nyerere

  1. Dreamliner787

    JamiiForums Tanzania Leo katika historia: Mzee Tibakweitira akiwa Headmaster wa Same Sekondari alimwadhibu mtoto wa Nyerere na kupandishwa cheo

    𝐋𝐞𝐨 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐡𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢𝐚. 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚𝐤𝐰𝐞𝐢𝐭𝐢𝐫𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐡𝐞𝐚𝐝𝐦𝐚𝐬𝐭𝐞𝐫 S𝐚𝐦𝐞 Sec 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐰𝐚 𝐑𝐚𝐢𝐬 𝐍𝐲𝐞𝐫𝐞𝐫𝐞 𝐚𝐥𝐢𝐤𝐨𝐬𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐫𝐮𝐝𝐢𝐬𝐡𝐰𝐚 nyumbani 𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐞 𝐦𝐳𝐚𝐳𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐃𝐂. M𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐃𝐂 𝐬𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞. 𝐌𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐚𝐤𝐚𝐦𝐥𝐞𝐭𝐚 𝐑𝐂, 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐓𝐢𝐛𝐚 𝐚𝐤𝐚𝐬𝐞𝐦𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐑𝐂 𝐬𝐢𝐨 𝐛𝐚𝐛𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐡𝐮𝐲𝐮. B𝐚𝐛𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐚𝐦𝐟𝐚𝐡𝐚𝐦𝐮 𝐬𝐚𝐧𝐚...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere aliwaza nini akafanya maamuzi haya kwenye Muungano?

    Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake. Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia. We will update this. Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted. Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi. Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nimempigia kura Yeriko Nyerere kuwa mwandishi bora wa vitabu Afrika; wewe unasubiri nini?

    Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika. Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe ni mshindi. Niwaombe watanzania wenzangu tumpigie kura ndugu yetu may be akipata tuzo ataachana na...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wazalendo. Wanaishi kwa vitendo maono ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    Huu uzi ni maalum kuwapa maua yao wenzetu kwenye siasa, CHADEMA, kwa uzalendo mkubwa wanaouonyesha kwa nchi yetu ya Tanzania. Na pia kwa muda mrefu wameonyesha kuishi kwa vitendo kwenye maono ya baba wa taifa, Mwalimu Nyerere. Wiki hii mara baada ya uteuzi na kukabidhiwa ofisi kwa katibu...
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Upinzani wanaipenda CCM, kama hawaipendi basi waanzie kukosoa sera za Hayati Mwalimu Nyerere

    Historia ya Tanzania(Tanganyika) inatuonesha muasisi mkuu wa chama cha TAA hatimae TANU(CCM) ndiye Rais wa awamu ya kwanza wa nchi Mwalimu Nyerere ndiye yeye aliyeanzisha itikadi na falsafa za chama pamoja na utamaduni huu ambao tupo based. Lakini napata mshangao kuona majukwaa ya upinzani...
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Kama Mama wa Taifa ni Rais Samia vipi kuhusu Maria Waningu Gabriel Magige Nyerere?

    https://youtu.be/jwNlcsJu8Nw Maria Waningu Gabriel Magige aliyezaliwa 31 December 1930: Kutimiza miaka 94 ifikapo 31 Desemba 2023
  8. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mwandishi ashindwa kumhoji Mzee Arsene Wenger

    Kuna video inamuonesha mwandishi wa habari akihaha kumkimbilia Kocha wa zamani wa Arsenal ya Jijini London, Mzee Arsene Wenger kwa ajili ya kupata mahojiano mara baada ya nguli huyo kutua Airport ya JK Nyerere kwa ajili ya michezo ya African football league (afL). Kichekesho ni pale Mzee Wenger...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Mtanzania pekee anayewania tuzo ya Mwandishi bora wa Vitabu Afrika 2023

    Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika. Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
  10. Totozee

    JamiiForums Tanzania Tugeuze kilimo kiwe mgodi wa dhahabu

    Nilikuwa nasoma kitabu cha Marehemu Dr.Reginald Mengi kinaitwa I CAN, I MUST,I WILL nikamnukuu akisema ndani ya kitabu chake tafiti zinaonyesha kwamba; 1. Bonde la mto Ruvu peke yake linaweza kuilisha Afrika Mashariki yote.Eneo la Kilombero linaweza kuilisha Afrika ya Kati yote kwa mchele. 2...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bibi Titi Mohammed, Mwanamke anayetajwa kumtikisa Nyerere na kupewa Kesi ya Uhaini

    Titi Mohammed Salum Mandangwa kazaliwa katika familia ya dini haswaa, lakini kapita vikwazo vingi. Amezaliwa 1926, Dar es Salaam na kufariki Johannesburg, RSA katika hospitali ya Net Care, Novemba 5, 2000. Aliishi miaka 74 ya machozi, jasho na damu. Alizaliwa kwa jina la Titi Mohammed Salum...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tuifute Nyerere day ili nchi ipate mabadiliko ya kweli ya kiuchumi na kisiasa

    Nyerere alifanya jambo moja tu zuri ktk taifa hili, nalo ni kuondoa ukabila na ukanda, hivyo kuwafanya watanzania kuwa wamoja. Lakini mengine yote alikosea. Hivyo kuendelea kumuenzi mwalimu Nyerere ni sawa na kusema tuendelee kuyakumbatia mabaya yake yote. Ambayo ni:- 1. Muungano. Lengo...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Rorya wamuenzi Baba wa Taifa kwa kushiriki katika Bonanza la Nyerere Day

    Katika kuenzi miaka 24 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameandaa bonanza la michezo mbalimbali kwa vijana wilayani hapo. DC Chikoka anasema kuwa lengo la bonanza hilo ni kuendeleza kutoa elimu na mwamko kwa vijana kukumbuka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiowekwa wazi: Hayati Nyerere aliacha taifa letu likiwa masikini sana kiuchumi pamoja na kutoa msaada kwa nchi za jirani

    Alisaidia na kukomaa mataifa ya jirani yapate uhuru akasahau kabisa kuendeleza taifa letu. Kauli mbiu ya kuwa sisi kuwa huru huku majirani zetu hawako huru sio vyema ilifanya akasau kuendeleza taifa letu. Aliacha miundo mbinu iko hovyo, shule chache, hospitali chache na kila kitu kikiwa hovyo.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere ashauri kumbukizi ya Hayati Mwl Nyerere isichanganywe na shughuli nyingine

    Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali. Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Rais yupi amemuenzi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye uongozi unaokidhi matarajio ya Watanzania?

    Nianze kwa ushairi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulioandikwa katika kitabu chake cha "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania" Ole wake Tanzania Tusipoisaidia Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya,nimeonya tahadhali nimetoa ushauri nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini,namlilia Jaalia...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rungwe wamuenzi Mwalimu Nyerere kwa shughuli zinazofanyika Ziwa Ngosi na kupanda Mlima Rungwe

    Ikiwa leo Oktoba 14, 2023 ni Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Muasisi wa Taifa hili Hayati Julius Kambarage Nyerere ambaye alifariki Oktoba 14, 1999; Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza Kamati ya Ulinzi na...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nyerere Vs Zanzibar

    Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Hayati Mwl Dr Baba wa Taifa Nyerere. Hapa Unguja si maarufu Sana Kama huko bara alitupora nchi yetu Zanzibar kwa mwamvuli wa Muungano ( usionufaisha Zanzibar), pia alimpoka madaraka Aboud Jumbe bila sababu ya msingi
  19. P

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumuenzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?

    Kama Taifa, leo ni siku maalum ya kumkumbuka Mwal JK Nyerere, Rais wa kwanza wa Tanganyika na Tanzania aliyefariki dunia mnamo tarehe 14 Oktoba 1999. kuna vitu vingi sana vinatufanya tuendelee kumuenzi kutokana na mchango wake katika kulijenga taifa bora. Haya ni mambo aliyosimamia na ambayo...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwalimu Nyerere aliwafukuza Waisrael akawaacha Wapalestina?

    Akiwa Rais wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere aliwafukuza nchini wanadiplomasia wa Israel na kuwaacha wanadiplomasia wa Palestina. Ni kwa nini Mwalimu aliwafukuza waisrael na kuwaacha wapalestina?? johnthebaptist wewe si ulikuwepo zama zile pale Twiga hotel mtaa wa Samora Jijini Dar es...
Back
Top Bottom