Rais Shein: Katazo la Shule kufungwa na michezo Zanzibar liko palepale hali ikiwa nzuri mtaambiwa na michezo na shule zitafunguliwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,958
141,951
Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema katazo la michezo nchini mwao liko pale pale na kwamba hali ya mapambano ya Corona ikiwa nzuri wananchi wataambiwa na michezo na shule zitafunguliwa.

Dr Shein amesema Zanzibar ina mipango yake na haiwezi kuiga nchi zingine ila watajitahidi ili wawe wanaenda kwa ushirikiano.

Rais Shein amesema hayo wakati akikagua uwanja utakaojengwa Hospitali kubwa ya kisasa na maabara kuu itakayotumika kupima pia Corona.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Ccm wote waongo,,,jamaa kachoka naomba apishe vijana, pia Tangia anunue machine takwimu ziko wapi?
 
Muda ukifika wote tutapata tarifa ya tarehe mweshimiwa alichomekea ,sasa wananchi wamekuza Sana hii SI mbaya inaonyesha jinsi gani watu walivyo na uzalendo wa kuchapa kazi.
 
Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema katazo la michezo nchini mwao liko pale pale na kwamba hali ya mapambano ya Corona ikiwa nzuri wananchi wataambiwa na michezo na shule zitafunguliwa.

Dr Shein amesema Zanzibar ina mipango yake na haiwezi kuiga nchi zingine ila watajitahidi ili wawe wanaenda kwa ushirikiano.

Rais Shein amesema hayo wakati akikagua uwanja utakaojengwa Hospitali kubwa ya kisasa na maabara kuu itakayotumika kupima pia Corona.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Zanzibar ni nchi
 
Back
Top Bottom