pesa

  1. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Pesa ina uhai na hupenda kuheshimiwa, wahenga walisema

    Ukipata pesa iheshimu, si kwakua una mamlaka nayo basi uitumie unavyotaka, hapana. Kabla hujatumia pesa jiulize Kwa nini? Nani? Wapi? Wakati gani? Ukishapata majibu yapime yakileta maana ndiyo utumie pesa. Pesa ina uhai na inaona matumizi. Kama matumizi yako ya pesa ni mabaya inakimbia bila...
  2. toplemon

    JamiiForums Tanzania Huwa unatumia kiasi gani cha pesa kwa siku?

    Tuambizane hivi kwa siku huwa unatumia shilingi ngapi kwa matumizi yako? Mimi kwa siku huwa natumia 2000 tu yaani nikizidisha sana 3000 tena hapo naona nimevuka kiwango Vipi wewe mwenzangu? Sent using Jamii Forums mobile app Update:Maisha yamechange sasahivi natumia 6000 per day weekend ndo...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unapomkopesha mama mwenye nyumba pesa; ni ngumu kumdai

    Wakati ninaanza maisha nilipanga nyumba za kanisa la Kilutheri, nyumba zenyewe ziko kwenye prime location. Alikabidhiwa bwana mmoja na mkewe kuziangalia. Nyumba zilikuwa mbili kubwa zenye servant quarter. Jamaa alipangisha zote kama nyumba nne kipekee wakati ilitakiwa kila anaechukua nyumba...
  4. Mk54

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, hili la Kangi Lugola hujatenda haki. Sheria ya Uhujumu Uchumi inawahusu wananchi tu?

    Kwa Masikitiko Makubwa Kabisa! Japo Waziri wa Mambo ya Ndani aliamua kujitoa akili na kuonesha Immaturity mbele ya kadamnasi kwa kuongea vitu ambavyo kimsingi alikuwa akijielewa mwenyewe. Hata hivyo, halikumzuia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...
  5. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

    Kila mtu anawaza pesa, kila mtu kichwa chake ina picha ya mafanikio na asilimi 90% ya hawa watu wote wanaowaza pesa na mafanikio na maisha mazuri hufikiri pesa inapatikana kwa kufanya biashara tu, labda auze kitu fulani ndipo apate pesa. Kuna njia nyingi za kupata pesa kwa wewe ulie na mtaji...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Wanapotukosoa tunawatukana na kuwaita mabeberu, jina linabadilika na kuwaita wafadhili wetu wa maendeleo mara tu wanapoanza kutugawia pesa!

    Ni tabia iliyozoeleka kwa watawala wetu wa serikali ya awamu ya tano kujihami na kuwaita wazungu wa nchi za nje, kuwa ni mabeberu, wanapokuwa wametukosoa katika uimarishaji wa demokrasia, uhuru wa wananchi kujieleza na tunashauriwa tuzingatie haki za binadamu. Lakini kitu cha ajabu ni pale...
  7. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Laini nyingi sana za M-Pesa na Tigopesa hazitafanya kazi kuanzia leo

    Hii ni hasara, laini nyingi za MPESA na TIGO pesa zilikuwa zinauzwa mtaani kwa sh 100,000 au zaidi ya hiyo, unakuta mtu kanunua laini yenye majina hata hamjui aliye isajili, wengi walifanya biashara hiyo ya MPESA na TIGO PESA kwa laini zisizo zenye majina yao, leo zimefungwa, watapata wapi laini...
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Pesa za wale ambao laini zao zitafungwa zitakuwa salama kwa muda wa miezi 3 tuu

    IKIWA leo ni mwisho wa kusajili laini za simu, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa fedha za Watanzania ambao laini zao za simu zitafungwa, zitakuwa salama kwa muda wa miezi mitatu. Baada ya hapo iwapo watashindwa kufungua laini zao za simu, wateja hao watalazimika kwenda kwa...
  9. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    Habari kubwa katika kipindi hichi kwa upande wa fedha na uwekezaji ni cryptocurrency au kama inavyofahamika kwa Kiswahili fedha za kidijitali. Aina hii ya fedha imewavutia wengi siyo kwa sababu ya matumizi yake, bali kwa jinsi thamani yake inavyokua kwa kasi na hivyo wengi kuona ni sehemu rahisi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Laini za simu kufungwa, akaunti za pesa kubaki

    Tunajua laini za simu szisizosajiriwa ikifika 31Desemba Kisha 20Januari 2020, zitafungwa. Tunajua serikali ilipitisha na kuridhia laini za simu kuwa akaunti za pesa pia Tunajua simu ikifungwa akaunti ya pesa haiwezi kutumika, maana unaanza kuwa na laini ndio upate akaunti ya pesa na sio...
  11. BASIASI

