nguvu

  1. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi usiku tunatakiwa kula chakula cha nguvu au chepesichepesi?

    Sijajuaga hii ishu. Watu wengi wanasema usiku tule vyakula laini laini. Lakini kuna hii ishu. Mtu akisha kula chakula damu nyingi inaelekea tumboni kusaidia ishu za umeng'enyaji na ufyonzaji wa msosi. Kitendo hicho hufanya damu inayoenda kwenye sehemu zingine kupungua. Damu inayoenda kwenye...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

    Hili halina ubishi 85% ya wabunge wapo mjengoni kupitia mgongo wa Rais Magufuli, maana wengi wamechaguliwa kwa huruma za wananchi baada ya Rais kuwapigia debe majukwaani. Wao kama wao wasingetoboa hata kwa tindo na kotapini. Napiga picha jinsi mbunge wa Geita mjini ambavyo alikuwa hakubaliki...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mara nyingi undugu wa baba mmoja kwa mama mbalimbali huwa una nguvu zaidi kuliko undugu wa mama mmoja kwa baba mbalimbali?

    Habari zenu watu wa humu. Leo nikasema niulize swali, huenda tukajua na kupata hekima ya jambo hili. Swali liko wazi na jambo hili huwa tunaliona sana. Kwanini hali huwa iko hivi? Karibuni nyote tujadili jambo hili. Ahsanteni.
  4. East Wind

    JamiiForums Tanzania Madai ya TRA kukamata akaunti za Benki na hata kuchukua kilichomo, Serikali iangalie tena, huenda hiyo Mamlaka ikatumika vibaya

    Serikali hii nguvu ambayo mmeipatia TRA kuwa na uwezo wa kushirikia account za bank za wateja (wafanya biashara) na hata kuchukua pesa, muingalie, huenda hiyo nguvu (Authority) wanaitumia vibaya. Kama mnawapenda wafanya biashara na mnapenda waendelee mtawalinda 🌽🌽🌽 #Uzi tayari #maendeleo haya chama
  5. uvugizi

    JamiiForums Tanzania Sheria ya nguvu ya saikolojia

    ONEKANA (STAND ABOVE) . Kazi nzuri huwa hazionekani. Kama unataka kuwa na nguvu zaidi kazi nzuri tu haitoshi . kufanya kazi sana tu haitoshi ila unatakiwa ufanye kazi huku ukitambulikana (UKIONEKANA ) .Kazi yako isiwe overshadowed . Pata muda kuongoza na kujihakikishia unaonekana. UKITAMBULIKANA...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Job Ndugai ilivyowasambaratisha Prof. Assad, Makonda, Tundu Lissu, Mbowe na Mpina!

    Hao niliowataja ni wachache miongoni mwa wengi waliojaribu kupimana ubavu na mh Job Ndugai na kuangukia pua. Wengi hawaijui nguvu ya Ndugai ndani ya CCM lakini kiukweli huyu jamaa ni very powerful. Wako wapi leo akina Makonda, Prof Assad, Mbowe na yule aliyepima samaki kwa rula kwenye mgahawa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya ACT-Wazalendo kujiunga katika SUK huko Zanzibar, CHADEMA kinakwenda kuwa Chama Kikuu cha Upinzani Zanzibar

    Waswahili wana msemo: "atafutae hachoki, akichoka amepata". Msemo huu utajidhirisha huko Zanzibar kuanzia sasa ambapo Wazanzibar wanaotafuta ukombozi kwa mara ya pili, watatafuta ukombozi huo kupitia chama tofauti na ACT-Wazalendo na chama pekee kitakuwa ni CHADEMA unless CHADEMA nao waonyeshe...
  9. comrade wetu

    JamiiForums Tanzania Misri namba 1 Afrika nguvu za kijeshi

    Kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2020 iliotolewa na taasisi ya Fire Power imeitaja nchi ya Misri kuwa ndio yenye zaidi ya kijeshi Afrika na inashika namba 9 duniani. --- Budget: $4.4 billion Active frontline personnel: 468,500 Tanks: 4,624 Total aircraft: 1,107 Submarines: 4 The Egyptian military...
  10. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Tuikatae NEC hii kwa nguvu zote haya yakidhihiri. Makamishna wote washtakiwe

    Tuna imani kabisa kua Kamati Kuu ya CHADEMA si kikao cha mtu mmoja na wala si sauti moja. Kama haikukaa kujadili majina ya viti maalum ya kinamama 19 na ikathibika kua haikupokea Orodha ya majina kama alivyosema mkurugenzi wake Dr Mahela maana yake NEC imeudanganya umma na ni jinsi. Mbowe na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania CCM baada ya kufanya rafu zao walikula mpaka mbegu sasa wanalazimisha wabunge kwa nguvu

    Ukiangalia na ukimsikiliza spika ni kama vile mtu anaongea jambo kama mtu anaenda kuposa kwa mwanamke hasiye mjua, chama cha CHADEMA kina wanachama wake , viongozi wake, sera zake , miongozo yake , kanuni zake pamoja na katiba yake , hivyo jambo lolote linalofanyika kwa Chama linafuata hizo...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wajipange upya kama kweli wabunge wanawake 20 wenye nguvu ndani ya chama wamenunuliwa na CCM kwa mpigo

    CHADEMA BAWACHA ndio ilibaki nguzo pekee ya CHADEMA ya kuaminiwa. CHADEMA walilisifu sana BAWACHA kuwa eti wabunge na madiwani wote eti kwa kile kinachoitwa kununuliwa wabunge na madiwani walikuwa ni wanaume tu wanawake wa BAWACHA hawakukubali. Msimamo huo ulisababisha wabunge wanawake wawekwe...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mbona wanaoshangilia Viti Maalum vya CHADEMA ni CCM?

    Nimekua nikijiuliza, hivi kwanini CCM wanashangilia sana kuapa kwa wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA kuliko hata wanaCHADEMA wenyewe? Jibu lililowazi ni kuwa Uchaguzi wa October umefanya viongozi wateule kukosa uhalali wa uongozi ndani na nje ya nchi (haswa nchi za magharibi). Hili sio tatizo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

    Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
  15. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mnaosukuma walemavu wa viungo kwenye baiskeli kuomba msaada, ni vyema hiyo nguvu mkaitumia kufanya kazi ili muweze kuwasaidia kwa uhakika hao walemavu

    Kwanza niwapongeze kwa moyo wenu wa kujitoa katika kuwasaidia watu wasiojiweza (walemavu wa viungo) ambapo huwa mnawasukuma kwenye maeneo mbali mbali ili basi walau waweze kupata msaada wa chochote kitu ili maisha yaende, na hapa simsemi mtu vibaya, maana hujafa hujaumbika. Ila mimi nilikuwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Magufuli, Nyerere alielewa mataifa tajiri yanatuonea, kutuingilia na alijua jinsi ya kubabiliana nayo kwa busara bila nguvu na umwamba!

    Kuna kitu kimoja ambacho Magufuli anapaswa kutafakari sana - jinsi ya kukabiliana na mataifa tajiri pale ambapo anaona kama yanatukandamiza au kutuingilia. Nasema hivi kwa kuwa ni wazi sana Magufuli anapewa ushauri usiofaa na Kabudi - kujaribu kuyakabili haya mataifa kama vile tuko sawa nayo -...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, ushauri wa bure: Usipingane na nguvu ya soko

    Fact 1: Cement imeadimika Fact 2: Uhitaji wa cement uko juu, hii ni kutokana na kazi nyingi za maendeleo. Fact 3: Kuna matatizo ya uzalishaji, tunasikia kiwanda cha Dangote hakizalishi. Kwa scenario hiyo hapo juu, haihitaji PhD kutambua kuwa kwa principles za Demand and supply, bei ni lazima...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako waanza ujenzi wa ofisi ya Jimbo

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka huko Makambako, hii ni baada ya shughuli za kilichoitwa Uchaguzi mkuu kumalizika, ambapo wanachama na viongozi wa CHADEMA wa Jimbo hilo wameanza rasmi kuimarisha chama chao.
  19. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Azam FC kwa Taifa Stars

    Kikosi kilichoanza ajana ni wachezaji wa wili tu ndio hawajawahi kuvaa jezi ya azam fc (Mkude na Nondo) Walioingia sub ni moja tu ndio hana DNA na Azam fc nae ni fei Toto Wachezaji regularly national team wanaotoka azam ambao Jana hawakucheza Agrey Morris Chilunda Mudathir Mwantika Vile vile...
  20. G Sam

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kibaha Vijijini: Diwani Mteule wa CCM Kata ya Kikongo afariki pamoja na wajukuu zake wawili baada ya nyumba yao kuchomwa moto

    Kibaha. Diwani mteule wa CCM kata ya Kikongo Kibaha vijijini Fatuma Ngozi pamoja na wajukuu zake wawili wamefariki baada ya kuungua kwa moto wakiwa ndani ya nyumba. Nyumba ya diwani huyo imeungua moto usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2020. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Wankyo Nyigesa...
Back
Top Bottom