Ujumbe wa Afande Sele akimlilia Hayati Magufuli

Kwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.

Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu.

Najiuliza why yeye na msaidizi wake kijazi wafariki ndani ya muda mfupi kwa ugonjwa mmoja.. nahisi mtego waliotegwa na wakanasa ulikuwa unaenda kuvunja moyo kufanya kazi.. sitashangaa akifa mwingine kwa moyo tena
 
Ifike wakati tukubali hali halisi iliyokuwepo..kama wengi wetu tuliamini Magu ni mpango wa Mungu kwanini kwa sasa tusikubali ni mpango wa Mungu unaendelea...

Kazi aliyoanza Mungu huwa anamaliza mwenyewe hakuna wa kumpangia wala kumzuia..

Njia yetu moja pumzika kwa salama jembe
 
Kwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.

Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu
Ilo lipo wazi, ni suala la kujiuliza tu waliokuwa wanavujisha taarifa akiwa mgonjwa waliishia tu kupeleka taarifa au nini kingine walitumwa na hao wazungu? . Kuna special mission wametumia fursa ya wakati wa corona kufanya yao.
 
Kwa Magu hata mimi imeniuma sana.. akili yangu inahisi ameuwawa kwa biological weapon.

Usalama wa taifa wamezidiwa ujanja na wazungu
Kama ulismkia mama samia suluhu ametamka wazi kuwa alikua anaumwa moyo kwa miaka 10 so it means kabla hata hajawa rais alikua mgonjwa tusiwasingizie wazungu tujifakari kali sana kumbuka lowasa aliambiwa ni mgonjwa atatufikia madarakan lakn tunaona wale waliotmka hayo wanaondoka mmoja mmoja
 
Michezo ya kikubwa hiyo uwezi elewa. Wenyewe wanaita kufix yani unatafutiwa angle yako weak unamalizwa umo umo
 
IMG-20210318-WA0000.jpg
 
Kama ulismkia mama samia suluhu ametamka wazi kuwa alikua anaumwa moyo kwa miaka 10 so it means kabla hata hajawa rais alikua mgonjwa tusiwasingizie wazungu tujifakari kali sana kumbuka lowasa aliambiwa ni mgonjwa atatufikia madarakan lakn tunaona wale waliotmka hayo wanaondoka mmoja mmoja
Akili yako haijui neno kujiongeza
 
rasta kavurugwa...anaamini jua tu na kasema mkishamzika Magu muende mkamzike na yeye.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom