Lodge gani nzuri affordable Singida Mjini!

epicurus

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
266
250
Nadhani hujakosea! Guest nazo ndiyo usiseme kabisa.
Acha uongo, we umelala guest..... Halafu unasema lodge... Singida
25,000_30
Zipo nyingi tu, 1.Ndemana Lodge ( Ipo barabara ya Arusha, mita chache kutoka stand misuna, upande wa kushoto)
2. City Garden, ipo barabara ya Dom karibu na skyway
3. BBC mpya ipo maeneo karibu na kibaoni shule ya nyingi mita chache kutoka barabara kuu ya singida-mwanza.... (Hilo eneo lina lodge nyingi sana)
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
1,000
2,000
Karibu Choice plaza mkuu!ni pazuri sana bei kuanzia 30000 mpaka 800000!
Range ya bei ni kubwa sana 30,000-800,000?

Ila Singida sitapasahua kuna mwaka nilifika hapo usiku wa manane na stendi ilikuwa hapo city center.nililengeshwa guest moja usiku mzima siku lalala kuna vidudu vili niuma usiku kucha.nilikuwa sijui kuwa ni kunguni.halafu pia upande mwngine kuna masela walikuwa wanafany yao kwa makelele makubwa sana.usiku ulikuwa mrefu sana.nikikumbuka Guest za singida mwili unanisisimuka kabisa.

Nadhani pia mkuu usichague lodge za bei ya chini.maana nadhani suala la usafi hapo singida bado lipo chini.nahisi unaweza rudi na wadudu home
 
aldeo

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,154
2,000
Wakazi wa Singida Ni Lodge gani hapo mjini Ni nzuri na affordable!
Naomba kujua
..Bei,naLocation
Nakushauri kama unashuka stendi ya basi chukua bajaji n miatano au pikipiki buku mwambie akupeleke Rockside pale hutojuta zipo mbili mwambie hii ya juu bei n kumi na tano full shower kitanda kikubwa shuka nyeupe screen nzuri asubuh breakfast ya yai chai ziwa na nkate pale mie ndo huwa nafikia kula n kushuka chin kidogo tuu panaitwa ubungo nafkir hapo ndo Singida huwa pamekucha usiku na kuna club pia kama mbili hv maeneo hayo bila kusahau baa maarufu Serengeti japo nlipita hapo ka wiki mbili zilizopita palikuwa kwenye matengenezo nakushauri nenda hutojuta waambie wakupeleke room za juu Kule full kutulia
 
yaramazlik

Senior Member
Apr 7, 2012
123
250
Wakazi wa Singida Ni Lodge gani hapo mjini Ni nzuri na affordable!
Naomba kujua
..Bei,naLocation
Nenda Meatu hotel iko pale mjini bei maelewano zaidi ila minimum room yao ni 30k-35k. Pasafi sana na ulinzi plus chini pale kuna sehemu ya kupiga kinywaji. Kama upo na mtoto mzuri sana basi nenda regency resort upate lake view ya maana sana.
 
albab

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
327
500
Range ya bei ni kubwa sana 30,000-800,000?

Ila Singida sitapasahua kuna mwaka nilifika hapo usiku wa manane na stendi ilikuwa hapo city center.nililengeshwa guest moja usiku mzima siku lalala kuna vidudu vili niuma usiku kucha.nilikuwa sijui kuwa ni kunguni.halafu pia upande mwngine kuna masela walikuwa wanafany yao kwa makelele makubwa sana.usiku ulikuwa mrefu sana.nikikumbuka Guest za singida mwili unanisisimuka kabisa.

Nadhani pia mkuu usichague lodge za bei ya chini.maana nadhani suala la usafi hapo singida bado lipo chini.nahisi unaweza rudi na wadudu home
Hii inanikumbusha ITEGA LODGE katikati ya JIJI la DODOMA, 2013 hiyo nilijuta mzeee usiku nikujikuna tu alafu nipo na mtoto naamka kumulika kwenye angle za net wajuba wamepoa... Asee nilienda mapokezi nilikiwasha hawatasahau....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom