nguvu

  1. Baba Ndubwi

    JamiiForums Tanzania Uchawi upo duniani na una nguvu kubwa,lakini aliyeumba vyote chini ya jua ndiye mwenye nguvu zaidi

    Wakuu naimani kwa pamoja tunaendelea kujikinga sisi na familia zetu dhidi ya COVID-19.Ni jukumu letu sote kujikinga,kuwakinga na kuwaelimisha wengine jinsi ya kujikinga. Moja kati ya visa vingi ambavyo nimewahi kukumbana navyo katika maisha ya kuteswa na kutaabishwa na wachawi kwa miaka zaidi...
  2. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

    Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani. Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe --------- Mkuu wa wilaya ya Ilala...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Jinsi Upinzani utakavyoongezeka nguvu katika Uchaguzi ujao

    Mimi ni MCCM damu damu - na hata Idukilo wananijua. Tena wananijua sana - kuanzia wafanyakazi na hata wasio wafanyakazi. Nimejulikana sana kutokana kufanya biashara ya mazao na kukopesha watu wenye shida mbalimbali kwa riba nafuu. Kadri siku zinavyoenda naona dalili hata mimi mwenyewe naweza...
  4. Dunamist

    JamiiForums Tanzania Money Heist ni wazungu wanaosukuma bidii agenda zao kwa nguvu

    Habarini wakuu Poleni na taharuki ya COVID-19 Nmeangalia hii tamthilia ya MONEY HEIST (LA CASA DE PAPEL) kama wengi wenu mlivyofanya kipindi hiki cha karantini. Kati ya vitu nlivyogundua ni kwamba mabeberu wako siriaz na agenda zao. Hebu fikiria USHOGA na USAGAJI unavyokuwa displayed kwenye...
  5. Showio

    JamiiForums Tanzania Itambue nguvu ya Asili na tabia katika maisha yako

    Hata siku moja mti au mmea hauchagui aina ya tunda la kuzaa. Muembe hauchagui kuzaa embe au zambarau ni lazima muembe uzae embe. Mchungwa hauna option ya kuchagua kuzaa chungwa au chenza, nilazima utazaa chungwa kwasababu hiyo ndio asili yake na ndivyo lilivyokuwa designed na aliyeliumba. Kuna...
  6. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Haitatokea tena kupata Chama cha upinzani chenye nguvu kama NCCR Mageuzi chini ya Lyatonga Mrema

    Nasema kweli hata kama watu wachukie na wanune. Kile kilikuwa ni chama kilichojua kila mikakati ya kisiasa. Iwe ni propaganda au ishu ya ukweli. Chama kile hakikuwa na ukabila wala ukanda, kilijaa kila kabila na wasomi kedekede.Alikuwemo Mabere Marando, Marehemu Dk Sengondo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

    Nakumbuka zile mbwembwe nyingi za kufungua viwanda karibu kila wiki kwa wakati fulani mwanzoni mwa awamu yake. Viwanda vingi alivyovifungua, vyote vilikuwa ni juhudi za Rais Kikwete. Siku hizi hata kusikia tu lile neno la viwanda ni nadra kabisa, na baadhi yetu hatujui kama wizara hiyo bado ipo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mitandao: Kuanzia wiki inayonza kesho tunaweza kushuhudia kushuka kwa idadi ya waumini ktk nyumba za Ibada na mikusanyiko mingine ya kidini

    Hivi ndivyo navyoweza kusema/kutabiri kutokana na ukosoaji mkubwa unaoendele kufuatia hotuba ya Mheshimiwa sana aliyoitoa leo hii. Watu wanakosoa na hapo hapo wanatoa elimu(tahadhari) kwa umma wakitumia mifano hai ya yanayoendfelea katika nchi za wenzetu hivyo wanasaidia sana kuonya na kuamsha...
  9. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Mbu akitua kwenye korodani, hukufanya ujifunze kutumia akili kumwondoa kuliko kutumia nguvu!

    Ubarikiwe sana Baba Askofu Bagonza. Wewe ni dokta (PhD) wa ukweli... hakuna wa kufanana nawe kwenye tasnia yote ya kichungaji and beyond!
  10. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kipigo cha Polisi, Halima Mdee apima na kukuta kavunjwa mkono wake wa kulia

    #Updates #Kutoka_Hospital Taarifa halisi kutoka hospitali ya agha khan. Vipimo vya saa 10:00 alfajiri vinaonyesha kuwa Mh #Halima_Mdee amevunjwa mkono wake wa kulia na ana maumivu makali sana😭😭
  11. Luqman mohamedy

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuchangisha Milioni 350 ni maigizo na fedheha

    Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu. Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma. Shangingi mbili zinatosha kutoa hiyo pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC

    Baada ya kutumia nguvu nyingi kwa simba Leo yanga yawa mdebwedo kwa KMC
  13. Masinki

    JamiiForums Tanzania Jicho langu: Ni Nguvu ya umma dhidi ya Nguvu za Chama

    Poleni Sana ndugu zangu dhidi ya yote ya yaliyotokea Jana pale Kwa Hakimu Mkazi Kisutu.Niliamua kukaa kimya kusikiliza na kusubiri Nini kitajiri katika siku ile ngumu kwa wanachama wa CHADEMA na Familia ya Dr.Vicent Mashinji.hakika ilikuwa siku ngumu Sana Hadi baadhi Yao niliona wakiaga kabisa...
  14. Dukani

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote ya kutumia nguvu

    Kutokana na ugumu wa maisha natafuta kazi yoyote. Kama kuna mwenye connection na miradi ya barabara, maji nk, aniunganishe nipo tayari kuchimba hata mitaro. Nipo Arusha.
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kama CCM watatumia dola kubaki madarakani, sisi tutatumia nguvu ya umma kuwaondoa

  16. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Taoism: Falsafa ya kale ya China inayokupa nguvu ya kufanya bila kutenda

    Sisi binadamu huwa tunapenda kutumia nguvu kwenye kila jambo, kitu ambacho hakitupi matokeo mazuri mara zote. Lakini kupitia falsafa mbalimbali, tunajifunza hekima ambayo tukiweza kuitumia, tunaweza kufanya makubwa bila ya kutumia nguvu sana. Moja ya falsafa inayoweza kutupa nguvu ya aina hii...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Onyo: Wanasiasa kuwa makini, ukidharauliwa hapa JF tambua kwamba umedharauliwa mitaani na dunia nzima. JF ina nguvu sana

    Hili ni onyo ninalolielekeza kwa wanasiasa wenzangu , na hasa wale wenye wito na maono ya kugombea ubunge , Udiwani na Urais kama mimi . Andikeni ukweli na haki bila kutumikishwa kwa gharama ndogo au kubwa ili kujijengea heshima mbele ya jamii , Kwa sasa jf ndio pahala panapotumika na wananchi...
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya uumbaji ilishafanya kazi yake nzuri ya uumbaji, ni binadamu ndiye aliye uwanjani sasa

    Binadamu ni kiumbe aliyejaliwa uwezo mkubwa sana kuliko viumbe wengine wengi Duniani. Binadamu leo anaweza kuumba ayatakayo ikiwa tu atauelewa ilimwengu wa ndani unavyofanya kazi yake. Kwanza kabisa tunapaswa kujua hakuna kitu chochote alichokiumba mwanadamu ambacho hakijaanzia ndani yake. Leo...
  19. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya usumaku ya Ncha ya Kaskazini ya Dunia na utulivu wa usingizi wa Binadamu

    Dunia ina mengi yaliyogunduliwa na mengine wanaendelea kugundulika na kutokana na maendeleo makubwa ya sayansi na teknolojia mengi zaidi yanapata majibu na ufafanuzi. Leo natamani kuliweka suala hili la utulivu wa usingizi na nguvu ya uvutani ya Dunia jambo ambalo limepewa majibu mbalimbali...
  20. Kanjwinjwi

    JamiiForums Tanzania Iraq: Maelfu waandamana kushinikiza vikosi vya Marekani kuondolewa nchini humo

    A massive demonstration –called for by a prominent Shia cleric– has flooded the streets of the Iraq's capital Baghdad, with thousands voicing their anger at the US military presence there. Early on Friday morning, throngs of protesters – men and women, young and old – began amassing at...
Back
Top Bottom