Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Wakati serikali imekuwa ikisisitiza kuwa Corona haipo nchini, Wananchi wamekuwa wakitumia mitandao ya kijamii kuelezana hali ilivyo juu ya ugonjwa huu na imefika hatua hata Kanisa Katoliki limeshituka na kutoa tamko la kutahadharisha jamii juu ya uwepo wa ugonjwa huu.
Hali hii inadhihirisha kuwa mitandao ya kijamii sasa ina nguvu sana hapa nchini kwani ni wazi bila mitandao, leo hii tusingeona watu wanaovaa barakoa, kutembea na sanitizer, watu kupimwa joto, n.k. kwani vyombo vya habari vilikuwa kimya kabisa kuhusu hali halisi ya ugonjwa huu hapa nchini.
Hivyo, ndugu zangu, hatuna budi kuishukuru mitandao ya kjjamii na pengine sitatenda haki kwa kutoushukuru kwa kipekee mtandao wa twitter na watumiaje wake katika kutoa taarifa juu ya ugonjwa huu.
Hakika ukifungwa mlango mmoja, Mungu hufungua mlango mwingine.