pesa

  1. JamiiForums Tanzania Anaomba Ushauri: Alisalitiwa na mume wake wakaachana, Mume akaoa na akapata Pesa. Maisha yamekuwa magumu anataka kuwa Mchepuko

    Habari wana Jukwaa, Nataka kushiriki nanyi kisa changu. Mimi na mume wangu tulikuwa tunapendana sana, lakini kulikuwa na tatizo kubwa—hakuwa mwaminifu. Alikuwa akiendekeza wanawake wa nje ya ndoa yetu. Kwa kweli, nilijaribu kuvumilia hali hiyo, lakini mwisho wa siku, niliamua haiwezekani tena...
  2. JamiiForums Tanzania Pesa X: Kampuni ya ukopeshaji mitandaoni inayolimbikizia watu madeni ya kubumba

    Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoto za kwenda Marekani au Ulaya, pesa zipo lakini kwenye suala la wanawake mtapata taabu sana. Nchi yetu ni pepo ya mapenzi, tatizo ni uchumi

    Marekani / ulaya / Australia / Canada yani kwa ufupi nchi za wazungu kuna ajira nyingi sana, kupata pesa ni juhudi zako tu, ni kawaida kukuta mtu anafanya kazi za kipato cha chini zisizohitaji elimu ya chuo mfano kazi za kwenye ma godown malipo elf 40 kwa saa, Tatizo la wenzetu wamekuwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Hayati Magufuli alitaka kunipa uwaziri na pesa lakini nilikataa

    Katika muendelezo wa kutupa makombora, vijembe, hasira na kuonyesha namna CHADEMA ilivyojaa ubabaishaji na uhuni uhuni pamoja na kukosa viongozi wenye kuheshimika na kutoa muongozo. Mchungaji Peter Msigwa aliyekuwa mbunge wa Iringa mjini na mwenyekiti wa kanda ya Nyasa na mjumbe wa kamati kuu...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Wasanii wasitumike ovyo na wanasiasa kipindi cha uchaguzi kwa kutanguliza pesa bali waangalie sera na maono ya wanasiasa hao katika kuleta maendeleo

    Tanzania ni miongoni kati ya nchi zilizobahatika kuwa na wasanii wengi sana wazuri, ambao ni wasanii wakubwa na mashuhuri ndani na nje ya nchi. Lakini pia kwa asilimia kubwa ya wasanii wetu hao, wengi wamekuwa ni wasanii wenye ushawishi mkubwa sana kwenye vitu mbali mbali vingi sana ikiwemo...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Fedha za nauli ya likizo kwa waalimu inalipwa lini Magu DC?

    Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024. Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri ya Wilaya ya Magu kabla shule hazijafungwa; tukitarajia kwamba malipo yangefanyika mapema au mara...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Lissu amejifunza nini kujitokeza kwa watu wachache sana kumchangia pesa za kununua gari la kifahari?

    Ndugu zangu Watanzania, Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi. Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama...
  8. JamiiForums Tanzania Tuendelee kutafuta pesa wakuu

    Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
  9. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Walimu wauza Rasilimali zao kupata pesa za uhamisho

    Walimu zaidi ya 50 kutoka Katika shule za msingi zipatazo 46 katika Tarafa mbalimbali Wilayani Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuuza Rasilimali zao kama vile mbuzi, kuku na baadhi ya vitu vya ndani na wengine kuingia kwenye mikopo ili kuweza kupata pesa kwa ajili ya kujihamisha wao...
  10. JamiiForums Tanzania Application za kutoa mikopo wanapata wapi haki ya kuingilia faragha kwenye simu ya mteja na kuhack majina?

    Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo. Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina kisha kutuma jumbe za udhalilishaji yani leo nimevuliwa nguo Wanajamvi wenzangu daah! What a shame ila...
  11. JamiiForums Tanzania Wazo: Serikali iruhusu kilimo cha bangi chini ya utaratibu maalumu (Bangi ni Pesa)

    Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi) Naomba tuelewane kuwa hata petrol ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wetu lakini wapo watu ambao huitumia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanafunzi wenye Account namba za CRDB hawajapata pesa kutoka HELSB?

    Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hasa wale wa mwaka wa kwanza na watumiaji wa accounts za CRDB hadi sasa hawajapata boom Lao la 4 hii inasababishwa na nini wakuu?
  13. W

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bima ya Afya kwa kila Mtanzania suluhisho kwa watanzania wanaokosa matibabu sababu ya pesa

    Ni kwamba hakuna mtanzania asiyejua adha wanayopata watu wa kipato cha chini pale wanapougua magonjwa mbalimbali. Serekali na Wizara ya Afya waje na sera ya kumpatia kila mtanzania bima ya Afya ili kuondoa adha hii na hii kupiga tadhimini na kujua namna gani fedha zitapatika ili kufanikisha...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiachwa achika

    Mwaka jana kuna binti aliniacha ghafla kupitia sms nanukuu "D nimefikiria nimeona hatuwezi fika mbali naomba tuachane" hapo ni baada ya dk kadhaa za kuambiana tunapendana akanipiga block kuanzia kwenye simu mpaka kwenye mitandao yake ya kijamii nikawa sina direct access ya kuwasiliana naye siku...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Uchakavu wa noti za fedha yetu Watanzania

    Wakuu habari? Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja, elfu mbili, pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi watanzania wa kawaida tunaliona madukani, sokoni na kwenye daladala, unapotoa fedha kununua bidhaa au...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Wamchangia Mbunge Babu Tale Pesa Ya kuchukulia Fomu ya Ubunge Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja wao na kwa hiyari ya mioyo yao kumchangia Mbunge wao pesa ya kuchukulia Fomu ya Ubunge hapo mwakani...
  17. JamiiForums Tanzania Fixed Deposits Account, UTT-Amis ni njia nzuri za kutunza pesa LAKINI SIYO uwekezaji abadani

    Salamu Waungwana. Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida au tuseme wa kati. Kwa mda nimekuwa nikiweka pesa kwenye fixed deposits account za mabenk tofauti na hata UTT-Amis. Nimeweka CRDB (Mzigo Flex) ambao wanatoa riba ya 9% annually, TCB ambao wanatoa 11% annually and UTT-Amis ambao wanatoa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walinzi mgodi wa Magesa hatujalipwa mishahara zaidi ya miezi 3, muhusika anasema hawezi lipa sababu kazi zilisimama, lakini kazi za ulinzi hazikukoma

    Nina fanya kazi kazi katika Mgodi wa Magesa Gold mine uliopo Nyamatagata wilaya ya Geita mkoani Geita. Changamoto iliyopo ni kwamba; tuna zaidi ya miezi mitatu (3) hatujapata mishahara, mgodi ulikuwa umesimama uzalishaji kutokana na changamoto ya mvua zilizokuwa zinaendelea kunyesha lakini sisi...
  19. JamiiForums Tanzania 'Nahitaji sana pesa' kauli hii ni ya kila asiyenazo za kukidhi japo mahitaji yake ya lazima

    Kauli hii ni ya kila asiyenazo za kukidhi japo mahitaji yake ya lazima. Kauli hii hutamkwa hata na wale wenye nazo za kukidhi ila hazijawakinaisha. Nikisema nazihitaji, mtauliza tofauti yangu na wao ni ipi ama ni nini? Nahitaji pesa ili niikomboe kesho inayonitafuna sana moyoni. Ningepewa...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania wamekosa chama cha upinzani. Chama tawala kinajisimamia na kujikagua. Mbowe na CHADEMA yake wanawaza pesa tu

    Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi. Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala! Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…