Ushuhuda wa familia yetu: Nguvu kubwa itumike kuwafundisha watoto kujitegemea ili wasisote kama sisi wahitimu wa vyuo

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
Habari zenu wakuu,

Leo nmeona nitoe neno hapa, zama zimebadilika wadau, Kukazia elimu zamani ilikuwa ni kujiongezea uhakika wa kujitegemea ukiwa mkubwa kwa kuajiriwa serikalini au kwenye makampuni.

Na hata mimi binafsi kwenye familia yetu wazazi wetu walituasa sana tusome sambamba na adhabu kali na vipigo barabara pale tuliposhuka uwezo darasani.

Tupo wanne kwenye familia, wote tumemaliza vyuo, brother ana mssters, sista ana degree, mimi nina degree na cpa, mdogo wangu ana masters.

Ni mimi peke yangu ndie niliebahatika kupata ajira serikalini.

Hao wengine wamesota sana hizi ajira, nakumbuka kipindi flani braza na sista walimlipa kiongozi wa shirika flani ili tu wafanye kazi hapo kwa kujitolea ili waingeze experience na ikiyokea bahati basi waajiriwe lakini matokeo yake hata ajira zilipotangazwa nabinterviews kufanyika hawakuchaguliwa, inauma sana.

Baada ya kuona msmbo sio mambo na muda unaenda, braza akawa amechoka sana, braza akakodi frem akawa ni kinyozi, nakumbuka sekondari blaza alikuwa ni kinyozi wa shule yao huko boarding kwa hio ujuzi alikuwa nao, basi kutokana na umahiri wake na kuwa na wateja wengi aliozoeana nao kidogo blaza stress zikaanza kuisha, akajichanga akanunua hizi playstations michezo ya video akawa anachezesha mfuko ukazidi kutuna, biashara ikawa imenoga akajaribu kuweka costa barabarani zinazoenda wilaya nyingine.

Muda ukaenda akaongeza nyingine nae akanunua gari ya kutembelea, maisha yakaanza kuwa safi, saizi navyoongea hapa braza yupo vizuri angalau, ana miradi mingi tu lakini ile biashara ya kinyozi hajaifunga na ni lazima kila mwezi aende pale hata siku moja atshinda pale ananyoa wateja wanamshangaa, na kinachomsaidia ni kwamba ana elimu na anaongea kiingereza fresh tu kinachimsaidia. Kajenga nyumba, mke wake nae ana biashara yake ya duka kubwa tu la vipodozi, watoto wake wanasoma shule private.

Kwa upande wa sista aliolewa lakini hajakaa kizembe, tangu zamani sista alikuwa anapenda sana kupika, ndo kalenga biashara yake hapa alianzishaga kupika chakula home then anaenda kuuza kwenye frem yake, pesa akaingiza akafungua kamgahawa ka kizushi anapikia huko huko, bwana wake akamuongezea mtaji saizi ana restaurant na kama ni pesa anazichapa.

Kwa huyi mdogo wangu, mtoto wa mwisho, nae ajira ka apply sana japo ana mwaka moja tangu amalize chuo, anaendelea ku apply lakini tukamshika mkono asizubae wakati anaomba hizo ajira, kwa sasa yupo kwa braza ndie msaidizi wa blaza, na braza anampa mshahara wa laki 6 kila mwezi, tunategemea kumchangia mtaji aanze biashara yake akifikia miaka 26, Kwa sasa ana 24 tumeona bora ajifunze funze kwa braza biashara kwanza.

Kuhusu mimi kiukweli nimepata kuwa na wivu wa kimaendeleo, yani pesa anayoingiza kaka na dada kwa miradi yao, pamoja na huu mshahara wangu wa muhasibu mwenye degree + cpa serikalini bado siwezi kuwafikia kipato chao, hali hii ikanifungua akili na kuacha kuridhika na mshahara, mwaka juzi december nilifungua biashara ambayo nilipata changamoto sana hususani za kuibiwa ila nilisaidiwa sana kuzitatua kwa kutumia ushauri wa kaka na dada, Biashara yangu kwa sasa faida inayoingiza kwa mwezi baada ya gharama haifikii hata robo ya mshahara wangu, ni kinachouma hasa ukizingatia mtaji nliupata kwa mkopo lakini bado nakazana ivo ivo, changamoto kubwa ni kwamba mimi muda mwingi nipo kazini anabaki dada wa kazi
 
Kuna watu wapo majumbani kwa wazazi mashemeji au ndugu na vyeti vyao pamoja na degree kabatini.

