Nahitaji kufanya field katika hospitali ya Nguvu Kazi Chanika

DR SANTOS

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
10,504
21,383
Poleni na msiba wakuu wa Rais wetu ngangari ndugu JPM, tuliumbwa na Mungu na kwake tutarejea.
Moja kwa moja niende kwenye mada.

Nasoma ordinary diploma in pharmaceutical science chuo kimoja mkoani. Natamani sana kufanya field jijini Dar es Salaam sasa kuna ndugu yangu mmoja amenieleza kuhusu hospitali ya nguvu kazi iliyopo Chanika, DAR ES SALAAM

Lengo la huu uzi kwa wanajamvi ni kuweza kujua machache kuhusu hospitali hio ikiwemo anwani ya posta
Na huduma zitolewazo na hospitali hio nje ya huduma ya mama na mtoto.

1; Je kuna huduma ya CTC? yaani care and treatment clinic
2: Naweza pata anwani ili niweze kutuma barua za maombi
3: Malipo yoyote ya kufanya field
4: Je, hospitali ina hadhi gani ya mkoa wilaya au ya kawaida tu

Nahitaji kujua hayo wakuu, naomba kuwasilisha.
 
Poleni na msiba wakuu wa raisi wetu ngangari ndugu JPM, tuliumbwa na mungu na kwake tutarejea.
Moja kwa moja niende kwenye mada.

Nasoma ordinary diploma in pharmaceutical science chuo kimoja mkoani. Natamani sana kufanya field jijini dar es salaam sasa kuna ndugu yangu mmoja amenieleza kuhusu hospitali ya nguvu kazi iliyopo chanika DAR ES SALAAM

lengo la huu uzi kwa wanajamvi ni kuweza kujua machache kuhusu hospitali hio ikiwemo anwani ya posta
Na huduma zitolewazo na hospitali hio nje ya huduma ya mama na mtoto.

1; J,e kuna huduma ya CTC? yaani care and treatment clinic
2: Naweza pata anwani ili niweze kutuma barua za maombi
3: Malipo yoyote ya kufanya field
4: Je, hospitali ina hadhi gani ya mkoa wilaya au ya kawaida tu

Nahitaji kujua hayo wakuu, naomba kuwasilisha.
Karibu sana
 
Back
Top Bottom