ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wazee, watoto na wagonjwa Mkoani Geita na mikoa jirani washauriwa kufuatilia kuagwa kwa Rais Magufuli kupitia Vyombo vya Habari

    Wazee, Watoto na wagonjwa wa Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita na mikoa jirani wameshauriwa kuaga mwili wa hayati Rais John Magufuli kwa kufuatilia kwenye vyombo mbalimbali vya habari vinavyorusha mubashara badala ya kwenda uwanjani. Uamuzi huo unatokana na eneo la uwanja wa Magufuli ulipo wilayani...
  2. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda na Kenya ndio Ndugu na Marafiki wa kweli kwa Tanzania

    Kuna msemo wa Kiswahili usemao Rafiki/ Jirani wa kweli utamjua wakati wa shida. Tanzania imekua nchi ya kwanza kwa kuondokewa na Rais wake kipenzi aliyekuwa madarakani. DKT. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. Ukweli ktk msiba huu nimeamini Nchi za Kenya na Uganda ndio jirani na rafiki wa kweli wa...
  3. gango2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya ninyi ni ndugu zetu wa damu- tunashukuru kwa faraja zenu kwenye msiba wa Magufuli

    Kwa kweli Kenya na Tanzania ni nchi mbili marafiki sana na niseme ni kama ndugu: Naona toka msiba huu umetokea Kenya wanauchukua pia kama wao: Mambo yafuatayo yametoa faraja sana kwetu toka kenya 1. Rais Kenya kuhutubia taifa kuhusu msiba wa Rais wetu aliyetangulia mbele za haki Magufuli 2...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umenena vyema tuweke tofauti na chuki kando, Je waliopoteza ndugu zao na waliojeruhiwa unawasaidia vipi? Ulipaswa kusema neno

    Wanabodi ni wazi kabisa pamoja na kuwa tuko kwenye msiba mkubwa kitaifa lakini bado kuna tofauti kubwa na chuki ndani ya jamii yetu. Ni katika utawala wa awamu ya tano ile ngwe ya kwanza kulitokea sintofahamu ambazo kwa ujumla zilileta kilio na maumivu katika jamii yetu. Maana kuna watu...
  5. shalet

    JamiiForums Tanzania Usaliti wenye ulazima

    Habari ndugu zanguni, ni miaka mitatu sasa tangu niingie kwenye ndoa, toka mwanzo wa mahusiano na mke niligundua tabia ambayo sikuipenda ,mke wangu alikuwa bado anawasiliana na ndugu wa ex wake hasa dada zake na mamake yake yaani kwenye mambo ya kifamilia/sherehe watamshirkisha japo yeye na...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kama hospitali ikitoa siri za mgonjwa bila idhini yake au ndugu zake?

    Kwa mfano ikitokea nimelazwa kwenye hospitali na taarifa zangu za ugonjwa zitatolewa na mtu mwingine bila idhini yangu au ndugu zangu, sheria inasemaje kama nikitaka kudai haki yangu? Na international law inasemaje? Naomba waziri wa katiba anajibu, na waziri wa afya anajibu. Hatuwezi kuacha...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anatafuta kazi ya Udereva

    Wadau, ndugu yangu (mwanaume) anatafuta kazi ya udereva. Umri wake ni miaka 40. Elimu yake ni kidato Cha nne. Anayo leseni class C. Anao uzoefu wa miaka 15 akiendesha watu binafsi/mabosi/viongozi lakini pia magari makubwa ya masafa marefu. Makazi yake ni jijini Dar es Salaam akiwa na mke na...
  8. JOESKY

    JamiiForums Tanzania Ndugu wahandisi wa majengo na barabara, natafuta kazi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ndugu zangu niko hapa kuomba nafasi ya kuunganishwa mradi wowote wa ujenzi ili niweze kupata kazi ya kibarua sina taaluma ya uhandisi mimi ni mwalimu ila mambo yamekuwa magumu sana nisaidieni nipate kibarua. Kwa kifupi hali si nzuri naamini humu kuna...
  9. Malaika Gabrieli

    JamiiForums Tanzania Pole sana ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu ulilopewa na Rais

    Habari zenu wakulungwa wa JamiiForums Nachukua nafasi hii kumpa pole Ndugu Kimaro a.k.a Trump kwa jibu alilopewa na rais wetu wa JMT pale Mbezi wilaya ya Ubungo. Mimi Mangi niliyekulia Dar es Salaam bado nairudia rudia hii clip bila kujielewa! Hakika mitano tena.
  10. Anna pita

    JamiiForums Tanzania Wiki mbili naumwa homa kali sana

    Nina wiki 2 naumwa homa kali sana nimeenda hospitali 3 tofauti naambiwa sina maralia Wala uti wala typhoid, nilipewa tu pcm na amox sababu ya kikohozi. Leo siku 11 homa ikishuka kidogo inapanda tena natetemeka, nguvu Sina. Nikivuta hewa kwa ndani kifua kinauma na amox nimemaliza. Ni mjamzito...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Lushoto wapata dawa ya kinga ya Corona, mganga wa tiba mbadala ndugu Shaban ameseme wabunge wengi wameshakunywa!

