A
Anonymous
Guest
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao walikuwa wameshalipa ada bila kujua kutakuwa na nyongeza ya mkopo.
Vyuo vingine vilivyopata changamoto kama ya kwetu tayari vimewarudishia Wanafunzi wao hiyo ‘Refund’ lakini chuo changu hiki imekuwa ‘kasheshe’ tangu mwanzo wa mwaka huu mpaka sasa hiyo haki ya Mwanafunzi imekuwa changamoto kupatikana.
Tunaomba mkimulike chuo hiki pengine kitakumbuka kimebeba dhima kubwa ya Baba wa Taifa nakitaweza leta haki hii mahala husika maana Wanafunzi wanateseka na hela ya kujikimu wakati chuo kimekumbatia hela zao.
CHANGAMOTO KAMA HIYO IPO UDSM PIA
Wakati naandika andiko hilo nikaona kuna malalamiko yanayofanana na hayo kutoka kwa Mwanafunzi mwenzetu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, nimeona hiyo taarifa kupitia video hii ya huyu Mwanafunzi.