pesa

  1. Mkulima na Mfugaji

    Nimetoa pesa kwa makato kidogo

    Leo nimetoa pesa kwa wakala, kwenye simu nilikua na 50000. Wakala akanambia tumia njia ya kawaida Kama unatuma pesa akanipa namba ya kawaida, kwenye kiasa akanambia weka 49550 kweli nikaweka kwenye makato nikakatwa 410 Sasa nilikua nataka kujua hizi ni aina gani ya laini na utaratibu wa...
  2. D

    Tunamtaka Hersi ampe mshahara mzuri Mudathir Yahya

    Mudathir Yahya: Nyota Inayong'ara wa Young Africans SC here is why?? # Uwanjani: Uchezaji wa Kusisimua Mudathir Yahya amekuwa akiwasha moto uwanjani. Uwezo wake wa kubadilisha mwelekeo, kuona vizuri uwanjani, na kudhibiti kiungo cha kati unamfanya kuwa mchezaji wa pekee. Kuanzia kuzuia pasi...
  3. G

    Mabilioni ya pesa inayoshinda simba ligi ya caf ikiwemo bilioni 5 ya African super League waliyopewa mwaka jana zinaenda wapi ?

    Ni ubahili, ubadhilifu wa fedha, kuna chuma ulete, au ? Simba imekuwa klabu ya kushinda mabilioni kwa miaka kadhaa kila inapoishia robo fainali caf, Na mwaka jana walipewa bilioni 5 za kushiriki super league. Matunda ya hizo pesa mbona hayaonekani ?
  4. Kaka yake shetani

    Utafutaji wa pesa hapa duniani kuna wengine ni kama gereza na wengine happy day

    ule msemo toka kwenye biblia Maneno ya Paulo “Asiyefanya kazi, asile” (3:10).ulilenga watu fulani humu duniani kwakeli yani kuna wengine kuanzia January mpaka December yeye ni kutafuta mkate wa kila siku. utafutaji hapa duniani wengine kwao ni gereza watabaki kuwa watumwa wa pesa mpaka kifo...
  5. Raia mpya

    Mwanamke kuomba hela ni ishara kuwa hakupendi?

    Salaam ndugu zangu kaka na akina dada, naomba kuuliza; hivi ni kweli mwanamke anayekupenda kwa dhati kutoka moyoni hawezi kukuomba hela? Akina dada hivi unaweza kumuomba pesa mpenzi wako unayempenda kutoka moyoni?
  6. Kaka yake shetani

    Muombe Mungu sana ukose pesa ufahamu tabia za watu zilivyo

    Tabia za watu uwezi kuziona ukiwa na pesa. Hata mpenzi wako hutamfahamu kama pesa zipo. Uwezi kujua idadi ya ndugu, jamaa na marafiki kama pesa hipo. Makosa yako mengi na matendo yako yanaweza kutunzwa na pesa bila tatizo. Kusifiwa ni kwingi hata ukijamba hadharani utaambiwa pole ni mshituko...
  7. Roving Journalist

    Sagini: Wenye vikundi muandae miradi itayowawezesha kukopa pesa ndefu nawapigia debe

    Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amewataka Wananchi waliopo kwenye Vikundi kuandaa miradi mikubwa itakayowawezesha kukopa kiwango kikubwa cha fedha za Serikali isiyokuwa na riba. Akizungumza Februari 21, 2024 katika hafla fupi ya kuvunja...
  8. Brain Kingdom

    Kama haumiliki gari mjini wanawake watakuona jau, labda uwe na pesa za mupemupe baongezee, botebote

    Habari nyote (Waguma), Hii ndio Dunia ilivyo mjitahidi uwe na gari hata kagari aina ya IST katakusaidia usionekane mnyonge na usipitwe na fursa ya pisi za mjini. Hio ndiyo kanuni hirizi ya mjapani hainaga punch ikienda imeenda. Tuendelee kuliombea taifa. Natamatika Wadiz
  9. G

    Financial freedom: Shilingi bilioni 1 inaweza kumfanya mtu mwenye nidhamu ya pesa aishi maisha standard mpaka 2060?

    Muhimu: thamani ya pesa inashuka kulingana na muda, shilingi 50 ya 2000 ilikuwa nauli ya daladala kwenda na kurudi lakini hauwezi fananisha na ya 2020 onayonunua pipi moja tu. Ikiwa mtu ana sifa hizi. Kashajenga umri miaka 35.... watoto wanne: first yupo la tano, second yupo la nne, third...
  10. MFALME WETU

    Pesa iko overrated

    kila kitu kina thamani kama hauna. Kipindi nipo mdogo nilikua na imagine the way ntavokua naspend nikipata hela kama kujenga jumba la kifahari, kudrive ndinga kali, kubadili wanawake na safari nyingi za nje ya nchi zisizoisha but guess what? things turned out to be against my imagination. Hizi...
  11. Mto Songwe

    Kazi ya pesa ya mwanamke ni kufanya nini?

    Kwa hali kama hii kazi ya pesa ya mwanamke inakuwa kufanya nini sasa kwake? Hawa wanawake wa kisasa wanazaliwa automatic walemavu au?
  12. R

    Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

    Salaam, Shalom!! Historia inatuambia, Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini akichunga Kondoo wa baba yake aliyekuwa mfugaji na Mwananchi wa kawaida. Urais au Ufalme ni title na Cheo Cha Mungu Mwenyewe, ndio maana waisraeli walipoomba wapewe mfalme, Mungu alisema, watu Hawa wamenikataa...
  13. C

    Kwanini sipati mwanamke wa kuoa na wakati nina pesa nyingi?

    Kwema wakuu, Sijui tatizo itakuwa ni nini mpaka sasa sijapata mwanamke aliyekubali nimuoe. Ishu ya uchumi na pesa niko vizuri sana maana pesa kwetu sio tatizo zipo za kutosha. Nisaidieni wakuu nijue nafanyaje. Najiuliza nikifa pesa zangu atarithi nani?
  14. FRANCIS DA DON

    Mtu kukopa pesa mtandaoni na kukuweka kama mdhamini bila ridhaa yako ni sawa?

    1) Mtu anakopa pesa mtandano kisha anaandika namba yako kama mtu wake wa karibu bila ridhaa yako 2) Anaposhindwa kulipa, wale waliomkopesha wanaanza kukupigia simu eti uwasaidie kumfikishia taarifa kwamba alipe deni 3) Baada ya hapo anaposhindwa kulipa deni, eti wanatishia kukuchukulia hatua z...
  15. Mjanja M1

    Katibu Tawala Songwe: Mke mwenye pesa haachwi kisa Mchepuko

    Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amewashauri Wanawake kujiimarisha kiuchumi ili kuwa na maamuzi katika Familia huku akisema Wanawake wakiwa na fedha itakuwa ngumu kuachwa na Wanaume zao na hata kama Wanaume zao wakiwa na michepuko ila hawatowaacha wa njia kuu wenye pesa...
  16. Kaka yake shetani

    Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  17. S

    Kiasi gani cha pesa uliwahi kuliwa kwenye DUBWI mpaka ukachanganyikiwa?

    Kuna watu wanaliwa kwenye dubwi mpaka wanachanganyikiwa. Nishashushudia jamaa ameliwa laki 2 ya mtaji wa biashara ya mke wake kwenye dubwi. Mkewe alimtuma akamnunulie vifaa vya kupikia vitafunwa kwa ajili ya biashara na ndo pesa pekee waliyokuwa nayo. Jamaa kapita karibu na dubwi akapata...
  18. Kijana LOGICS

    Mwanaume ukipata chance ya kula pesa za mwanamke zile sana sharti huyo mwanamke asiwe mama yako au ndugu yako

    Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa. Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa. Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid...
  19. ankol

    Nilivyomchangia pesa ya harusi mpenzi wangu bila kujua

    Daah ama kweli ule usemi wa fear woman una ukweli. Nilikua na mpenzi wangu mashallaah navimba naye kitaa. Mtoto kachanganyia mama mmoroni baba mbongo mweupeee. Full kuvimba naye mtaani kama hamo vile. Siku zinakatika kila siku ananihimiza nimwoe wakati mi mpango sina, (nakula kisela). Si...
  20. 100 others

    Artificial Intelligence ni ulaghai

    Mwaka 1997 IBM walitengeneza computer ikiitwa Deep Blue ikamshinda bingwa wa chess duniani aliitwa Garry Kasparov, watu wakaona dunia inaingia kwenye nyakati computer inakwenda kumzidi binadamu akili lakini si kweli, miaka ya1950' hadi 1960's kuna wanasayansi wakasema kuna robots zitakuja...
Back
Top Bottom