Wazee wa series, nje ya The Queen of the South naomba series nyingine nzuri

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,726
2,000
Nimetazama the queen of the south, nacos seal pia. ya Naomba series nyingine nje ya hizi lakini zinazoendana na hizi.

Pia kama kuna mtu anajua series zenye hadhi ya game of thrones au spartacus pia naomba anitajie.
 

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
7,984
2,000
Kuna series moja inaitwa Queen Sono ni ya South Africa Ni noma Sana utajuta kuitazama Ina mkono alafu Ina story nzuri pia Zanzibar Ni sehemu ya hii series imeshootiwa Kuna sehemu pia wanaongea kiswahili.
Nafaka cocastic
 

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
8,014
2,000
Gangs of London...hii noma sana...imetoka juzi tu..

The city of London is being torn apart by the turbulent power struggles of the international gangs that control it and the sudden power vacuum that's created when the head of London's most powerful crime family is assassinated.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom