Rais Samia Suluhu: Kuna jambo nilikuwa nasolve limenishinda nguvu nikaliacha

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo.

Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
 
Nimesikiliza hotuba ya Jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha Kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachananalo.

Jambo gani hili? Akiachananalo halina madhara Kwetu sisi wanainchi na serikali yake?
Mkuu ulisikiliza ila hukuelewa...tatizo elimu.....Mama alimaanisha huko zamani kuna ishu ya muwekezaji ambayo alijitahidi kusolve akaamua kuachana nayo baada ya kuona mazingira ya kupata suluhu hayapo.
 
Rais wetu yuko imara na straight muwazi

Tuendelee Mungu ampe afya na amjalie hekima ipitayo hekima zote katika kutuongoza

Maana wabongo nasi vichwa ngumu na wajuaji mnooo
 
Mbona alisema wazi ilikuwa kuhusu investor mmoja alikuwa na issues zinatakiwa ziwe solved nafikiri ni issue za kodi, akajitwisha jukumu lakini akaona mbombo ngafu akaamua bora yeshee na investor akapanda Jet yake akaondoka so akasema kodi hana hakika kama ililipwa na jamaa ndio kashaondoka hivyo.

Ni muendelezo wa ile kauli mbiu MISULI tuiache gym ofisini twende na AKILI.
 
Jambo lenyewe ni kuhusu kuwaachia huru Mashehe wa uhamsho waliopo mahabusu kwa muda mrefu sasa.
 
Kipindi yuko Makamu, kuna suala lilimuhusu Mwekezaji, alilifatilia kuliweka sawa lakini akalishindwa
 
Back
Top Bottom