    Mganga wa tiba mbadala ndugu Shabani wa Lushoto mkoani Tanga amesema amegundua dawa ya kinga ya Corona ambayo imewasaidia watu wengi mkoani Tanga. Shabani amesema dawa hiyo ni kinga kwa magonjwa yote ya mfumo wa kupumua na kwamba hadi sasa wabunge wengi wameshakwenda hapo Lushoto kunywa kikombe...
  12. The only

    JamiiForums Tanzania Tusisumbue ndugu zetu wenye uwezo Hali ngumu kwa Kila mtu

    Wakuu katika ujuzi wa uogeleaji ukiwa unataka kumuokoa mtu asiyejua kuogelea unatakiwa uniache Kwanza maji yamlegeze lasivo akikukamata hatokuachia mpaka mfe wote.maana we unakuwa tumaini la mwisho kwake. Hali Ni mbaya kabisa kwa uchumi wa mmoja mmoja asubuhi hii nimepigwa mizinga 7 ya watu...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo afariki dunia

    Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo amefariki dunia leo Jumanne Februari 23, 2020. Katibu mwenezi CCM mkoani humo, Mayunga George amethibitisha. Chanzo: Mwananchi
  14. T

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu: Chimbo la ubuyu ule unaouzwa Kariakoo

    Wakuu habari za muda huu,ni wapi naweza pata chimbo la ubuyu huu uliopikwa kabisa, wanaouza pale Kariakoo sokoni, ule sio ubuyu wa babu ISSA, Ila ukiwauliza wanasema ubuyu wa babu ISSA. Nimejaribu kwenda kuwauliza wanapochukua, lakini wamegoma kusema ,Ila wanataka wao ndio wakuuzie jumla. So...
  15. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Usijaribu kukaa na ndugu zako kwenye familia yako, utajuta!

    Sio kwamba nina roho mbaya, hapana. Ila nimeona niwaambie tu. Unapokuwa umeoa kaa na mkeo na watoto wako. Hayo mambo ya kujazana ndani sijui mjomba sijui kaka ako sijui bamdogo, hayafai. Trust me, hata Dada zako (mawifi) tena hao ndo hawafai. Nilipowaleta nyumbani watoto wa kaka zangu wawili...
  16. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Serious discussion: Kuna madhara yapi yatatokea endapo ndugu wa damu watazaa pamoja?

    Najua kuna tamaduni na pia dini ama imani zinapinga, ila siko hapa kuwa upande wa utandawazi na nitendelea kufuata tamaduni na dini lakini sijui sababu. Nachotaka ni maarifa kutoka kwa wakongwe Je, nani alishashuhudia haya, ilikuwaje? Mshana Jr na wengine tusaidie.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tuliopoteza wapendwa wetu, ndugu, jamaa, au marafiki kwa nimonia/changamoto ya upumuaji tukutane hapa tupeane hali halisi

    sio siri ndugu zangu huu ugonjwa unaua sana hasa watu walio na umri mkubwa, nimempoteza shangazi yangu na mpaka sasa tupo kwenye shughuli za mazishi, alilazwa ghafla, tukaambiwa ameshindwa kupumua na sasa hivi nina hofu sana familia yangu isiwe inatoka nje hovyo, niwe natoka mimi tu! wazazi...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania hampo kwenye vyuo bora ukanda huu. Kenya na Uganda zaongoza

    Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu. The University of Nairobi has been ranked the top...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Watanzania, mtaacha kuwa shamba la bibi lini? Watu wanapiga hela kupitia kila kitu chenu, hadi vinyonga

    Naona hizi taarifa jamaa amekamatwa na furushi la vinyonga alilokua anasafirisha kimagendo kutokea Tanzania kupitia Ethiopia, yaani huko nje vitu kama hivi ni dili la kupiga hela, ila wenzetu wa kusini wao wapo wapo tu. Mambo kama haya yangetendeka enzi za mababu ingeeleweka, ila yanatendeka leo...
  20. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma tamko la Wizara ya Afya kuhusu tukio la askari wa ulinzi SUMA – JKT kutuhumiwa kumpiga ndugu wa mgonjwa

    TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA WIZARA YA AFYA KUHUSU TUKIO LA ASKARI WA ULINZI SUMA – JKT KUTUHUMIWA KUMPIGA NDUGU WA MGONJWA
Back
Top Bottom