Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.
Habari wanajukwaa,
Kwa masikitiko nimepata habari ya kifo cha huyu mamangu Mama Mwambenja (mkurugenzi mtendaji wa iliyokuwa Covenant Bank).
Nilikuwa nafanya kazi zake na nahitaji kuziwakilisha kwa ndugu zake au mtu wake wa karibu, kwa yeyote mwenye contact na ndugu yeyote tafadhali naomba...
Katika maisha ya binadamu mara zote kimbilio kuu huwa ni ndugu katika kutatua jambo la dharura!
Kwa unavyowajua ndugu zako, wewe na ndugu zako kukiwa na jambo la dharula na mkaamua kuchangishana hapo kama wana ndugu ndani ya siku moja au mbili mnaweza kupata top top Tsh ngapi ile Maximum...
Naomba kujua siri ya huyu mtu aliyekuwa mkuu wa Mkoa Tabora.
Mbona alikuwa tishio sana kutisha wananchi na kuongea hovyo lakini hashutumiwi kwa lolote?
Huyu ni mtu wa aina gani?
Mabibi na mabwana hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Wengine leo na wengine kuanzia kesho. Yote kheri.
Pichani ni kutokea Kigali Rwanda, sherehe za Eid katikati ya Corona inawezekana!
Kunawa nawa mikono, social distancing + kuvaa barakoa hadi pale tume ya mama itakapotoa tamko rasmi, mdogo...
Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa mateso ya Watanzania, huyu alikuwa wino halisi wa kitabu cheusi cha utawala uliopita. Biswalo ni roho...
Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
Hivi wakuu nanyie mnaona kama mimi au?
Mbona kama ile Tamaduni yetu ya kutembeleana haipo tena.
Unajua ile tunakua, ilikua unasikia..Likizo hii tunaenda kwa Shangazi..kwa Baba mdogo. Kwa Mjomba... Kwa Bibi ...n.k
Lakini siku hizi hii kitu haipo
Au Mitandao yakijamii imechukua nafasi...yaan...
habari za jioni.
samahani kama nawasumbua.
nilikuwa namuulizia jamaa anaitwa Ushimen kama yupo humu.
shida yangu ni kumsalimia tuu.
sisi watanzania tumefunzwa utamaduni wa kujuliana hali hata kama hamjuani.
kama unamfahamu na hayupo humu mpelekeeni salamu zake.
Naomba nianze na baadhi ya vituko wanavyo tufanyia wakenya hawa tunaojiita ndugu zetu wa damu, damu gani?
Wakenya miaka ya 70 tena kupitia radio na televisheni ya taifa waliwai kumkashfu baba wa taifa Nyerere kwa kusema MCHONGA MENO AMESHINDWA KUONGOZA NCHI YAKE.
Wakati Nyerere anatukanwa sisi...
Nilikuwa naendesha gari langu kwa kasi, macho mbele bila kutazama tazama kushoto au kulia kwa barabara. Ndugu yangu aliniona akanisimamisha nimpe lifti lakini bahati mbaya mimi sikumuona nikampita. Tulipoonana uso kwa uso alikuwa amejaa hasira, akaniuliza kwanini siku ile alinisimamisha...
Yaani kama haki itachukua Mkondo wake, basi Matanganyika watakuwa hawana hata ufukwe, mnatakiwa muwaheshimu sana watu wa Zanzibar.
Na ndio sababu wanasema wataulinda Muungano, Sasa Rais Samia akiridhia kuirudishia Zanzibar ukanda wake, mtamfanya nini,yeye ndio Mkuu wa majeshi, yeye ndio Rais...
CCM bado ni chama imara ki-muundo na ki-mfumo pia.
Ukiangalia mpangalio wa vikao wa CCM hakika unajawa na haja ya kuwafuatilia na kuziheshimu sera na itifaki zao.
Pamoja na kulalamikiwa imekuwa ikitumia dola kubaki madarakani lakini bado chama hicho kinazo sifa na uwezo wa kuendelea kuongoza...
Askari JWTZ Mbaroni kwa Kuua Mke kwa Kumchoma na Kisu kwa kile kinachodaiwa ( na ambacho GENTAMYCINE nina uhakika nacho ) kuwa ni Wivu tu wa Kimapenzi.
Chanzo: Habari Leo Ukurasa wa 3
Sasa nyie Marafiki zangu ( Wajeda ) mnakuwa na Wivu hivi kwakuwa 'mnamegewa' sana Wake zenu mbona na nyie...
Habarini wana ndugu,
Binafsi ni mgeni katika uwanja huu awali ya yote ningependa kubisha hodi humu ndani. Mada yangu haswa ni kuhusu muungano wetu ambao tumekuwa nao kwa kitambo sasa.
Linapokuja suala la muungano tumekuwa tukisikia swala la kuwaenzi waasisi wetu ilhali kuna mengi waasisi...
Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu.
1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
Ndugu zangu, nimekuwa kwenye stress za muda mrefu kiasi cha kupata panick attacks mara kwa. Nimekuwa mtu wa kunywa antidepressants sasa.
Naombeni mnipe neno la faraja angalau nione kuwa dunia bado ina watu wema.
Habarini za jioni,
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mara kadhaa nimeona katika mitandao Ndugu yetu,kaka yetu Lissu akizungumza kuwa atarudi Tanzania endapo jambo fulani na fulani litafanyika.
Hii sio sawa kwa sababu zifuatazo:
Kusema kuwa mukitaka nirudi basi mufanye...
Habarini wana jamvi. ..
Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife...
Kwanin siku zote ndugu wa karibu wanakuwaga wanafk sana na ndugu wa mbali anakuwa bora na ujio wake lazima ufurahie ila ndugu wa karibu akikutembelea unahisi anakuja kukuchora tu!!!!
Na asilimia kubwa ukiishi na ndugu wakaribu lazima maneno ya kinafki yanatokea sana japo sio wote ila asilimia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.