Nguvu za asili za hali ya hewa mkoani Geita zimejiandaa vizuri kuupokea Mwili wa Hayati Dr. John Pombe Joseph Magufuli

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,521
3,418
Katika hali ya upendo na nguvu za asili zinaotawala mazingira yetu ya kila siku. Nguvu zinazoifanya hali ya hewa kuwa tulivu au kuwa katika hali inayotahayarisha wanadamu na viumbe wengine hali mkoa huu imekuwa tulivu sana ikitawaliwa na mvua kiasi inayonyesha kwa upole mkubwa jambo linalonifanya nikumbuke miaka kadhaa nyuma au hadithi za Babu zetu.

Hali hii inanifanya kuona mapokezi mazuri ya kiasili "natural acceptance" ya mwili wa aliyekuwa sauti ya wanyonge. Hii inaonesha kuna jambo kubwa linatendeka katika ulimwengu wa roho.

Nina uhakika ugeni wote utakaofiks Chato utapokelewa na hali nzuri sana ya hewa, usiku huu asili inafanya kikubwa ya kupooza agahewa la eneo hili pamoja na ardhi yake.

Screenshot_20210324-032312_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom