Wanabodi,
Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM.
Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
Nimempenda sana Membe. Ukweli nakipenda sana Chama changu cha Mapinduzi yaani CCM. Lakini pia sioni ubaya wa upinzani na zaidi Membe kanibadilisha. Nilikuwa nikimpalilia mno Tundu Lissu lakini kwa sasa ni Benard Membe na Tundu Lisu ndiyo wanashindania kura yangu. Ninajua sana kuwa ni kura moja...
Kuna watu hususa kuhudumia wateja wakorofi na wenye roho mbaya
Huyu mhudumu alijikuta akipata utajiri kwa kuhudumia mteja mwenye roho mbaya.Kuna la kujifunza kwa wahudumia wateja
Wakuu mko salama!
Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing.
Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor.
Mfano nina design...
Rais Magufuli akijibu swali la Sojo, MNEC kutoka Songwe aliyesema kwamba ametumwa na wanasongwe kuwasemea kuwa wanasononeka pale ambapo wapinzani wanapohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kuwaacha wanachama ambao walikipigania chama kufa na kupona 2010-2015, wanavunjika moyo wanapoona...
Wadau naomba tushare sehemu nzuri kwa hapa Dar ambazo zinawapishi wazuri wa kitimoto tuweze kuwa tuna badili viwanja.
Majina ya sehem na location itapendeza zaidi.
--------
Pitia link hizi
Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo
Tujuzane machimbo yetu pendwa ya nyama ya...
Civics=C History=C. Biology=C Chemistry=C English=C. Kiswahili=C. Geography=D. Math=F. Div(III) point 22. 2019. Ushauri wenu muhimu wadau katika kufanya maamuzi
Mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na kupata DvsnIII 25
CIVICS - 'C'
HISTORY - 'C'
GEOGRAPHY - 'C' KISWAHILI- 'C'
ENGLISH - 'D'
BIOLOGY - 'D'
B/MATH - 'F' tukasubiria labda anaweza kupata selection ya Advance lakin hajachaguliwa, baada ya kushindikana hapo tukaona bas sio vibaya ikiwa ataenda...
Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies "
Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali
Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
Habarini wana JF, naomba kufahamishwa aina ya sabufa inayodumu kwa muda mrefu na yenye mziki mnene. Nimefanikisha vihela kadhaa hapa sasa sijui nichujue aina gani.
Pia kama ukiniwekea na kabei (bei ya mkulima kuanzia sh.50,000/= hadi 200,000/=) inaweza kuwa rahisi hata kumuagiza mtu aniletee...
Wakuu,
Kuna sehemu vijijini nimeona wanafunzi wa shule ya sekondari (day) wanapata shida sana, tatizo mojawapo nililoliona ni makazi yao ya kupanga kuwa duni. Sasa nikawaza kuwasaidia hawa wanafunzi kwa kujenga hostel simple kwa ajili yao.
Plan yangu ni kila mwanafunzi awe na chumba chake --...
Tangu awamu ya tano iingie madarakani kuna mabadiliko mengi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu. Binafsi kama mtanzania mzalendo nahuzunishwa na tabia za baadhi ya taasisi za elimu kufanya udanganyifu wa mitihani.
Mhitimu wa darasa la saba anafaulu vipi kwa daraja B na C wakati...
Kama kuna Mechi ambazo zinaenda kuwa ngumu kwa Simba Sports Club ( ambayo hata Mimi Mzukulu ) naipenda na Kuishabikia basi ni hizi Kumi ( 10 ) zilizobaki na hasa hasa hii ya Leo na zile zingine Tatu ( 3 ) ambazo zote tutazicheza katika Uwanja wa Uhuru au pale kwa Mkapa.
Sina Shaka na Timu yangu...
Habari wakuu,nishaurini kozi nzuri ya kusomea VETA kati ya zifuatazo au kama kuna nyingine nzuri zaidi mniambie kuna ndugu kaomba nimshauri
- Electronics
- Leather goods and shoe making
- Auto body repair
- pre-press and digital making
- Heavy duty mechanics
- Motor vehicle mechanics
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.