Uchaguzi 2020 Ndugu Polepole ahadi ni deni tupo ndani ya siku saba za mwisho katika kampeni

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,938
25,280
Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7 za mwisho za kampeni.

Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha ahadi yako hii, japokuwa una kazi nyingi za kuratibu kampeni za lala salama, lakini kuna umuhimu wa kulishughulikia suala hili kama karata ya mwisho katika ushindi.

Kinyume na hapo tutaanza kuamini kwamba ulikuwa unapiga porojo tu na hata kutia doa ahadi nyingi nzuri zilizozwekwa kwenye ilani unayoinadi hivi sasa.

Kumbukizi

Uchaguzi 2020 - Ndugu Polepole kitendo cha kusema hadharani kuwa Lissu "Siyo mwenzetu" na umepanga kumuanika siku saba za mwisho ni upuuzi mwingine katika siasa!
 
Unazani chakubanga ana jipya?

Kama anabisha ajikune hata kidogo aone atakavyoshambuliwa na Lissu
 
Wajumbe wanaulizia ile "Count Down" aliyo jisifia kuja kushuka nayo kama mwewe on daily basis! Aje hapa tunamtaka!
 
Huyu Chakubanga mgonjwa wa zika adharauliwe tu
FB_IMG_1603279325570.jpg
 
Ndugu Polepole nakumbuka uliitisha vyombo vya habari na kutoa shutma dhidi ya Mgombe wa Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu A. Lissu kuwa "sio mwenzetu" na uliahidi kumuanika hadharani katika siku 7 za mwisho za kampeni.

Napenda kuchukua fursa hii kukumbusha ahadi yako hii, japokuwa una kazi nyingi za kuratibu kampeni za lala salama, lakini kuna umuhimu wa kulishughulikia suala hili kama karata ya mwisho katika ushindi.

Kinyume na hapo tutaanza kuamini kwamba ulikuwa unapiga porojo tu na hata kutia doa ahadi nyingi nzuri zilizozwekwa kwenye ilani unayoinadi hivi sasa.

Kumbukizi

Uchaguzi 2020 - Ndugu Polepole kitendo cha kusema hadharani kuwa Lissu "Siyo mwenzetu" na umepanga kumuanika siku saba za mwisho ni upuuzi mwingine katika siasa!
 
Uyu ndo yule alie kua ana jitamba wana tembelea V8 . wata nyooka mwez u
 
Chakubanga anazungumzia v8 wakati huko nanjilinji mtu anakunywa maji kisima kimoja na mifugo sasa migari ya gharama haijui na haimsaidii chochote maana hata ambulance ni shida
 
Tanzania imekuwa Muhanga wa Siasa za Maji taka za CCM kwa miongo mingi ya Magufuli
 
Back
Top Bottom