Uchaguzi 2020 "Maendeleo Hayana Vyama" v/s "Mkinichagulia Wapinzani Sitoleta Maendeleo"

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Wakuu Kwema?

Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake.

Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au kauli mojawapo katika mikutano yake mbalimbali ya kampeni anayofanya. Ingawa kubagua kupeleka maendeleo sehemu zisizo na Mbunge wa CCM ni kuwasaliti hata madiwani wa CCM wa Jimbo hilo husika lakini hapa ninazungumzia maana ya kauli hizi katika lugha ya Kiswahili.

Mimi kwa uelewa wangu, na natumai wengi wetu tunaelewa hivyohivyo ni kua kauli hizi zinakinzana zenyewe. Yaani panapokuwepo na kauli mojawapo katika hizi basi ingine haiwezi kuwepo.

Huwezi ukabagua kupeleka maendeleo sehemu ambazo hawakumchagua mpinzani kisha kauli ya "Maendeleo Hayana Vyama" ikaendelea kua na mantiki. Hizi kauli mbili ni sawa na urushe "Shillingi" kisha matokeo yawe ni both "Head and Tail" kwa wakati mmoja, kitu ambacho ni haiwezekani.

Kwa Magufuli kuendelea kuhubiri kauli hizi ni kuthibitisha aidha ye mwenyewe hajui maana halisi ya kiswahili ya hizi kauli, au anazielewa vyema ila ameamua kutudhihaki Watanzania akijua kama hata kama anaongea vitu visivyoendena lakin mwishowe hatutakua na cha kumfanya.

Inawezekana hata wafuasi wake nao hawaelewi kwanini anaendelea kukosea kuhubiri kaulizi hizi mbili kwa pamoja lakini kwa kumuogopa wanashindwa cha kumfanya.

Wito wangu Kwa Ndugu Mgombea huyu ni achague tu upande mmoja bdio auhubiri huo huo. Yaani awe moto au baridi, lakini sio vuguvugu au kuuma na kupuliza kama anavyofanya, ni hayo tu.
 
Wakuu Kwema?

Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake. Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au kauli mojawapo katika mikutano yake mbalimbali ya kampeni anayofanya. Ingawa kubagua kupeleka maendeleo sehemu zisizo na Mbunge wa CCM ni kuwasaliti hata madiwani wa CCM wa Jimbo hilo husika lakini hapa ninazungumzia maana ya kauli hizi katika lugha ya Kiswahili.

Mimi kwa uelewa wangu, na natumai wengi wetu tunaelewa hivyohivyo ni kua kauli hizi zinakinzana zenyewe. Yaani panapokuwepo na kauli mojawapo katika hizi basi ingine haiwezi kuwepo. Huwezi ukabagua kupeleka maendeleo sehemu ambazo hawakumchagua mpinzani kisha kauli ya "Maendeleo Hayana Vyama" ikaendelea kua na mantiki. Hizi kauli mbili ni sawa na urushe "Shillingi" kisha matokeo yawe ni both "Head and Tail" kwa wakati mmoja, kitu ambacho ni haiwezekani.

Kwa Magufuli kuendelea kuhubiri kauli hizi ni kuthibitisha aidha ye mwenyewe hajui maana halisi ya kiswahili ya hizi kauli, au anazielewa vyema ila ameamua kutudhihaki Watanzania akijua kama hata kama anaongea vitu visivyoendena lakin mwishowe hatutakua na cha kumfanya. Inawezekana hata wafuasi wake nao hawaelewi kwanini anaendelea kukosea kuhubiri kaulizi hizi mbili kwa pamoja lakini kwa kumuogopa wanashindwa cha kumfanya.

Wito wangu Kwa Ndugu Mgombea huyu ni achague tu upande mmoja bdio auhubiri huo huo. Yaani awe moto au baridi, lakini sio vuguvugu au kuuma na kupuliza kama anavyofanya, ni hayo tu.
Connection
IMG_20201001_150228.jpg

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli ni mkatili na mtu mwenye roho mbaya kupita kawaida. Na mbaya zaidi roho mbaya yake kwenye masaa 24 anaweza kuificha kwa dakika zisizozidi 30 tu. Ndo mana kila mtanzania sasaivi anajionea ni kwa jinsi gani alivyo mtu wa ajabu na hafai kuwa kiongozi.

Katika upeo wangu na uzoefu wangu kamwe sijawai ona mgombea uraisi iwe Tanzania hata nje ya Tanzania aliyetamka hadharani tena mchana kweupe kuwa msipomteua mtu wake kuwa mbunge basi sahauni kupata maji. Nasema haijawai tokea. Magufuli ndo wa kwanza!!
 
Nimejiuliza hivi hata mwenyewe anaelewa maana hasa ya hizi kauli? Inaweza kua ninamlaumu bure kumbe hata yeye hajui kama anakosea. Kama anaamini kweli "maendeleo Hayana Vyama" basi anatakiwa apeleke maendeleo sehemu ZOTE bila kujali Wabunge au Madiwani wanatoka maeneo gani. Hii ndio maana halisi ya Maendeleo Hayana Vyama
 
Magufuli ni mkatili na mtu mwenye roho mbaya kupita kawaida. Na mbaya zaidi roho mbaya yake kwenye masaa 24 anaweza kuificha kwa dakika zisizozidi 30 tu. Ndo mana kila mtanzania sasaivi anajionea ni kwa jinsi gani alivyo mtu wa ajabu na hafai kuwa kiongozi.

Katika upeo wangu na uzoefu wangu kamwe sijawai ona mgombea uraisi iwe Tanzania hata nje ya Tanzania aliyetamka hadharani tena mchana kweupe kuwa msipomteua mtu wake kuwa mbunge basi sahauni kupata maji. Nasema haijawai tokea. Magufuli ndo wa kwanza!!
Ndio maana anathubutu kutamka hadharani kua atawanyima watu Maji (Maji=uhai/life) kama hawatomchagua Mbunge wa Chama chake
 
Wakuu Kwema?

Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake.

Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au kauli mojawapo katika mikutano yake mbalimbali ya kampeni anayofanya. Ingawa kubagua kupeleka maendeleo sehemu zisizo na Mbunge wa CCM ni kuwasaliti hata madiwani wa CCM wa Jimbo hilo husika lakini hapa ninazungumzia maana ya kauli hizi katika lugha ya Kiswahili.

Mimi kwa uelewa wangu, na natumai wengi wetu tunaelewa hivyohivyo ni kua kauli hizi zinakinzana zenyewe. Yaani panapokuwepo na kauli mojawapo katika hizi basi ingine haiwezi kuwepo.

Huwezi ukabagua kupeleka maendeleo sehemu ambazo hawakumchagua mpinzani kisha kauli ya "Maendeleo Hayana Vyama" ikaendelea kua na mantiki. Hizi kauli mbili ni sawa na urushe "Shillingi" kisha matokeo yawe ni both "Head and Tail" kwa wakati mmoja, kitu ambacho ni haiwezekani.

Kwa Magufuli kuendelea kuhubiri kauli hizi ni kuthibitisha aidha ye mwenyewe hajui maana halisi ya kiswahili ya hizi kauli, au anazielewa vyema ila ameamua kutudhihaki Watanzania akijua kama hata kama anaongea vitu visivyoendena lakin mwishowe hatutakua na cha kumfanya.

Inawezekana hata wafuasi wake nao hawaelewi kwanini anaendelea kukosea kuhubiri kaulizi hizi mbili kwa pamoja lakini kwa kumuogopa wanashindwa cha kumfanya.

Wito wangu Kwa Ndugu Mgombea huyu ni achague tu upande mmoja bdio auhubiri huo huo. Yaani awe moto au baridi, lakini sio vuguvugu au kuuma na kupuliza kama anavyofanya, ni hayo tu.
Maendeleo hayana chama means maendeleo hayabagui. Kama ni ndege si wanapanda, Umeme wanatumia, flyover twatumia sote. Inahitajika chama kuyaleta hayo maendeleo, na chama chenyewe ni CCM na sio vinginevyo.
 
Wakuu Kwema?

Wengi wetu tumekua tukimsikia Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, Bw. John Joseph Magufuli akizitoa kauli hizi mbili za "Maendeleo Hayana Vyama" na "Mkinichagulia Wapinzani Sintoleta Maendeleo" katika maeneo mbalimbali kwenye Kampeni zake.

Amekua akizitoa aidha kwa wakati mmoja, au kauli mojawapo katika mikutano yake mbalimbali ya kampeni anayofanya. Ingawa kubagua kupeleka maendeleo sehemu zisizo na Mbunge wa CCM ni kuwasaliti hata madiwani wa CCM wa Jimbo hilo husika lakini hapa ninazungumzia maana ya kauli hizi katika lugha ya Kiswahili.

Mimi kwa uelewa wangu, na natumai wengi wetu tunaelewa hivyohivyo ni kua kauli hizi zinakinzana zenyewe. Yaani panapokuwepo na kauli mojawapo katika hizi basi ingine haiwezi kuwepo.

Huwezi ukabagua kupeleka maendeleo sehemu ambazo hawakumchagua mpinzani kisha kauli ya "Maendeleo Hayana Vyama" ikaendelea kua na mantiki. Hizi kauli mbili ni sawa na urushe "Shillingi" kisha matokeo yawe ni both "Head and Tail" kwa wakati mmoja, kitu ambacho ni haiwezekani.

Kwa Magufuli kuendelea kuhubiri kauli hizi ni kuthibitisha aidha ye mwenyewe hajui maana halisi ya kiswahili ya hizi kauli, au anazielewa vyema ila ameamua kutudhihaki Watanzania akijua kama hata kama anaongea vitu visivyoendena lakin mwishowe hatutakua na cha kumfanya.

Inawezekana hata wafuasi wake nao hawaelewi kwanini anaendelea kukosea kuhubiri kaulizi hizi mbili kwa pamoja lakini kwa kumuogopa wanashindwa cha kumfanya.

Wito wangu Kwa Ndugu Mgombea huyu ni achague tu upande mmoja bdio auhubiri huo huo. Yaani awe moto au baridi, lakini sio vuguvugu au kuuma na kupuliza kama anavyofanya, ni hayo tu.
Jiwe ni mbaguzi hiyo ata haina siri
 
Back
Top Bottom