Ila walikuwa wanamock mdada ambaye anaendesha bajaj na kusema anatumia elimu vibaya.

ni kitu cha kusikitisha kuona mpaka leo jamii za kiafrika zinachukulia elimu ni ajira tu na kuanzia chini ni matumizi mabovu ya elimu na sio kutumia elimu kutatua changamoto zako na za jamii.

Ungesema kwamba kuna mtu ana elimu kubwa ya chuo kikuu ila ni kinyozi ungeona hiyo negative reaction itakayofuata.
They think mafanikio ni kuibuka tu na vitu vikubwa ambavyo havijulikani chanzo chake wala hakuna kuanzia chini.

Ni vizuri mfumo wa elimu uboreshwe au ubadilishwe kabisa then tutaendelea kama taifa.
 
Umesema mdogo wako ana umri wa miaka 24, kwa maana hii, wewe utakuwa na 26+, umesema unakabiliwa na changamoto ya uangalizi kweye biashara zako, kwa kuwa huna mtu wa karibu wa kusimamia, nakushauri oa kwani umri wako unaruhusu.
 
Ushuhuda mzuri mkuu. Tumejifunza mengi.
 
Mindset za wazazi zibadilike kabisa mpaka sasa hivi kuna baadhi ya wazazi wanafurahia kuona shule kila wikiendi ina mitihani. Ni mara mia kila wikiendi kukawa na mabonanza au stadi za kazi.
Binafsi watoto wangu sipimi sana, uwezo wao kwa kuangalia darasani, nina watoto wawili, wa kiume yupo bado shule ya msingi nilimuhamisha kwenda shule wayotoka saa nane, kabla ya hapo alikuwa kwenye shule wanatoka saa 11 jioni niliona huu ni mzigo tu, saizi akitoka saa nane mchana kuna kazi kama kufua na kusaidia kazi za nyumbani inabidi afanye, pia anapata muda wa kuijua jamii (kusocialize) kwa kupata mda wa kucheza na watoto wenzake.

kila siku kasoro wikendi saa mbili hadi saa tatu lazima mimi au mama yake au ndugu yangu anamfundishe masomo ya shuleni, hii inatosha kabisa. darasani nampima kwa wastani na sio kushika namba moja, wastani wake ukiwa hata 60 mimi kwangu inatosha.

mambo ya kukaa shuleni hadi saa 11, tuition, n.k naona ni mzigo tu, kuhusu swala la yeye kwenda boarding sitaki kusikia kabisa, huyu ni mtoto anahitaji uangalizi makini wa watu wa karibu kama mimi na mama yake, huko boarding sitaruhusu aende hata akifika sexondary maana shule zipo nyingi tu sikuhizi ila ntachomongezea akifika sekondari labda tuition tu.

panapo majaliwa akimaliza form 4 wakati anasubiri matokeo huo mda ataenda veta na akirudi nyumbani inabidi ajishughulishe kwenye shughuli za kimaendeleo, sio kubaki tu mtaani.
 
Kuna watu wapo majumbani kwa wazazi mashemeji au ndugu na vyeti vyao pamoja na degree kabatini.

Ila walikuwa wanamock mdada ambaye anaendesha bajaj na kusema anatumia elimu vibaya.

ni kitu cha kusikitisha kuona mpaka leo jamii za kiafrika zinachukulia elimu ni ajira tu na kuanzia chini ni matumizi mabovu ya elimu na sio kutumia elimu kutatua changamoto zako na za jamii.

Ungesema kwamba kuna mtu ana elimu kubwa ya chuo kikuu ila ni kinyozi ungeona hiyo negative reaction itakayofuata.
They think mafanikio ni kuibuka tu na vitu vikubwa ambavyo havijulikani chanzo chake wala hakuna kuanzia chini.

Ni vizuri mfumo wa elimu uboreshwe au ubadilishwe kabisa then tutaendelea kama taifa.
Yaani acha tu, braza alipoanza kuwa kinyozi wengi sana walimnyoshea vidole na kumcheka kwamba ana masters na hana ajira, kitu kilichomsaidia braza ni elimu yake kuitumia kwenye harakati zake tangu kaanza kuwa kinyozi, alikuwa na elim kwa hio haya mambo kama kutunza pesa haikuwa shida kwake, leo hii mtu hawezi kuamini kwamba alikuwa kinyozi.
 
Umesema mdogo wako ana umri wa miaka 24, kwa maana hii, wewe utakuwa na 26+, umesema unakabiliwa na changamoto ya uangalizi kweye biashara zako, kwa kuwa huna mtu wa karibu wa kusimamia, nakushauri oa kwani umri wako unaruhusu.
Naona dogo kakimbilia mshahara wa laki 6 huko kwa bro 😂😂, ila sio kesi, changamoto ni sehemu ya biashara, nabyojifunza kuzitatua napata experience kubwa
 
Kuna watu wapo majumbani kwa wazazi mashemeji au ndugu na vyeti vyao pamoja na degree kabatini.

Ila walikuwa wanamock mdada ambaye anaendesha bajaj na kusema anatumia elimu vibaya.

ni kitu cha kusikitisha kuona mpaka leo jamii za kiafrika zinachukulia elimu ni ajira tu na kuanzia chini ni matumizi mabovu ya elimu na sio kutumia elimu kutatua changamoto zako na za jamii.

Ungesema kwamba kuna mtu ana elimu kubwa ya chuo kikuu ila ni kinyozi ungeona hiyo negative reaction itakayofuata.
They think mafanikio ni kuibuka tu na vitu vikubwa ambavyo havijulikani chanzo chake wala hakuna kuanzia chini.

Ni vizuri mfumo wa elimu uboreshwe au ubadilishwe kabisa then tutaendelea kama taifa.
Wazungu wanasema action speak louder than words.....

Ofcorse watanzania tuna tabia ya kukosoa Sana KILA kitu...... Utakuta mtu kweny mpira.... hata kupiga danadana kumi hawezi....Ila kwenye ukosoaji hatujambo......

Ni mabingwa wa kuongea na kupanga mipango Ila utendaji Ni sifuri.....
Atakwambia ukipanda Miche 1000 ya matikiti maji....KILA tikikiti likatoa matikiti ma tatu =3000
Ukiuza 1000*3000=3,000,000

Mwanafalsa mmoja aliwai kusema Ni rahisi Sana KWA mwanaume kuwapiga Mimba hata wanawake kumi kwa mwezi..... Lakini akashindwa kutumia hizo nguvu na akili katika kupambana na umaskini.....

Tukiendelea hivi siku MOJA ukimuuliza mtoto mdogo ukikua utapenda kua nani usishangae akakujibu.... DIAMOND PLATNUM
Maana ameshuhudia watu wanasoma mpk vyuo...ameshuhudia kaka, dada, wajomba, na wengineo pamoja na ELIMU Zao hawana lolote
Eg.
Mtoto anazaliwa mpk anafikisha miaka 7 BADO tu mtu yupo anakaa kwa shemeji bila Impact yeyote.....

Napingana na wote wanao sema mtu asome mpaka ELIMU za juu nazungumzia degree mpaka masters....
Alaf awe bodaboda,saidia Fundi, kinyozi, chinga N.k
Haikubariki......

Serikali inabidi kuliangalia hili maana Ni bomu....
 
Binafsi watoto wangu sipimi sana, uwezo wao kwa kuangalia darasani, nina watoto wawili, wa kiume yupo bado shule ya msingi nilimuhamisha kwenda shule wayotoka saa nane, kabla ya hapo alikuwa kwenye shule wanatoka saa 11 jioni niliona huu ni mzigo tu, saizi akitoka saa nane mchana kuna kazi kama kufua na kusaidia kazi za nyumbani inabidi afanye, pia anapata muda wa kuijua jamii (kusocialize) kwa kupata mda wa kucheza na watoto wenzake.

kila siku kasoro wikendi saa mbili hadi saa tatu lazima mimi au mama yake au ndugu yangu anamfundishe masomo ya shuleni, hii inatosha kabisa. darasani nampima kwa wastani na sio kushika namba moja, wastani wake ukiwa hata 60 mimi kwangu inatosha.

mambo ya kukaa shuleni hadi saa 11, tuition, n.k naona ni mzigo tu, kuhusu swala la yeye kwenda boarding sitaki kusikia kabisa, huyu ni mtoto anahitaji uangalizi makini wa watu wa karibu kama mimi na mama yake, huko boarding sitaruhusu aende hata akifika sexondary maana shule zipo nyingi tu sikuhizi ila ntachomongezea akifika sekondari labda tuition tu.

panapo majaliwa akimaliza form 4 wakati anasubiri matokeo huo mda ataenda veta na akirudi nyumbani inabidi ajishughulishe kwenye shughuli za kimaendeleo, sio kubaki tu mtaani.
Dah!

Waafrica sasa tumeanza kuamka! Hongera kwa kujiongeza chief!

Mi binafsi now Nina 34 yrs lakini bado nazurura, sina uhakika wa maisha na hii yote sababu sina ujuzi

Ujuzi ni muhimu Sana kwa maisha ya sasa

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom