Natafuta kazi ya Ualimu ndugu zangu

Codename96

Member
Sep 17, 2020
90
85
Habari za saa hizi ndugu zangu,

Aise! Maisha ni changamoto kubwa sana kwangu kwa sababu ya kukosa hata kodi ya nyumba. Nilikuwa nasoma chuo Dar es Salaam. Chuo nimemaliza natafuta kazi.

Elimu yangu: BA-ED (Bachelor of arts with Education). (Nimemaliza mwaka huu nasubiri transcript).

Masomo ya kufundishia: Kiingereza na Historia.

Niko tayari kufanya kazi hata masaa kumi na mbili kwa siku.

Niko tayari pia kufanya kazi hata nje ya mkoa.

Nitashkuru sana ombi langu litazingatiwa.
 
Je utaweza kufundisha kuanzia sa 12 alfjr mpaka 0.00 usku?
 
Kama utaweza mkuu anza biashara ndogondogo hapo dar ...uku unatuma maomb sehem mbali x2 unweza pata...msalimie mwapalile,sago,magoti,kahagwa,prof.njabili,briton,mwambapa,asheli,mganda,kifyasi,magan,na wengine wengine...bila kusahau anagisye kwenye ethics of teaching
Asante sana. Japo itabidi niingie deni tena ili nipate capital. Nawaza sana jinsi ya kupunguza idadi ya madeni niliyonayo.
 
Kama utaweza mkuu anza biashara ndogondogo hapo dar ...uku unatuma maomb sehem mbali x2 unweza pata...msalimie mwapalile,sago,magoti,kahagwa,prof.njabili,briton,mwambapa,asheli,mganda,kifyasi,magan,na wengine wengine...bila kusahau anagisye kwenye ethics of teaching
Magani Mzee wa Welfare state...
 
Dar kuna harakat nyingi sana, viwanda, hotel,

Shule zipo ila kupata kazi ni ngumu, changamoto ni nying sana, walimu kupata kazi ya kufundisha

Mimi naamin ni rahisi kupata kaz yenye pesa dar kuzid hata huo ualimu
Ndugu yangu kazi inaendana na elimu. Mimi elimu yangu ni ualimu. Unanishauri jambo gani ? Nifanye short course ?

Kuna jamaa mmoja kanambia tafuta pesa ujifunze short course itakupa ajira.
 
Nimesema nipo tayari kufanya kazi mpaka masaa 12. Hicho unachokizungumzia ni masaa 18. Masaa 18 kwa kweli na mimi binadamu ndugu yangu.
Ndugu yangu kazi inaendana na elimu. Mimi elimu yangu ni ualimu. Unanishauri jambo gani ? Nifanye short course ?

Kuna jamaa mmoja kanambia tafuta pesa ujifunze short course itakupa ajira.
Tatizo haujaeleza masomo unayofundisha ningemshawishi mshua akakuchomeka kwenye shule yake inaitwa WINAM CARIER. SEC W
IPO LAMADI MKOA WA SIMIYU , wilaya ya busega

sent from HUAWEI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom