ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jamani mpeni ushauri ndugu yangu, kaoa mzungu!

    Ndugu yangu kasoma Ulaya miaka mitatu. Alikuwa akiniambia ana totoz pisi kali ameoa kabisa. Wamefika airport DSM majuzi, nimeenda kuwapokea. La karibu nianguke! Bibie ana macho utafikiri indiketa za subaru! Nimshauri nini?
  2. Bambalaga01

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni ndugu zangu!

    Nafurahi kuwa pamoja nanyi ndugu zangu. Ahsanteni
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Enyi Wanamichezo kwa 'Kauli' hii ya Mukoko Tonombe aliyoisema kwa Ndugu yake Mmoja leo amemaanisha nini ?

    "Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi kwani ni Wachezaji ambao nawapenda, nawatamani na bahati mbaya sana nilipo sasa sijaona wa...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Utata wa ndugu kutoka bush

    Tukiwa wadogo tulitembelewa na binamu yetu kutoka kijijini. Tulimpokea vizuri na kwasababu tulikuwa rika moja tukalala pamoja. Usiku ule tulikula chips na nyama za kukaangwa. Ndugu yangu yule alishangaa tunaweka tomato sauce, akadhani damu. Alipoionja akadatishwa na ladha yake. Akamimina kwa...
  5. akajasembamba

    JamiiForums Tanzania Harusi bila wazazi wa kiume wala ndugu upande wa baba pande zote

    Hivi karibuni nikiwa mkoa mmoja kaskazini mwa nchi yetu, nilihudhuria sherehe ya harusi, ambayo pamoja na kushangaa na waliojitambulisha ni wenyeji wa mkoa wa kaskazini na siyo mwambao, sherehe nzima nyimbo zilizotawala ni taarabu za kisasa(rusha roho na mipasho) kingine kilichonishangaza ni...
  6. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Ametaka nimtambulishe kwa ndugu zangu. Nimemtambulisha tumerudi amenuna

    Huyu dada namfahamu mwezi wa tatu sasa. Ni mzuri sana kwa sura na umbo. Shida zipo ndogo ndogo. Watu ambao amewafollow instagram ni watu ambao mimi naona wa hovyo hovyo. Wasanii n.k. Anavifahamu viwanja ile mbaya na anapiga sana maji. Ana elimu ya Degree hapo IFM. Anaweza akaja kwangu.there was...
  7. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

    Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho. Ilikuwa kwa vyovyote vile asitangazwe mshindi...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Ualimu ndugu zangu

    Habari za saa hizi ndugu zangu, Aise! Maisha ni changamoto kubwa sana kwangu kwa sababu ya kukosa hata kodi ya nyumba. Nilikuwa nasoma chuo Dar es Salaam. Chuo nimemaliza natafuta kazi. Elimu yangu: BA-ED (Bachelor of arts with Education). (Nimemaliza mwaka huu nasubiri transcript). Masomo ya...
  9. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Mbowe, Mungu atakulipia yote

    Salaam, Kama kuna mwanasiasa ambaye amelipa gharama kubwa za kutetea upinzani hapa Nchini, basi Mbowe anaongoza kwa nyakati hizi. Tangu wakati wa Jakaya Mbowe ametumia sana rasilimali zake kuijenga CHADEMA, ameswekwa ndani na vipigo mara kwa mara. Muhimu tu Jakaya alilinda UTU na alikuwa na...
  10. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu Herry James afika Meatu kuokoa Jahazi la CCM

    Baada ya mgombea urais wa CCM kusema kuwa hatoweza kufika baadhi ya mikoa hapa Tanzania, CCM imemutuma Ndugu Herry James ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa kuwa kusawazisha mambo. Je, ataweza?
  11. Mag3

    JamiiForums Tanzania GE2015 Shuhudieni CCM walivyoshangilia tishio la kupotezwa kwa Watanzania wenzao wenye mawazo tofauti, halafu eti tunashangaa ndugu zetu wapinzani kupotea!

    Naam, hiyo ndiyo Tanzania na hao ndio viongozi wa chama tawala wanaotaka tuwape ridhaa ya kuendelea kututawala kwa miaka mingine mitano. Cha ajabu ni kwamba wapo Watanzania wenzetu ambao wako tayari kutoa ridhaa hiyo bila hata kuhoji. Kitu kimoja kilicho wazi ni kwamba tukifanya makosa tena...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwenu ndugu zangu watanzania zingatia haya

    Ndugu zangu nawasalim wote wakubwa kwa wadogo kupitia yule atupae pumzi. Kichwa cha habari hapo juu chahusika na tukiwa tumebaki na siku mbili kuwapigia viongozi wetu tuwatakao, hivyo zingatia yafuatayo 1. Tafadhali sana kapige Kura, na chagua kiongozi umpendaye bila shurti ya mtu yeyote 2...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu Polepole ahadi ni deni tupo ndani ya siku saba za mwisho katika kampeni

    Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7 za mwisho za kampeni. Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha ahadi yako hii, japokuwa una kazi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta CV ya Josephat Gwajima

    Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii. Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k. Tabia zake na za...
  15. Shark

    JamiiForums Tanzania GE2020 "Maendeleo Hayana Vyama" v/s "Mkinichagulia Wapinzani Sitoleta Maendeleo"

    Wakuu Kwema? Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake. Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au...
  16. kidadari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Pale Polepole akiwatambia Watanzania kuwa Watendaji wa CCM wanatembelea Land Cruiser V8

    Hii clip imenifikirisha kweli maana sijajua kama ni kuwakejeli Watanzania kua wanaishi kifahari kuliko wao? Ulimbukeni wa H. P baada ya kupata hela na madaraka ? Au Wa Tz ni makimbikeni kiasi hata hawajui LC V8 ni nini. Huu ubabe na kujimwambafy utafika kikomo.
  17. Tanki

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni msaada kuhusiana na skrill

    Juzi juzi tu hapa nilifungua account. Baada tu ya kuifungua nikadeposit pesa USD 10 na cent 50. Ni kama elfu 24 hivi. Hiyo hela niliideposit kutoka kwenye mastar card ya M-PESA. Hela ikaingia na nikaiona kabisa balance USD 10.50 Nia yangu nilikuwa nataka deposit tena kutoka skrill kwenda kwa...
  18. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Utafiti Wangu: Watoto wengi hupenda zaidi ndugu upande wa mama kuliko upande wa baba

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania kulingana na utafiti wangu; Kwanini katika familia nyingi watoto wengi hupenda zaidi ndugu wa upande wa mama kuliko wale wa upande wa baba zao? Ni mara chache sana utaona mtoto wa baba mdogo na mkubwa wanasaidiana...
  19. Mafeking

    JamiiForums Tanzania Nawatafuta ndugu zangu, Sophia Antony Marwa na Marwa Antony Marwa

    Habarini wakuu nawatafuta ndugu zangu wafuatao Sophia Antony Marwa, Marwa Antony Marwa Nilipotezana nao 2003 mkoani Mbeya, Nlikuwa bado mdogo sana. Pia Omari M Mwita, John M Mwita ni ndugu nawatafuta. kwa ambae atakuwa anawafahamu tafdhari naomba tuwasiliane kwa namba 0753500631/0784304324...
  20. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

    Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu) Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari...
Back
Top Bottom