nguvu

  1. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina nguvu lakini CHADEMA ina maarifa; watawala wanapaswa kuwa makini

    Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa Serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM. Lakini CHADEMA wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM. Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mama kesha Pasua Mbarika Tumuunge Mkono kwa nguvu zote

    Mama bila kumung'unya maneno leo akiongea na Baraza la Maaskofu (TEC), ametamka: "Corona ipo tuchukue hadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu." Kauli hii ni ya kijasiri kabisa. Heko mama Samia rais wetu kipenzi wa JMT. Mama ni wa kuungwa mkono kwa nguvu zote na waungwana wote...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Majina ya kurithi na nguvu zake juu maisha yetu

    Kwa kawaida katika jamii zetu tuna utamaduni wa watoto kupatiwa majina ya wanafamilia waliowatangulia, kwa mfano babu, bibi, mjomba, mama kubwa, etc. Lakini kumekuwa na upande mwingine wa story kutokana na utamaduni huu, namaanisha matokeo baada ya haya majina kupatiwa watoto. ■ Inasemekana...
  4. goodlif1600

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba anachokera hatumii nguvu nyingi kama wengine

    Huyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake ya Cinderella leo Ni 2021 nasikiliza recent release yake inaitwa "Ndombolo ". Aisee nasema ukweli...
  5. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni juhudi gani uliwahi fanya kupata mpenzi ukikumbuka unaishiwa nguvu?

    Wakuu watu wanazaliwa na kukua... Katika makuzi sometime unajikuta balehe inakupeleka kutaka kunyanduana, hivyo harakati za kutafuta wasichana zinaanza, hata ukubwani pia sasa hivi bila shaka kuna harakati pia za kutafuta pisi bado unafanya. Kiasi kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu. Je ni...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

    Sheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka. Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasifieni wake zenu! Kuna nguvu kwenye kusifu

    Uzi wa namna hii, nauandika leo kwa mara ya pili... Nikweli unamtunza, unamlisha, unamvisha n.k, lkn kumbuka, Nayeye anaouwezo wa kujifanyia hayo . Usimchukulie Poa, Usimdharau akajua, Usimsaliti akajua na ikitokea amejua jitahidi tu kutumia hata uongo unaojua kumplz , Usimfanye ajione hana...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Magharibi tayari yameiona nguvu ya China

    Mataifa ya Magharibi yamo kwenye mfumo wa ushindani na China. Changamoto za ulimwengu zinawalazimisha kuwa washirika zaidi kama Kongamano la Usalama la Munich inavyojaribu kutafuta uwiano wenye manufaa kwa pande zote. Wakati umechaguliwa vyema: Rais Joe Biden wa Marekani anaanza ziara yake...
  9. warumi

    JamiiForums Tanzania Lemutuz awashauri Wanawake waliopata wadhfa Serikalini watunge Sheria za kuwalinda Wanawake

    Kumbe mjomba wake Mange sometimes dish linakua active.
  10. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania Fanya haya ili biashara unayoianzisha isife

    1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo. 2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo. 3. Amua kujenga mahusiano...
  11. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Hati ya Kusafiria ya Tanzania (Passport) ina nguvu gani?

    Habarini wakuu, Naomba mtutoe tongo tongo hapa. Hati ya kusafiria ya Tanzania unaweza kuingia nchi ngapi bila visa na ni vema pia mwenye kujua hili akazitaja hata nchi zenyewe pia.
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Dokta Ntara: Nguvu za kiume hutibiwa kwa vyakula tu

    Kamati ya Bunge masuala ya Afya iliypkaa dodoma hivi karibuni , kupitia mbunge wake , ambaye pia ni daktari, imesema tiba ya nguvu za kiume ni vyakula na si madaewa, alkasusu, wala mengineyp yatajwayo. Wanawake watakiwa kuwacha wanaume wapumzike kidogo baada ya bao la kwanza, maana mwanaume...
  13. Stanboy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali hii tatizo la nguvu za kiume halitaisha

    Hello, Uvaaji wa wadada unatupa shida sana sisi wanaume tuliokamilika,kiasi kwamba tunajikuta tunasimamisha mara kwa mara. Unakutana na mdada kavaa mini skirt mapaja yote yako nje nje. Kifua kimeachwa kipumue wengine hata viuno viko nje..hizi suruali zilizochanwa chanwa nazo zimeongeza tatizo...
  14. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua uhusiano wa kifua kikubwa au six pax(mbavu nene) na Nguvu za kupigana

    nguvu za kupigana Mbinu za kupigana Style za kupigana ...zinahusikaje na Six pack Mbavu nene Misuli mikononi Midevu ya morison au rickross N.k??
  15. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

    Hawa ni moja ya watu waliotumia akili na maarifa kugundua vitu: 1. Isaack Newton 2. Albert Einstein 3. Stive Jobs 4. Eric Yuan 5. Sergey Brin na Larry Page Hawa ni moja ya waafrika (black) waliovunja rekodi za dunia kwa vipaji vyao. 1. Edison Arantes do Nascimento[Pele] kwenye (mchawi wa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Nguvu yetu ipo katika umoja wetu, tukumbushane hili tunapoikaribia miaka 60 ya uhai wa taifa letu

    Tarehe 9 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu inatimia miaka 60 ya uhuru wetu. Itakuwa ni siku maalum yenye kila sababu ya kupambwa na nyimbo za furaha na zenye kukumbusha maana pana ya uhuru wetu. Ni lazima tukumbushane kuwa umri huu tunaoufikia mwaka huu haujaweza tu kwa bahati kuweza kufikiwa...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

    Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima. Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Chonde Chonde: Kwa jicho la kiroho unatafutwa mlango COVID-19 iingie na ipate nguvu

    Ninaomba nieleweke. Ushauri wa kwanza kabisa wa kamati ya corona ni kwamba SERIKALI ITANGAZE UWEPO WA CORONA. Kwa maneno mengine serikali IKIRI (kwa kinywa chake) uwepo wa corona! Anayeshauri hivyo tayari amevaa barakoa! Hivi tukimwuliza ni kwa nini amevaa barakoa atasemaje? Kwa nini inatakiwa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunapotaka kutumia nguvu kubwa Kupindua Meza kwa Kaizer Chiefs FC je, tunaoenda kukutana nao Semi Finals tutawaweza?

    Najua kuanzia sasa nguvu Kubwa ya Kupindua Meza (kwa Fitna za nje ya Uwanja) zitaanza Kutumika ili Kuwafunga Kaizer Chiefs FC Wikiendi ijayo huku tukidanganywa sana kuhusu uwezo wa Timu yetu na Kuaminishwa mno na Kauli Mbiu za Kibabe za Kuujaza Uwanja ili Mapato yapatikane wakati wenye Kuujua...
Back
Top Bottom