Bila B Dozen bado XXL ni show nzuri

Kidawa_hiphop

Senior Member
Jul 7, 2018
168
254
Leo nimeikiza Clouds Fm's XXL bila ya uwepo wa Dozen lakini bado nimeona show ni nzuri. Wana varieties ya segment ambazo haziboi. Mamy amerudi kwenye Hot3@3 basi utani wao na Mchomvu inakuwa burudani

Clouds wanajua kutengeneza watu, pengo la Dozen lipo lakini sio kwamba kipindi hakiwezi kuendelea kuwa kizuri

Media nyingine zitengeneze watu, sio mmoja tu akiondoka na kipindi kinakufa
 
Media gani ambayo mtu mmoja akiondoka kipindi kinakufa?Hakuna.

Sema ni vizuri kutengeneza vijana but Clouds haimo kati ya Redio zinazotengeneza vijana,wengi wao wametoka redio za mikoani labda useme wao clouds wanatumia jina tu kuwakuza lakini si kwamba wao ndo wamewatengeneza.
 
Kutengeneza ya kushape na kuaminisha watu wake kuwa wanaweza..
 
Media gani ambayo mtu mmoja akiondoka kipindi kinakufa?Hakuna.

Sema ni vizuri kutengeneza vijana but Clouds haimo kati ya Redio zinazotengeneza vijana,wengi wao wametoka redio za mikoani labda useme wao clouds wanatumia jina tu kuwakuza lakini si kwamba wao ndo wamewatengeneza.
wasafi jonijo kaondoka na bartender imekufa
 
Nadhani Clouds wanasoma maoni ya wadau..kumtoa meena ally kwenye Hot 3 wamefanya jambo la maana sana na kumrudisha mamy..Adam ana combination nzuri sana na yule binti mamy..kale ka meena ni kapiga kelele tu hamna kitu
 
Media gani ambayo mtu mmoja akiondoka kipindi kinakufa?Hakuna.

Sema ni vizuri kutengeneza vijana but Clouds haimo kati ya Redio zinazotengeneza vijana,wengi wao wametoka redio za mikoani labda useme wao clouds wanatumia jina tu kuwakuza lakini si kwamba wao ndo wamewatengeneza.
Kwa asilimia 45 ya watangazaji wanatoka East Africa Radio, Kennedy, Bantu, Mamy, Sinyorita etc
 
Nadhani Clouds wanasoma maoni ya wadau..kumtoa meena ally kwenye Hot 3 wamefanya jambo la maana sana na kumrudisha mamy..Adam ana combination nzuri sana na yule binti mamy..kale ka meena ni kapiga kelele tu hamna kitu
Walikoseaga sana kumweka na Millard Ayo..wakakosea tena kwenye hot 3,saivi wame get it right atleast
 
Media gani ambayo mtu mmoja akiondoka kipindi kinakufa?Hakuna.

Sema ni vizuri kutengeneza vijana but Clouds haimo kati ya Redio zinazotengeneza vijana,wengi wao wametoka redio za mikoani labda useme wao clouds wanatumia jina tu kuwakuza lakini si kwamba wao ndo wamewatengeneza.
Waambie Ukweli mkuu,safi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom