nguvu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nguvu inayotumika kusimika mgombea Urais CCM ndiyo hii? Je, CCM itakufa kishujaa?

    Hakuna anayebisha kuwa, Mwaka 2015, CCM iliponea chupuchupu kwenye kuwa Chama cha Upinzani. Ilikuwa haiuziki, ilitukanwa kila pahala, ilichukiwa na kila raia nchi hii, na wao Kwa kuusoma upepo, walibadili namna yao ya kawaida katka kuendesha kampeni zao kupitia mgombea wao ambaye Leo ni Hayati...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Yawezekana huu ukawa ndio mwisho wa nguvu na ushawishi wa CCM Kanda ya Ziwa. Chama gani mbadala kina mikakati kutumia fursa hii?

    Baada ya kufariki kwa Rais Magufuli sioni ni kwa jinsi gani wakazi wa Kanda hiyo wataendelea kukiunga mkono hiki chama hasa kwa sababu kuu zipatazo tatu kama ifuatavyo. Mosi: Uungwaji mkono kwa CCM katika Kanda ya Ziwa haukujengwa katika hoja bali ulijengwa katika ushabiki ukanda na ukabila...
  3. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania 2002 FIFA WORLD CUP: Taifa kubwa la Tanzania na rafiki yake wa karibu Uganda wakiunganisha nguvu zao wanaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027/2029?

    Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031? Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila nimeona Waganda hatunaga nao mivutano sana ukilinganisha na Kenya. Uganda imetupa dili la bomba la...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

    Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi, Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kuna jambo nilikuwa nasolve limenishinda nguvu nikaliacha

    Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo. Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yoyote hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu

    Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu. Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu. Watu wakifanya kazi kwa nguvu na kwa bidii wanazalisha mali. Wakizalisha mali, uzalishaji wa taifa unaongezeka, ukiongezeka...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya nguvu badala ya akili ndiposa Dr Kigwangala akawipigisha push up watendaji Jaffo akamtisha mkandarasi hadi akazimia!

    Mambo ya kitemi na kutishana sasa mwisho ni lazima watendaji watende kwa mujibu wa sheria. Dr Kigwangalla kawaombe radhi wale askari wanyama pori uliowapigisha push ups ( mzaha siyo mzaha) vinginevyo utaendelea kudata. Jaffo kamwombe radhi yule mkandarasi uliyemfokea hadi akazimia...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nimeipenda falsafa ya Rais Samia ya Watendaji kutumia akili badala ya nguvu. Je, CCM wamemuelewa?

    Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi. Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili. Kumsimanga Prof Assad ni matumizi ya nguvu Kuwaingiza akina...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wakimbizi kutoka Msumbiji warudishwa kwa nguvu walikotoka

    Kuna taarifa kuwa wakimbizi kutoka Msumbiji wanaokimbia kile kinachoitwa wanamgambo wa Alshabaab wamerudishwa walikotoka ili wasiingie nchini. Tayari umoja wa maataifa umeilaumu Tanzania kwa hatua yake hiyo. Ukiachia lawama kutoka UN uamuzi wa Tanzania kuwarudisha wakimbizi hao ni jambo la...
  10. 2

    JamiiForums Tanzania Habarini za asubuhi naomba kujua kwa wale wataalam wa magari gari inakosa nguvu kupandisha mlima ,ukiweda d kunasauti inatokea kwa mbele kama kuna

    Habari za asubuhi naomba kujua kwa wale watajuzi wa magari gari yangu aina ya. Carina 7A inakosa nguvu mliman Ukiweka d kuna sauti inatokea kwa mbele kabla ya kutembea na livasi lia hiyo sauti inatokea Na kwenye mlima inaweza kuzima kabisa na kuchemsha naomba msaada plz na ushauri
  11. M

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na...
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ipo siku ambayo vijana watakuja kugundua kuwa bodaboda zinawaumiza na kudai kupewa Kazi nyingine salama

    Utafiti mdogo niliofanya kuhusu ukosefu was nguvu za kiume miongoni mwa vijana unaonyesha kuwa vijana wanaofanyakazi ya bodaboda wanakabiliwa na upungufu was nguvu za kiume kwenye umri mdogo. Na tatizo ni kubwa kwa wale wanaobeba mishikaki (abiria zaidi ya mmoja) na mizigo mikubwa, kwakuwa...
  13. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Kumuonya Waziri wa Fedha kutokutumia nguvu kutokukusanya kodi pasipo kubadili Sheria za Kodi haitawezekana

    Kwanza nianze kwakumpongeza mh Rais wetu mama Samia kwani zipo dalili zote kwamba ameanza vizuri kwenye mambo ya kodi hatahivyo yapo mambo lazima yatizamwe vizuri. Ni wazi kwamba kwa namna TRA ilivyozoea/kuzoeshwa kukomesha wafanyabiashara ni ngumu sana kuondoa misuguano kati ya...
  14. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  15. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya field katika hospitali ya Nguvu Kazi Chanika

    Poleni na msiba wakuu wa Rais wetu ngangari ndugu JPM, tuliumbwa na Mungu na kwake tutarejea. Moja kwa moja niende kwenye mada. Nasoma ordinary diploma in pharmaceutical science chuo kimoja mkoani. Natamani sana kufanya field jijini Dar es Salaam sasa kuna ndugu yangu mmoja amenieleza kuhusu...
  16. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Marekani awaomba NATO kuungana dhidi ya China

    Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken ameufungua mkutano na washirika wa jumuiya ya kujihami ya NATO kwa kuwaomba wanachama wenzake kushirikiana nayo dhidi ya kitisho cha China. Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Anthony Blinken jana ametoa hotuba ya ufunguzi katika siku ya...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Nguvu za asili za hali ya hewa mkoani Geita zimejiandaa vizuri kuupokea Mwili wa Hayati Dr. John Pombe Joseph Magufuli

    Katika hali ya upendo na nguvu za asili zinaotawala mazingira yetu ya kila siku. Nguvu zinazoifanya hali ya hewa kuwa tulivu au kuwa katika hali inayotahayarisha wanadamu na viumbe wengine hali mkoa huu imekuwa tulivu sana ikitawaliwa na mvua kiasi inayonyesha kwa upole mkubwa jambo...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya matajiri itakapoanza kuchukua nafasi yake, kilio cha wanyonge kumlilia Dkt. Magufuli itazidi kusikika na wa kuwazuia hatakuwepo

    Ndiyo! Nguvu ya matajiri ikiilemea serikali hii mpya, wanyonge watalitaja Jina la JPM Kwa uchungu mkubwa na hakuna atakayewazuia Pale rushwa itakapowafanya wanyonge, wamachinga, wamama ntilie, bodaboda, bajaji n.k ambao idadi Yao ni kubwa mno Kwa sasa katika nchi hii kuanza kufukuzwa kwenye...
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

    Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika. Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua. Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Upinzani utapata nguvu zaidi na huenda ukawa mwisho wa CCM

    Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia. Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia. Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa Namuona Mzee...
Back
Top Bottom