Ametaka nimtambulishe kwa ndugu zangu. Nimemtambulisha tumerudi amenuna

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Huyu dada namfahamu mwezi wa tatu sasa. Ni mzuri sana kwa sura na umbo. Shida zipo ndogo ndogo. Watu ambao amewafollow instagram ni watu ambao mimi naona wa hovyo hovyo. Wasanii n.k. Anavifahamu viwanja ile mbaya na anapiga sana maji. Ana elimu ya Degree hapo IFM.

Anaweza akaja kwangu.there was a time alikuwa likizo. Week nzima amekuja tunakaa asubuhi tunaenda kunywa supu chapati,mchana restaurant na jioni pia.

Kwenye friji kuna vyakula vinaitaji kupikwa. Wala haangiki kabisa.mimi sometimes ndo napika.anakula vizuri bila shida.tutatoa vyombo atarudi sebuleni kucheck movie. Aliwahi nambia hapendi osha vyombo.

Sasa anategemea mimi nimpangie kazi kweli? Na hapo anategemea tuwe wachumba.kama ndani kushafisha anasafisha mdogo wangu.so yeye niwe namtiah tu basi?si sawa.

Akawa anataka nimtambulishe kwa wadogo zangu.basi kwenye event moja nikawaita wadogo zangu wawili.nikawaambia "huyu anaitwa Fatma" na yeye nikamwambia "huyu ni x na huyu ni y"

Basi nikawaruhus waende.alibadilika.tumerudi njia nzima amenuna.week sasa namwona kama mzito kwangu ktk mawasiliano na hivi amemaliza likizo karudi kwake.nami nmeuchukua uzito wake kama chanzo cha kuushusha mgongoni. Wadada wa miaka hii mbadilike mjifunze kuwa wake.
 
Nilivosikia IFM nimetetemeka mwili mzima...hukukaona kale kavidio mkuu...nahisi hukuwa na connection...mi mademu wa maisha ya bongo muvi hapana kwa kweli...nataka demu hata nikimpeleka Tukuyu mama akimwambia waende kupalilia njugu mawe aweze,akiambiwa atwange mihogo aweze, akiambiwa akasenye kuni aweze..na najua ntapata wa kufanana na mimi...
 
Wa la 7 wapo wengi wa hivo, akishasoma hata cheti tu ni hatati
 
Nilivosikia IFM nimetetemeka mwili mzima...hukukaona kale kavidio mkuu...nahisi hukuwa na connection...mi mademu wa maisha ya bongo muvi hapana kwa kweli...nataka demu hata nikimpeleka Tukuyu mama akimwambia waende kupalilia njugu mawe aweze,akiambiwa atwange mihogo aweze, akiambiwa akasenye kuni aweze..na najua ntapata wa kufanana na mimi...
Tafuta tractor
 
Back
Top Bottom