The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,615
Mzuka wanajamvi!
Donald Trump ataanzisha chama chake. Kitakuwa na nguvu sana na wafuasi wengi sana na wengi watakihama republican na kujiunga nacho.
Kwa mara ya kwanza utakuwa mwisho wa vyama viwili Marekani Republicans na Democrats kiwa na nguvu pekee yao.
Uchaguzi wa 2024 Marekani utakuwa wa kisisimua. Trump atarudi na mchuano utakuwa mkali sana kati ya Democrats, Republicans na chama kipya cha Trump.
Biden hatagombea tena muhula wa pili atakuwa amechoka sana na uzee na labda huenda asimalize muhula wake wa kwanza, Kamala Harris akachukua badala yake na kumaliza na kugombea 2024.
Mchuano mkali uchaguzi 2024 Marekani utakuwa kati ya Republicans, Democrats na Chama kipya cha Trump. Na Trump atakuwa Rais tena tuombe asiwe impeached second time.
Senior JF International political correspondent and analysts.
Masters