini.
 
1.) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako

2.) Anaposhindwa kulipa , wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni

3.) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z akisheria wewe kama mdhamini.

Sasa najiuliza, hawa watu wamechanganyikiwa? Wakati anakopa sikushirikishwa wala kuambiwa lolote, ila ghafla bin vuu unaitwa mdhamini, hivi kuwa na ukaribu na mtu inamaanisha automatically weww ni mdhamini, hii imekaaje kaaje? 😂😂🤣🤣🤣
Hawawezi kuchukua hatua za kisheria kwa sababu wewe siyo co-signor.
Wewe ni reference, yaani mtu unaemjua.
Kama kweli unamfahamu, basi yeye pia hana kosa kusema kwamba unamfahamu.
Waambie tu sijamuona nikimuona nitamwambia, hlfu waambie nishamwambia kasema sawa, naomba kuanzia leo msipige tena simu hii, la sivyo nitawashtaki kwa harassment.
 
So as long as hawakunishirikisha wakati anakopa, na so as long as nilishawaambia kwa meseji na kwa mdomo kwamba naomba waainibughudhi tena juu ya hiko sababu siwajibiki nao kwa lolote, ila bado wanaendelea maliciously kunitishia na kunipa msongo wa mawazo kwa kutumia namba mgeni each time. Nitadeal nao kishiria.
 
Back
Top Bottom