Namuona Lissu akirejea nchini, namuona Lema utabiri wa Lema ukiwa umetimia.
Naona shughuli za kisiasa zikirejeshwa, Katiba Mpya ikiwa njiani kurejeshwa. Kuna dalili bungeni kuibuka mtifuano wa Akina Waitara, Silinde, Polepole vs CCM asilia.
Nawaona masheikh wa uamsho wakiachiwa
Namuona Mzee wetu na Seth wakitolewa gerezani
Naona uchunguzi wa vifo vya utata Na mashambulio yakichunguzwa
Naona serikali ya umoja wa kitaifa.
Kwa mbaali naiona Tanzania mpya