Je, wajua kuwa wasichana wazuri kupindukia huolewa na wanaume wenye nguvu?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,154
33,367
Wanaume wenye Nguvu, namaanisha matajiri, watu maarufu, watu mashuhuri na VIONGOZI.

Nakanusha kabisa dhana kuwa wasichana/wanawake wazuri kupindukia Mara nyingi wengi wao kuwa huwa hawaolewi. Kwanza kabisa wanawake wote duniani ni wazuri lakini ni ukweli usio na Shaka kwamba wapo wanawake wazuri zaidi kuliko wengine.

Tatizo linalowapata wanawake wazuri kupindukia Ni:-

Wanaume wenye uwezo mdogo ambao wanawapenda wazuri hao,hata Kama watakubaliwa na wasichana hao,Ni kwamba huogopa kuwaoa kwa sababu ya hofu ya KUCHAPIWA na Gharama za kuwatunza.

Kwa sababu ya uzuri wao,wametokea kuhitajiwa na kila mwanaume,(demand) yao Ni kubwa mno hivyo kupelekea kwamba wenye nguvu ndo wawezao kuwapata.

Kwa sababu ya kuwa Wana soko kubwa(kupendwa Sana). Hali hi inapelekea wenye nguvu ndio watakaowapata.

Hivyo hata wenyewe wamejiweka hivyo hawako Tayari kuchukuliwa na mwanaume/wanaume asiye na nguvu za kiuchumi na kijamii.

Kwa kifupi wanaume wasio na nguvu wamekua wakiwakwepa kuwaoa,

Na wao wamekua wakijiweka mbali na wanaume wasio na nguvu.

Hali hii hupelekea wengi wao kuolewa na matajiri,watoto wa matajiri,watoto wa viongozi,watu maarufu,watu mashuhuri n.k.

Watu wenye nguvu
  • matajiri
  • viongozi
-lecturers
-artists
-sportman
Nk.

Ukiona msichana/mwanamke mzuri kupindukia hajaolewa ujue
-ana Tabia isiyoridhisha
-kafungwa
-kalogwa
- possessed
 
Wanaume wenye Nguvu,namaanisha matajiri,Watu maarufu,watu mashuhuri na VIONGOZi.

Nakanusha kabisa dhana kuwa wasichana/wanawake wazuri kupindukia Mara nyingi wengi wao kuwa Huwa hawaolewi.

Kwanza kabisa wanawake wote duniani Ni wazuri lakini Ni ukweli usio na Shaka kwamba wapo wanawake wazuri zaidi kuliko wengine.

Tatizo linalowapata wanawake wazuri kupindukia Ni:-

Wanaume wenye uwezo mdogo ambao wanawapenda wazuri hao,hata Kama watakubaliwa na wasichana hao,Ni kwamba huogopa kuwaoa kwa sababu ya hofu ya KUCHAPIWA na
Gharama za kuwatunza.

Kwa sababu ya uzuri wao,wametokea kuhitajiwa na kila mwanaume,(demand) yao Ni kubwa mno hivyo kupelekea kwamba wenye nguvu ndo wawezao kuwapata.
Kwa sababu ya kuwa Wana soko kubwa(kupendwa Sana),Hali hi inapelekea wenye nguvu ndio watakaowapata.

Lecturers😎😎
 
Lililo la kustaajabisha ni kwamba watu wote tuna thamani sawa mbele zake muumba wetu, kuonekana mzuri zaidi ya mwingine haikupi tiketi ya wewe kula bata maisha yako yote, uzuri unao na shida zinakuchapa Kama kawaida, na huoleki wala kutamaniwa na mwanaume yoyote, ninayo mifano hai ya hii kitu

Kuna msemo unasema Lilia bahati sio uzuri
 
Mkuu nitakutafta urudishe gharama zangu aisee.
Title yako imefanya ninunue vifaa vya gym.
Ndio nimerudi kusoma maelezo nakutana na kitu tofauti kabisa.
 
Lililo la kustaajabisha ni kwamba watu wote tuna thamani sawa mbele zake muumba wetu, kuonekana mzuri zaidi ya mwingine haikupi tiketi ya wewe kula bata maisha yako yote, uzuri unao na shida zinakuchapa Kama kawaida, na huoleki wala kutamaniwa na mwanaume yoyote, ninayo mifano hai ya hii kitu

Kuna msemo unasema Lilia bahati sio uzuri
Kama msichana ni mzuri kupindukia haoleki nimesema.

Anaweza kuwa, Yuko
-Possessed
-Kalogwa
-Kafungwa
-Ana Tabia za kuchukiza.
Nimesema Wanawake wote Ni wazuri, ndio maana sisi wanaume tuna msemo wetu "material wife", Hawa ni wazuri wa kawaida na ndio wengi wao wanaolewa na sisi wanaume wenye kipato cha kati.

Lakini kubali kataa, hata vitabu vya dini vinatambua uwepo wa wanawake wenye uzuri wa kupindukia.
Ambao kwa Sasa hivi ndio Hawa tunawaita Ma Miss Tanzania, Miss Mwanza, Miss Afrika na wengine wako mitaani hawapendi kushiriki mambo hayo ya U Miss.

Kuhusu kupigika na shida hiyo siyo hoja yangu,ingawa uko nakubaliana na wewe kwenye Hilo.
 
Ukitaka kujua hilo nenda kwenye sherehe za watu wenye hela au wasomi..utakutana na wanawake wa kiwango cha juu kwa uzuri.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa.
Watu wengi hudhani wazuri hivi huwa hawaolewi, hii si kweli.
Ila sisi wenye kipato cha kati huwa tunawakwepa kwa sababu ya kuogopa mengi na pia hata wait hukubali wenye nguvu kwa sababu ya wako kwenye solo lenye ushindani mkubwa na mwenye kisu kikali ndo hula nyama.
 
Back
Top Bottom