nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Lemutuz awashauri Wanawake waliopata wadhfa Serikalini watunge Sheria za kuwalinda Wanawake

    Kumbe mjomba wake Mange sometimes dish linakua active.
  2. JamiiForums Tanzania Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

    1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo. 3. Amua kujenga mahusiano...
  3. JamiiForums Tanzania Hati ya Kusafiria ya Tanzania (Passport) ina nguvu gani?

    Habarini wakuu, Naomba mtutoe tongo tongo hapa. Hati ya kusafiria ya Tanzania unaweza kuingia nchi ngapi bila visa na ni vema pia mwenye kujua hili akazitaja hata nchi zenyewe pia.
  4. JamiiForums Tanzania Dokta Ntara: Nguvu za kiume hutibiwa kwa vyakula tu

    Kamati ya Bunge masuala ya Afya iliypkaa dodoma hivi karibuni , kupitia mbunge wake , ambaye pia ni daktari, imesema tiba ya nguvu za kiume ni vyakula na si madaewa, alkasusu, wala mengineyp yatajwayo. Wanawake watakiwa kuwacha wanaume wapumzike kidogo baada ya bao la kwanza, maana mwanaume...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii tatizo la nguvu za kiume halitaisha

    Hello, Uvaaji wa wadada unatupa shida sana sisi wanaume tuliokamilika,kiasi kwamba tunajikuta tunasimamisha mara kwa mara. Unakutana na mdada kavaa mini skirt mapaja yote yako nje nje. Kifua kimeachwa kipumue wengine hata viuno viko nje..hizi suruali zilizochanwa chanwa nazo zimeongeza tatizo...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua uhusiano wa kifua kikubwa au six pax(mbavu nene) na Nguvu za kupigana

    nguvu za kupigana Mbinu za kupigana Style za kupigana ...zinahusikaje na Six pack Mbavu nene Misuli mikononi Midevu ya morison au rickross N.k??
  7. JamiiForums Tanzania Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

    Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu: 1. Isaack Newton 2. Albert Einstein 3. Stive Jobs 4. Eric Yuan 5. Sergey Brin na Larry Page Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao. 1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nguvu yetu ipo katika umoja wetu, tukumbushane hili tunapoikaribia miaka 60 ya uhai wa taifa letu

    Tarehe 9 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu inatimia miaka 60 ya uhuru wetu. Itakuwa ni siku maalum yenye kila sababu ya kupambwa na nyimbo za furaha na zenye kukumbusha maana pana ya uhuru wetu. Ni lazima tukumbushane kuwa umri huu tunaoufikia mwaka huu haujaweza tu kwa bahati kuweza kufikiwa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
  10. JamiiForums Tanzania Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

    Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima. Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Chonde Chonde: Kwa jicho la kiroho unatafutwa mlango COVID-19 iingie na ipate nguvu

    Ninaomba nieleweke. Ushauri wa kwanza kabisa wa kamati ya corona ni kwamba SERIKALI ITANGAZE UWEPO WA CORONA. Kwa maneno mengine serikali IKIRI (kwa kinywa chake) uwepo wa corona! Anayeshauri hivyo tayari amevaa barakoa! Hivi tukimwuliza ni kwa nini amevaa barakoa atasemaje? Kwa nini inatakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

    Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na Kuaminishwa mno na Kauli Mbiu za Kibabe za Kuujaza Uwanja ili Mapato yapatikane wakati wenye Kuujua...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Serikali ikemee kwa nguvu zote wanaodai Hayati Magufuli kauawa, iondoe video zote YouTube na kuwasaka wahusika

    Mada hapo juu inaeleweka vizuri. Kuna habari zmezagaa mitandaoni kuwa Rais John Magufuli kauliwa na watu wakubwa na walianza kufanya mipango siku nyingi. Habari hizi zipo pia vijiweni. Rais Samia Suluhu kwa makosa makubwa Sana na bila kujua kakosea alizungumzia habari hizi akilihutubia Bunge...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Najua ni namna gani Rais na mwenyekiti wa CCM alivyo na nguvu kwa hapa nchini katika kipindi cha kupitisha jina la mgombea wa chama chake. Kwa mazingira hayo, wenye nguvu na maamuzi makubwa ndani ya chama cha mapinduzi ni Mwenyekiti na Rais wa Tanzania mama Samia, Lakini pia huwezi kumkosa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya CHADEMA kujenga ofisi za majimbo kwa nguvu ya umma itufunze umuhimu wa kuwekeza kwa watu

    CHADEMA kwa Sasa inaendeleza operesheni achia wafungwa wa kisiasa inayoambatana na ujenzi wa ofisi za majimbo kote nchini. Ujenzi unafadhiliwa kwa 100 na wananchi wa kipato cha chini. Niwapongeza wanaofanya kazi hii na kuwatakia kila la heri kukamiliza mradi huu ndani ya miaka mitatu iliyopangwa.
  16. JamiiForums Tanzania Iron Dome ya Israel yazidiwa nguvu na vikombora vya wapalestina

    Kwa mara nyengine tena Israel imekiri kuzidiwa nguvu na idadi ya vikombora vinavyorushwa na wanamgambo wa makundi tofauti kutoka Gaza. Taarifa hizo zimekuja katikati ya muendelezo wa machafuko makubwa yanayoendelea eneo la Jerusalem tangu kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Katika mapigano...
  17. R

    JamiiForums Tanzania NGUVU YA BAWACHA; Ushahidi kuwa CHADEMA imekita mizizi kila mahali nchini

    Kitendo cha akina mama wa Chama cha demokrasia na maendeleo kuwa katika mstari wa mbele kupigania haki na utawala bora unaozingatia sheria na kayiba za nchi kimefikirisha wasomi, wanasiasa na wataalam wa maswala ya siasa nchini. Tangu zamani inaaminika kuwa Ukimwelimisha mwanamke basi...
  18. G

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Gia namba nne kukosa nguvu na brake kutokumata mpaka upump zaidi za mara moja

    Wakuu wangu wa JF heshima mbele, nina Jambo nilikuwa naomba kuuliza kwa ushauri wa kitaalamu nikiamini jukwaa hili ni la manufaa na limesaidia watanzanzia wengi. Baada ya salamu naomba kuelezea tatizo langu, Nina gari ya Town Ace manual pick up, mpaka asubuhi ilikuwa vizuri tu bila shida, Ila...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi waogopa nguvu ya Umma, waruhusu Mkutano wa ndani wa CHADEMA

    Baada ya kelele za kuwakumbusha kuwa hatuko tena awamu ya tano, kwa aibu na fedheha kubwa kama kuku aliyenyeshewa mvua Polisi wamekubali mkutano wa ndani wa Chadema ufanyike. Fedheha nyingine Polisi mnazitaka wenyewe, sasa mmebadilisha kile mlichokua mnakiamini. Mkajua mko awamu ya kusifiwa na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya nguvu kwa Askari wa Jeshi la Polisi ni sahihi?

    Katika mazingira ya kawaida askari polisi haruhusiwi kutumia nguvu dhidi ya mtuhumiwa yeyote isipokuwa tu kama mtu huyo anakataa kukamatwa au anajaribu kutoroka Ijapokuwa askari polisi anaweza kutumia nguvu, lakini hayuko juu ya sheria, na iwapo atatumia nguvu isivyohitajika atachukuliwa hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…