pesa

  1. S

    JamiiForums Tanzania DED Tunduru kwanini huu ubaguzi katika kulipa pesa za likizo?

    Wiki iliyopita baadhi ya walimu walilipwa pesa zao za likizo baada ya nafikiri kulalamika humu jukwaani. Pesa hizo wamelipwa baadhi ya walimu, tunauliza kwanini ubaguzi huu? Kwanini baadhi walipwe na wengine wasilipwe. Je ni kwasababu ya rushwa au kujuana? Mheshimiwa waziri Mchengerwa...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania 2024 Utamaduni wa kukopana pesa ufe. Ni utamaduni wa kijima.

    Kadri ya ubepari unavyoenea duniani hali ya uhitaji wa fedha kwa mtu mmoja mmoja imekuwa kubwa mno. Sio wafanyabishara, sio wafanyakazi, sio watu wa vijiweni. Wote hao wanahitaji pesa kutatua changamoto zao za hapa na pale. Ukizoeana na mtu iwe alikuwa classmate wako au mulikuwa mukisali kanisa...
  3. ras jeff kapita

    JamiiForums Tanzania NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

    Wasalaam Leo ni siku muhimu watu wanataka kutoa fedha waka-enjoy na familia zao. Jambo la kusikitisha hampatikani online kwenye kutoa hela kwa mawakala na ATM Binafsi nilikuwa nawaamini sana sasa nimeanza kuwa na mashaka. Mnapotea hewani siku ya muhimu kama hii What a pity?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nipo na mawili kwenye kichwa; kisimbuzi au pesa na vyote sitaki kupoteza

    Mambo vipi wakuu kwema habari za siku ya mwaka mpya mmeanza vema, sawa sawa sasa mi nina ka jambo nimekaleta nipate ushari, Hivi kati ya Azam na Star times wapi wapo vizuri pia kuhusu vipindi vyao, matatizo yao, nk. Kwa upande wangu mimi natumia star times, ila baada ya Google nikaona na Azam...
  5. Nelibaba

    JamiiForums Tanzania Msituue kisa pesa za NHIF

    Hello, napaza sauti kuzitaka baadhi ya hospitali binafsi kuacha tabia ya kuifanya NHIF kama mradi wa kujipatia fedha kwa kuhatarisha afya za watanzania! Tafadhali zingatieni weledi na maadili ya kazi yenu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naweza kukopa pesa kwa kutumia fixed account?

    Habari za muda huu wakuu, nende moja kwa moja kwenye maelezo mafupi juu ya swai langu. Kwanza kwenye account yangu ya NMB kuna kama mil.3.5 hivi ambayo ipo kweny fixed accont. Sasa wiki iliyopita nilitaka kuitoa kwasababu muda wake wa kukaa kwenye hiyo account umeisha. Kuna rafiki yangu...
  7. nentewene

    JamiiForums Tanzania Tungo: Mapenzi ni Pesa

    Mapenzi ya leo pesa..usikubali kudanganywa, Usipo kua na pesa..mapenzi yatakuchanganya, Yaani bila hata kupepesa..mke utanyang'anywa. Kama bado huna pesa, hebu anza kupambana, Tena acha kujichosha, kutafuta vimwana, Tafuta iyo pesa, uepuke kutukanwa, Ukishafanikisha, utakula walo nona...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Habari za muda huu ndugu zangu. Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi. Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in taxation(TRA tax officer). Nmemaliza mwaka huu Bado Niko hapa dar kuzunguka kujikwamua kiuchumi. HISTORIA...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msuva Yanga wanapoteza pesa za wanachama na tajiri wao. KAISHA KACHAKAA

    Kuna rumours that Msuva amesign youn Africans baada ya kutemwa na js kabylie. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu. yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga. Kaisha timu ya taifa pia tumteme time is up. Afcon pelegrino ndani Msuva hapana. Hamna...
  10. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Nimekosana na rafiki yangu baada ya kumdai pesa niliyomkopesha

    Wasalaaam, naamini mu wazima wa afya. Wale mnaojiandaa na sikukuu basi ikawe njema kwenu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Wiki kama mbili nyuma kuna rafiki yangu ambae tumefahamiana kutokana na kazi tunazofanya kuwa za kufanana na muda mwingine kupeana deals mbalimbali zinapotokea alipatwa na...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara iwapo nchi itaacha kutumia pesa yake na kuamua kutumia dola ya Marekani?

    Argentina wamemchagua Javier Milei kuwa Rais wao mpya. Ni jamaa mwenye msimamo mkali wa kulia. Moja ya malengo yake ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi na mfumuko wa bei ni kuiua pesa ya Argentina(Peso), kuvunja benki kuu na kuanzisha matumizi ya Dola ya Marekani kama pesa rasmi ya nchi...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Wachezaji kudai posho na malupulupu yao huo sio utovu wa nidhamu kama mmewaahidi pesa alafu mnageuka na kuwasimamisha ni ulimbukeni

    Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu...
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Usioe kama hauna kipato cha kueleweka

    Habari zenu wakuu, Kuoa ni zaidi ya upendo, kuoa ni majukumu na sio kuitana Babe au Mahabuba. Kama hujajipata tafadhali nakuomba usiikimbilie Ndoa, maana utaumia na kuichukia hiyo Ndoa kilasiku kwenye maisha yako. Maisha ya ndoa yanahitaji pesa za kilasiku na hilo jukumu ni la kwako wewe...
  14. Influenza

    JamiiForums Tanzania BoT yawaonya wanaotumia pesa kutengeneza mashada ya maua ya zawadi

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeonya matumizi mabaya ya pesa ikiwemo wale wanaotumia pesa hizo kutengeneza mashada na maua kwa ajili ya kuwatunuku wapendwa wao. Akizungumza na Swahili Times, Meneja Msaidizi Kitengo cha Mawasiliano, Noves Moses amesema pesa inapotumika kufanya shughuli nyingine...
  15. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule za sekondari nchi nzima Tanzania wamchangia Rais pesa za form ya kugombea Urais mwaka 2025

  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, tukishafanikiwa kimaisha huwa tunawakumbuka kwa Shukrani Kauli, Pesa na Mali wale waliotusaidia Shidani?

    Labda tu GENTAMYCINE nisipate Kipato au Utajiri au Mafanikio ila nje ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake na Kunifanikisha nina List ya Watu wangu 35 na Watu Watano ( 5) wako hapa JamiiForums na hii ID yangu Wanaijua na kunijua ndani nje na hao 20 ni wa Kwingineko (Ndugu, Jamaa na...
  17. Kyakashombo

    JamiiForums Tanzania Ludovick Utouh: Tusijikombe sana, fedha ni za Umma sio za Rais

    Hii tabia tunayoisikia ya tunamshukuru sana Mhe. Rais na hata kupiga magoti, this is not right (hii si sawa) kwa kuwa hatuwezi kumshukuru Rais. Kwa kuwa Tanzania tuna culture (utamaduni) ya shukrani basi tuishukuru serikali na tusimshukuru mtu kwa kuwa hizi fedha na rasilimali ni fedha zetu...
  18. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Wanaotunza pesa ndani wachukuliwe hatua za kisheria

    Moja kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu. Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani. Ndiyo maana hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tamisemi huyo mkurugenzi wa Pangani ni mpigaji na wasaidizi wake asiachwe kabisa, mpaka leo ajira mpya hawajalipwa pesa za kujikimu

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Deogratius Ndejembi amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani, Isaya Mbenje na Watendaji walio chini yake kujitafakari juu ya mwenendo wa utendaji kazi wao kutokana na kushindwa kusimamia miradi inayotekelezwa kwenye Halmashauri hiyo ikiwemo...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Hakimu: Usipompa pesa mkeo akapendeza ni 'ukatili wa kiuchumi'

    Hiyo ni kauli ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, aliyoitoa katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na kueleza kuwa upo ukatili wa kiuchumi kwa mwanamke ambao hauzungumzwi sana. Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba...
Back
Top Bottom