Ndugu yangu Mbowe, Mungu atakulipia yote

Terrible Teen

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
1,234
Reaction score
3,542
Salaam,

Kama kuna mwanasiasa ambaye amelipa gharama kubwa za kutetea upinzani hapa Nchini, basi Mbowe anaongoza kwa nyakati hizi. Tangu wakati wa Jakaya Mbowe ametumia sana rasilimali zake kuijenga CHADEMA, ameswekwa ndani na vipigo mara kwa mara.

Muhimu tu Jakaya alilinda UTU na alikuwa na ubinadamu wa kuheshimu sauti mbadala. Alivyoingia JPM amehakikisha Mbowe anafilisika, ameteua Ma DC vijana kule Hai ambao wametweza na kuharibu kila kitu cha Mbowe. Chuki ya Spika kwa Mbowe ilikuwa ya kutisha. Na sasa kama haitoshi, mizengwe ikafanyika na ubunge akashindwa.

Mbowe amelipa gharama kubwa za kuwa mpinzani kwa nchi hii. Sio mimi, sio wengi wetu tunaweza kuvumilia hayo. Ni wakumbushe watesi wa Mbowe kuwa Mungu yupo. Kila mmoja atalipiwa kwa kadri ya matendo yake. Namuombea sana Mbowe uvumilivu katika magumu mengi anayopitishwa.
 
Hakika Tanzania sio tamu tena. Naichukia sana. Kila nikimuona mwana CCM hata awe ndugu namchukia.

Bado kidogo naanza kuwachukia mpaka baadhi ya wanaoitwa watumishi wa Mungu. Nitaanza kuwasiliana na Mungu kivyangu. Na sadaka yangu nitaipeleka sehemu zingine kwa maelelezo ya Bible lakini sio huko tulikozoea.
 
Kuna muda unajiuliza mara mbili, dhambi ya MBOWE ni nini? ni kuwa CHADEMA tu ndio kumfanye aandamwe hivyo? kuna muda unajiuliza chuki ya Mkuu wa Nchi kwa upinzani inatokana na nini? kwa kweli hupati majibu. Tumwachie Mungu japo tuelewe DUNIANI tunapita tu.
 
JWTZ tuna jambo letu leo, upo maeneo gani ukiandamana.? Mana naskia leo nyie wapinzani mna jambo lenu
 
Hakika Tanzania sio tamu tena. Naichukia sana. Kila nikimuona mwana CCM hata awe ndugu namchukia.

Bado kidogo naanza kuwachukia mpaka baadhi ya wanaoitwa watumishi wa Mungu. Nitaanza kuwasiliana na Mungu kivyangu. Na sadaka yangu nitaipeleka sehemu zingine kwa maelelezo ya Bible lakini sio huko tulikozoea.
Unahitaji tiba ya kisaikolojia ya siasa.
 
Upo sahihi kabisa jamaa kapambana sana! Mbowe angekuwa mtu asiye jielewe CHADEMA ingekuwa imekufa kitambo sana hasa kwa huyu jiwe. huyu mtu ana roho mbaya sana.
 
Kuna muda unajiuliza mara mbili, dhambi ya MBOWE ni nini? ni kuwa CHADEMA tu ndio kumfanye aandamwe hivyo? kuna muda unajiuliza chuki ya Mkuu wa Nchi kwa upinzani inatokana na nini? kwa kweli hupati majibu. Tumwachie Mungu japo tuelewe DUNIANI tunapita tu.
Dhambi ya Mbowe ni kuangushwa na konyagi na kusingizia wasiojulikana
 
Kuna muda unajiuliza mara mbili, dhambi ya MBOWE ni nini? ni kuwa CHADEMA tu ndio kumfanye aandamwe hivyo? kuna muda unajiuliza chuki ya Mkuu wa Nchi kwa upinzani inatokana na nini? kwa kweli hupati majibu. Tumwachie Mungu japo tuelewe DUNIANI tunapita tu.
Kwasababu Watesi wake hawajawahi kishinda kwenye sanduku la kura. Pili msimamo wake dhidi ya Wanunuzi wa Wapinzani.
 
Hakika Tanzania sio tamu tena. Naichukia sana. Kila nikimuona mwana CCM hata awe ndugu namchukia.

Bado kidogo naanza kuwachukia mpaka baadhi ya wanaoitwa watumishi wa Mungu. Nitaanza kuwasiliana na Mungu kivyangu. Na sadaka yangu nitaipeleka sehemu zingine kwa maelelezo ya Bible lakini sio huko tulikozoea.
We mpaka leo unapeleka sadaka church?

Watu tushastuka kitamboo
 
Hakika Tanzania sio tamu tena. Naichukia sana. Kila nikimuona mwana CCM hata awe ndugu namchukia.

Bado kidogo naanza kuwachukia mpaka baadhi ya wanaoitwa watumishi wa Mungu. Nitaanza kuwasiliana na Mungu kivyangu. Na sadaka yangu nitaipeleka sehemu zingine kwa maelelezo ya Bible lakini sio huko tulikozoea.
Kwa ujinga huu na ubabe, tutaanza shuhudia hujuma za kimya kimya dhidi watawala.
Kijani hakitavalika mtaani.
 
Kwa nini msiwapiganie watolewe? Nyie watu mna tatizo la akili?
Mlikuwa mnasema humu hamtavumilia uhuni wowote, mtakiwasha na blah blah nyingi.
Amina, sambamba na Mbowe tunawaombea pia Lema na wengine wote waliokamatwa na kuwekwa mahabusu kipindi hiki hakika ni kigumu sana kwao,God will see you through our real comrades!! Watoto halisi wa Afrika,mliojaa uzalendo na damu ya upambanaji dhidi ya dhuluma za chama dola.
 
Kuna muda unajiuliza mara mbili, dhambi ya MBOWE ni nini? ni kuwa CHADEMA tu ndio kumfanye aandamwe hivyo? kuna muda unajiuliza chuki ya Mkuu wa Nchi kwa upinzani inatokana na nini? kwa kweli hupati majibu. Tumwachie Mungu japo tuelewe DUNIANI tunapita tu.
Kauli zao wapinzani hazina afya ya amani yetu, nchi yetu haijajengwa kwa kauli za chuki
 
Kuna muda unajiuliza mara mbili, dhambi ya MBOWE ni nini? ni kuwa CHADEMA tu ndio kumfanye aandamwe hivyo? kuna muda unajiuliza chuki ya Mkuu wa Nchi kwa upinzani inatokana na nini? kwa kweli hupati majibu. Tumwachie Mungu japo tuelewe DUNIANI tunapita tu.
Kwani msiende kuandamana?
 
Mungu amlipe zaidi y hapa....mabody guard wenye miwani mizito!
mbowe 2.jpg
 
Salaam,

Kama kuna mwanasiasa ambaye amelipa gharama kubwa za kutetea upinzani hapa Nchini, basi Mbowe anaongoza kwa nyakati hizi. Tangu wakati wa Jakaya Mbowe ametumia sana rasilimali zake kuijenga CHADEMA, ameswekwa ndani na vipigo mara kwa mara.

Muhimu tu Jakaya alilinda UTU na alikuwa na ubinadamu wa kuheshimu sauti mbadala. Alivyoingia JPM amehakikisha Mbowe anafilisika, ameteua Ma DC vijana kule Hai ambao wametweza na kuharibu kila kitu cha Mbowe. Chuki ya Spika kwa Mbowe ilikuwa ya kutisha. Na sasa kama haitoshi, mizengwe ikafanyika na ubunge akashindwa.

Mbowe amelipa gharama kubwa za kuwa mpinzani kwa nchi hii. Sio mimi, sio wengi wetu tunaweza kuvumilia hayo. Ni wakumbushe watesi wa Mbowe kuwa Mungu yupo. Kila mmoja atalipiwa kwa kadri ya matendo yake. Namuombea sana Mbowe uvumilivu katika magumu mengi anayopitishwa.
Siku zote tembea naplan B kupunguza risk ya kufail,ila tu hiyo ilikuwa ya mbowe ndugu wa Ben sana,mjane wa Anzory Gwanda n.k,usitegemee yatakuwa kwao daima huenda zamu yako imefika,tukichelewa kuchukuwa hatua tatizo inazidi kuwa kubwa.
Maandamano yanafaa baadhi ya sehemu kulingana aina ya mtawala baadhi ya sehemu siyo suluhu.Utawala wa habyarimana uliokuwa unawatweza watusi kuwaambia wetsuit kipindi kile waandamane ni kuwa ponza tu. Maana kulikuwa na jeshi polisi na wanamgambo intarahamwe ambao wanafanana na wale vijana wanaopewa mafunzo ya kimgambo na ccm.Jaribu kuona mbali fikiria na waliouwawa katika uchaguzi huu utajua we are into it.
 
Back
Top Bottom