ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,553
- 44,722
Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla zipo 29.
Mara nyingi walikuwa wakienda majira ya summer kutembelea na mke wake kipindi bado wako white house.Hata bill na Hillary cliton nyumba Yao ipo maeneo Kama hayo tulivu.
Nyumba hii ya Obama ilijengwa 2001 na Obama aliipangisha 2019...2015 thamani yake ilikuwa $22.5m...na hapo thamani yake imepungua maana imejengwa kwa $44.5m ina garage Ina kila kitu mpk pool la kuzunguka na boat.
Mwaka 2021 Mimi ndege John nilipata nafasi ya kuitembelea nyumba hii katika mtandao.