Marais Wastaafu huwa wanaishi kweli kwenye hizo nyumba?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,584
Ni hizi nyumba wanazopewa marais wastaafu…

Hivi nani huwa anaishi humo? Ni kweli kabisa huwa wanahamia humo au huendelea kuishi walikokuwa wakiishi awali kabla ya kupewa?

Mfano Rais mstaafu Mwinyi…alihamia kweli kwenye hiyo nyumba yake aliyopewa na serikali?

Kikwete naye kakabidhiwa ya kwake majuzi hapa!

Atahamia na kuanza kuishi humo au?

Na huwa zinakuwa furnished au huwa wanakabidhiwa jengo tu lakini mengineyo ni juu yao?

Na wasipohamia inakuwaje? Wanaweza kuzipangisha na kunufaika kibiashara? Wanaweza kuziuza?

Sina tatizo na huo utaratibu wa kuwajengea nyumba ila nadhani suala zima linatakiwa kuangaliwa upya na kuweka utaratibu na masharti yake wazi ili Watanzania walipa kodi wajue namna pesa zao zitumikavyo.
 
..Joseph Warioba.

..John Malecela.

..Cleopa Msuya.

..Mohamed Shein.

..Dr.Mohamed Bilal.

..Salim Ahmed Salim.

..Frederick Sumaye.

..Edward Lowassa.

..Mizengo Pinda.

..Pius Msekwa.

..Anna Makinda.

..piga hesabu ni BILLIONI ngapi zinahitajika kuwajengea majumba ya kifahari wastaafu hao.

..sina uhakika kama sheria ilisema wajengewe majumba wayamiliki, au watatunzwa na serikali ktk suala la makazi.

..kama ni kujengewa majumba kuna waliostahili majumba hayo lakini hatukuona wakikabidhiwa mfano Rashid Mfaume Kawawa ambaye ameshatangulia mbele za haki.
 
Nchi zetu za kiafrika tuna safari ndefu sana. Kama hawa ni mali ya umma, hizi zote za nini?
 
Mwinyi labda wataka wana familia yake
Yeye najua ataendelea kuishi hapo mikocheni
Atamuachia nani miti yake ya maembe asilia,
Na mandhari nzuri aliyejiwekea hapo
Kwa jk naye hivyo hivyo tu watakaa wanafamilia

Ova
 
nyumba ni fully furnished na wanahamia ...walio wengi ...ni swala la kikatiba na ilikwisha pita Mh Mama Samia SULUHU H anatekeleza tu...
 
..Joseph Warioba.

..John Malecela.

..Cleopa Msuya.

..Mohamed Shein.

..Dr.Mohamed Bilal.

..Salim Ahmed Salim.

..Frederick Sumaye.

..Edward Lowassa.

..Mizengo Pinda.

..Pius Msekwa.

..Anna Makinda.

..piga hesabu ni BILLIONI ngapi zinahitajika kuwajengea majumba ya kifahari wastaafu hao.

..sina uhakika kama sheria ilisema wajengewe majumba wayamiliki, au watatunzwa na serikali ktk suala la makazi.

..kama ni kujengewa majumba kuna waliostahili majumba hayo lakini hatukuona wakikabidhiwa mfano Rashid Mfaume Kawawa ambaye ameshatangulia mbele za haki.
Kila mjengo ni billion 7!

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanauza tu, Wana mijengo kila mkoa hapa nchini Sasa kwanini ahame msoga ambako anamiliki Kijiji aende dar ambako Ana mahekalu kumi?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Tamaa ya kumiliki Mali ni mbaya sana hasa ukiwa na power,maana unaweza taka hata kuchukua Mlima Kilimanjaro na kuuweka sitting room kwako! Yaani wwe unakua huna nafsi ya kuridhika na ulichonacho hata kama ni kikubwa,kila ukizidi kupata na ndiyo unazidi kutaka na vingine!! Na huo ni aina flani ya ugonjwa,sema unakua hujijui Kama unao,ila watu wa pembeni yako ndiyo wanakuona!!
 
..Joseph Warioba.

..John Malecela.

..Cleopa Msuya.

..Mohamed Shein.

..Dr.Mohamed Bilal.

..Salim Ahmed Salim.

..Frederick Sumaye.

..Edward Lowassa.

..Mizengo Pinda.

..Pius Msekwa.

..Anna Makinda.

..piga hesabu ni BILLIONI ngapi zinahitajika kuwajengea majumba ya kifahari wastaafu hao.

..sina uhakika kama sheria ilisema wajengewe majumba wayamiliki, au watatunzwa na serikali ktk suala la makazi.

..kama ni kujengewa majumba kuna waliostahili majumba hayo lakini hatukuona wakikabidhiwa mfano Rashid Mfaume Kawawa ambaye ameshatangulia mbele za haki.
Yaani hao wote uliowataja kumbe wanatutegemea sisi tuwalishe kupitia Kodi zetu!? Tumekwisha Mungu tuhurumie na huo msururuu wa Mizigo!!
 
..Joseph Warioba.

..John Malecela.

..Cleopa Msuya.

..Mohamed Shein.

..Dr.Mohamed Bilal.

..Salim Ahmed Salim.

..Frederick Sumaye.

..Edward Lowassa.

..Mizengo Pinda.

..Pius Msekwa.

..Anna Makinda.

..piga hesabu ni BILLIONI ngapi zinahitajika kuwajengea majumba ya kifahari wastaafu hao.

..sina uhakika kama sheria ilisema wajengewe majumba wayamiliki, au watatunzwa na serikali ktk suala la makazi.

..kama ni kujengewa majumba kuna waliostahili majumba hayo lakini hatukuona wakikabidhiwa mfano Rashid Mfaume Kawawa ambaye ameshatangulia mbele za haki.
The country is loosing alots of money
 
Back
Top Bottom