Historia ya Maulid Hassan na Julius Nyerere Namtumbo 1955

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,921
30,267
HISTORIA IMEMSAHAU MZALENDO HUYU

MAULID HASSAN
Imeandikwa na Kizito Mpangala

Anapatikana Wilaya ya Namtumbo, Mkoa wa Ruvuma.

Ni kamanda mwenye umri wa miaka 90 sasa.
Maulid Hassan ni anayestahili kutunzwa vema.

Maulid Hassan anatajwa kuwa alimficha Mwalimu Julius Nyerere kwa muda wa saa 10 kwenye kijumba maalumu.

Alimficha humo alikuwa akitafutwa na wanajeshi wa kikoloni Novemba 1955.

Maulid Hassan bado yuko hai.

Eneo alipomficha Mwalimu Julius Nyerere panajulikana kama Kihenge.

Kuna mnara mdogo umejengwa hapo kwa ajili ya kumbukumbu hii kwake na kwa taifa kwa ujumla.

Pongezi kwake, bado ana kumbukumbu za kutosha.

📸 Albano Midelo
____________________
Kizito Mpangala,
September 2023.

NB
Itapendeza kama tutapata taarifa zaidi kutoka Namtumbo za mzalendo Maulid Hassan aliyemsaidia Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.

Itapendeza kupata picha ya mnara.
 
Back
Top Bottom