ANAYESEMA MWANAUME HANA NGUVU ZA KIUME LAZIMA AWE/ALIKUWA MALAYA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Kusema kuna ongezeko la wanaume kukosa nguvu za kiume ni kuutangazia Umma kuwa wewe ni malaya au ulikuwa malaya.
Kusema vijana wa siku hizi hawana nguvu za kiume ni matokeo ya ongezeko la umalaya kwa...
Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana.
Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu.
Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Henley Passport index.
• Pasipoti ya Kenya ni ya 8 yenye nguvu zaidi barani Afrika.
• Pasipoti ya Tanzania ni ya 9 kwenye orodha.
✓Pasipoti ya Ushesheli🇸🇨 ni ya kwanza barani Afrika, ikifuatiwa na ya Afrika kusini🇿🇦.
Ukweli hawa jamaa wamekuwa kama Maksai au Ng'ombe waliohasiwa. Ngombe akihasiwa bwana huwezi kumkuta kule mbele wala pembeni ya kundi anakuwa tu katikati anachanganyika na majike na ndama. Hatari tupu!
Dr. Bashiru kwa sasa hata hiyo title ya kuanza na Udaktari hana hamu nayo. Sidhani kama...
Nguvu ya mfumo!
Ni aina ya genge la watu au taasisi wanaojielekeza kutekeleza malengo flani!
Miongoni mwa malengo hayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa, kiulinzi, kiuharifu au Vinginevyo!!
Sifa moja kuu ya Mfumo (system) ni kurithisha tabia njema au mbaya kizazi hadi kizazi!
Ni binadamu wachache...
Nianze moja kwa moja kutoa maoni yangu kwa hali ya kisiasa nayoiona. Kifo cha Rais Magufuli kimeacha pengo kubwa sana kwenye taifa. Kwa wale wasiopenda kusikia jina la magufuli niseme tu, Hayati alikuwa na wafuasi wengi kifo chake kimedhihirisha hivyo na atakumbukwa siku zote kwa mambo mazuri...
Ndugu zangu,
Nawaita wazalendo wa nchi hii popote mlipo, msikubali tuchezewe tena na hawa wapumbavu, walafi wa mali za nchi yetu.
Nawazungumzia hawa waliomo miongoni mwetu wanaotaka kunadisha mali zetu kwa maslahi yao wenyewe.
Ujinga wao ni kwamba hawana subira, wameanza kurukia miradi...
Ninapata wasiwasi mkubwa sana kuelewa agenda iliyochini ya carpet kutokana na nguvu kubwa ya ghafla inayotumika kuua sifa za magufuli.
Kuwa brainswash Watanzania ili waone Magufuli was wrong and really a bad person, kunalenga kuwafanya waamini kinyume cha mema ya magufli. Magufli amefanya...
Kuna msemao mpende akupendae asiyekupenda achana naye
Je, ulishawahi kutumia nguvu na bidii kumuonesha mpenzi wako unampenda sana na unamjali sana lakini yeye akawa hana habari na wewe?
Hata alipokuwa hai hayati JPM kama bunge lingesema limkatae kwa kutumia ibara ya 46 ya katiba ya JMT na kumuondoa madarakani wananchi wangesimama na hayati JPM. Hili halina ubishi.
Kwa hiyo kama wanachi wangesimama na JPM basi ni wazi kuwa angeshinda. Na bunge lingeonekana kituko. Maana...
Aliye na ushaidi juu ya wizi wa Jakaya Mrisho Kikwete auweke hapa. Jk alikuwa mwasiasa mbobezi, alijua nchi inahitaji nini iendelee, aliujua uchumi vizuri.
Hana Mali au miradi binafsi, aliyoiacha kwake au kwa familia yake katika utawala wake. Kama unaushaidi weka hapa. Zaidi ya kijumba msoga...
Hakuna anayebisha kuwa, Mwaka 2015, CCM iliponea chupuchupu kwenye kuwa Chama cha Upinzani.
Ilikuwa haiuziki, ilitukanwa kila pahala, ilichukiwa na kila raia nchi hii, na wao Kwa kuusoma upepo, walibadili namna yao ya kawaida katka kuendesha kampeni zao kupitia mgombea wao ambaye Leo ni Hayati...
Baada ya kufariki kwa Rais Magufuli sioni ni kwa jinsi gani wakazi wa Kanda hiyo wataendelea kukiunga mkono hiki chama hasa kwa sababu kuu zipatazo tatu kama ifuatavyo.
Mosi: Uungwaji mkono kwa CCM katika Kanda ya Ziwa haukujengwa katika hoja bali ulijengwa katika ushabiki ukanda na ukabila...
Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums
Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031?
Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila nimeona Waganda hatunaga nao mivutano sana ukilinganisha na Kenya.
Uganda imetupa dili la bomba la...
Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi,
Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua...
Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.
Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu.
Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu.
Watu wakifanya kazi kwa nguvu na kwa bidii wanazalisha mali.
Wakizalisha mali, uzalishaji wa taifa unaongezeka, ukiongezeka...
Mambo ya kitemi na kutishana sasa mwisho ni lazima watendaji watende kwa mujibu wa sheria.
Dr Kigwangalla kawaombe radhi wale askari wanyama pori uliowapigisha push ups ( mzaha siyo mzaha) vinginevyo utaendelea kudata.
Jaffo kamwombe radhi yule mkandarasi uliyemfokea hadi akazimia...
Nimeielewa sana falsafa ya Rais Samia kuwataka watendaji wote kutumia akili badala ya nguvu wakati wa kutekeleza majukumu yao ya kuwatumikia wananchi.
Kwa mfano kumfukuza Tundu Lissu bungeni ni matumizi ya nguvu badala ya akili.
Kumsimanga Prof Assad ni matumizi ya nguvu
Kuwaingiza akina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.