    JamiiForums Tanzania CAG tunaomba ukague hizo pesa za wasanii kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii

    Nimefuatilia sana majibishano ya baadhi ya viongozi tukajua n bifu za kawaida. Sasa kwa yanayoendelea kila msanii anakana hajapewa hela jamani tunaomba hii hali ikaguliwe na CAG wetu na jambo hili liwekwe wazi ama bungeni ama kwenye vyombo vya habari. Leo mtaruhusu haya atakuja mwingine...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Isaya Mwita ni kikwazo cha CCM kuchota Pesa ya uchaguzi kwenye Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, ndio chanzo cha kuwekewa zengwe

    Wakuu hii ndio sababu kubwa ya CCM kutaka kumuondoa Meya wa Jiji la Dar es Salaam , hakuna sababu nyingine yoyote ile. Mwita anatuhumiwa kuzuia matumizi ya zaidi bil 5 ambazo ni mgawo kutoka UDART, Je, ni matumizi gani hayo yaliyotakiwa kufanywa na kwanini yamezuiliwa ? Hakuna mwanaccm...
  13. MAFILILI

    JamiiForums Tanzania Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita Meya anyang’anywa gari, ofisi yafungwa. Adai kuwa yeye bado ni Meya halali

    Meya Jiji la Dar es Salaam, nchini Tanzania Isaya Mwita amejikuta njia panda baada ya kunyang’anywa gari alilokuwa akilitumia ambalo linamilikiwa na halmashauri hiyo muda mchache baada ya uamuzi wa mkutano mkuu kutoa uamuzi dhidi ya tuhuma dhidi yake. Mkutano huo umefanyika leo Alhamisi...
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Fahamu namna ya kujua kirahisi sehemu yenye mzungunguko wa pesa Tanzania

    Ukitaka kujua wapi Kuna mzunguko mkubwa wa pesa angalia wafanyabiashara wafuatao Kama wapo wengi 1.Wahindi 2.Wachaga 3.Wapemba 4.Waarabu 5.Wakinga Pia Ukiona eneo Lina Baa nyingi mzunguko wa pesa eneo Hilo Ni mkubwa Pia Ukiona eneo Lina makanisa au misikiti yenye majengo mengi makubwa na watu...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni wa Uganda akipigiwa magoti na wazee huku akitoa pesa kwenye bahasha za khaki

    Rais Yoweri Kaguta Museven wa Uganda akiwa ameketi huku wazee wakimpigia magoti na kupewa chochote kwenye bahasha ya kaki. Ikumbukwe kuwa uchaguzi nchini Uganda unatarajiwa kufanyika mwakani February 9, 2021. Kiongozi huyo wa taifa la Uganda ameongoza Uganda kwa takribani ya miaka 34 hadi...
  16. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Kuna wanasiasa wanaouza heshima zao kwa sababu ya pesa. Ukiwapa pesa watatukana kweli kweli, wako tayari kusaliti nchi

    Hawa watu huwa wanapewa pesa kwa masharti ya kuongea maneno waliyoandikiwa na wafadhili wao. Hii nimeifananisha na tabia ya jamaa mmoja wa nchi ya Tanzania alikuwa akilipwa na ACACIA kuitukana Serikali. Jamaa waliomtuma kuongea yale maneno walimchagulia hata matusi ya kutukana. Kama ilivyo...
  17. Bonde la Baraka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njoo nikufundishe njia za kumwacha kwa aibu msichana mpenda pesa

    Kwa dunia ya leo iliyojaa technology mabinti wengi hasa wa bara la Afrika wamejaa tamaa. Imefika wakati wamejigeuza kuwa bidhaa. Kila mmoja kajipa level yake ya uchunaji. Tamaa ya nguo za gharama, laptops, simu, viatu, handbags, gari n.k vimesababisha waone K zao ni bidhaa. Mwanaume mwenzangu...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

    Majukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto. Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Ingekuwa amri yangu wanaotengeneza pesa bandia ningewakata "korosho zao"

    WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango (pichani) amesema wanaohujumu uchumi kwa kutengeneza noti bandia na kuzisambaza, ingekuwa amri yake angewakata ‘korosho zao’ kwani watu hao ni wabaya na wanahujumu uchumi wa nchi. Waziri Mpango alitoa kauli hiyo juzi jijini hapa, wakati akizungumza...
  20. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Huwa mnamalizaje pesa kwenye pombe wakati Mbogo inauzwa Tsh 500 na Faru Tsh 600?

    Mbona pombe ni bei nafuu sana? Mnaosema inamaliza hela, huwa inamalizaje?
Back
Top Bottom