Habarini wana JF, naomba kufahamishwa aina ya sabufa inayodumu kwa muda mrefu na yenye mziki mnene. Nimefanikisha vihela kadhaa hapa sasa sijui nichujue aina gani.
Pia kama ukiniwekea na kabei (bei ya mkulima kuanzia sh.50,000/= hadi 200,000/=) inaweza kuwa rahisi hata kumuagiza mtu aniletee...