Je, ni kweli kwamba Siku hizi nchini Tanzania ukitaka tu Bidhaa yako iuzike haraka ukisema inaongeza nguvu za Kiume utauza sana?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Kuna Matunda ambayo tokea nakua hadi hivi sasa nautafuta Uzee wangu yalikuwa yakidharaulika na hayapendwi kabisa Kuliwa na Watanzania ila cha Kushangaza Siku hizi baadhi ya Wajasiriamali ( Wafanyabiashara ) wakiyaandaa vyema, kuyaweka Sokoni na kusema ( kutangaza ) yanatibu au kuongeza Nguvu za Kiume basi yatauzika kwa haraka na hadi Mashambani yatagombewa.

Je, Ndugu zanguni inamaanisha kuwa hii ni Tafsiri iliyo wazi kuwa huenda Wanaume wengi wa Kitanzania ni Mbeguless Vitandani au ni Uongo tu?
 
hata wewe mwenyewe unaonekana kabisa unatatizo la nguvu za Kiume.

Karibu PM nikupatie tiba mdala la kuhusu tatizo lako.
 
Back
Top Bottom