Mwanaume ukipata chance ya kula pesa za mwanamke zile sana sharti huyo mwanamke asiwe mama yako au ndugu yako

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa.

Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa.

Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid tu revenge kwa tricky

Mchana nawapa mbinu tano za kuwinda na kunasa wanawake wenye pesa na kula hizo pesa
 
Na ndio maana vijana wengi sai Wanatumia muda mwingi kujiremba kama mabinti Kuwa smart kutafuta majimama ni true sio masihara Kuliko kutumia muda mwingi kutafuta kazi. Wapate ugali ili wawe wanaenda chooni mara kwa mara. GROW UP!
 
Kama mbinu mnazo malalamiko kila siku kuhusu wanawake ya nini, baada ya hizo mbinu hatutegemei kusikia tena mkidhalilisha wanawake, ni mwendo wa kukomoana tu mpaka kieleweke yani
 
Aliye pata nafasi ya kula hela alete stori, tujue ilikuwaje
 
Na ndio maana vijana wengi sai Wanatumia muda mwingi kujiremba kama mabinti Kuwa smart kutafuta majimama ni true sio masihara Kuliko kutumia muda mwingi kutafuta kazi. Wapate ugali ili wawe wanaenda chooni mara kwa mara. GROW UP!
Shida inaanzia kwenye hiyo kazi unayoitafuta ndani ya serikali hii ya Shishiemu
 
Basi ukishindwa kuzila asile zako piga Tako aondoke
(Kaja asubuhi na hela nimempa asa hapa hata sijui iweje)
 
Kama mbinu mnazo malalamiko kila siku kuhusu wanawake ya nini, baada ya hizo mbinu hatutegemei kusikia tena mkidhalilisha wanawake, ni mwendo wa kukomoana tu mpaka kieleweke yani
Una hela za kuliwa au ndio wale wale wa vocha,hujakaa sawa naumwa mara njaa inauma mara kodi ya nyumba mara gas imekata.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Huwajui wanawake wewe.. hata awe na hela bado utakula mizinga tu kama kawa. Nina mchepuko ana hardware kubwa na jamaa yake ni Don mkubwa kitengo ila bado vizinga vidogovidogo havikosi. Uzuri hana shida kubwakubwa
 
Una hela za kuliwa au ndio wale wale wa vocha,hujakaa sawa naumwa mara njaa inauma mara kodi ya nyumba mara gas imekata.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Sasa hapa huoni kama hilo swali mnatakiwa muulizwe ninyi wenye hizo mbinu za kula hela za wanawake, kwahiyo mmepanga mbinu ikiwa hamna uhakika hata kama hizo hela zenyewe wanawake wanazo au hawana, pathetic!!
 
Back
Top Bottom