ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 TUJADILI: Je, hotuba za mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu katika kampeni huwa anamtukana Mgombea Urais - CCM na Rais wa JMT ndugu Magufuli?

    Nimeanzisha mjadala huu baada ya tukio la jana huko Chato la msafara wa Mgombea Urais - CHADEMA ndugu Tundu Lissu kushambuliwa kwa mawe na wafuasi wa CCM mara baada ya kumaliza kuzungumza na wananchi katika mkutano wake wa kampeni. Kabla ya tukio hilo la Jana tulimwona yule ajiitaye...
  2. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Tuwe tu wakweli ndugu zangu, hivi Vitambulisho vya mjasiriamali hatujapigwa?

    Naanza kupata wasi wasi na hili zaidi ya 90% kuhusu hivi vitambulisho vya mjasiriamali. Kila nikitazama najiuliza ni vipi serikali yangu ilifanya haya na kwa manufaa ya nani? Naomba nijibiwe maswali haya tafadhali sana. 1. Kwanini hivi vitambulisho vinatolewa bila risi ya malipo? 2. Hizo pesa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche: Mgombea wetu wa ubunge Serengeti, Catherine Ruge na Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya, ndugu Garatwa, wamepigwa na polisi na kuchaniwa nguo

    Heche ameandika ujumbe huu katika akaunti yake ya twitter: Nimepokea taarifa kutoka Serengeti mgombea wetu mh. Catherine Ruge, Mwenyekiti wetu wa wilaya mh Francis Garatwa, na watu wengine waliokua ofisi ya Mkurugenzi kudai mabadiliko ya ratiba, wamevamiwa na polisi wamepigwa na kuchaniwa nguo...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wa CCM na CHADEMA waliokoma 2015 na walioibuka 2015 mpaka sasa

    Walikuwepo wafuasi wa CCM Kikwete akina FaizaFoxy , Undertaker et al hawa rasmi walikoma mwaka 2015 sababu zilizowafanya wakome kuwa watetezi wa CCM ni uongozi mpya uliokuja. Ulikuwa tofauti kiitikadi na wao. Wakaibuka akina Mmawia , Bia yetu Kawe Alumni jingalao n.k hawa nao wakajiambatanisha...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nukuu za Ndugu Humphrey Polepole Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Makongo Juu - Kinondoni

    NUKUU ZA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA HALMASHAURI KUU, ITIKADI NA UENEZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA KATA YA MAKONGO JUU - KINONDONI 11 Oktoba 2020 1. "Nataka ndani ya hizi siku 7, mafundi wa Dawasco wawepo hapa kumaliza tatizo la maji, wasipofanya hivyo Chama Cha Mapinduzi tutalala nao...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi? WANAOUNGA MKONO HOJA ya kuajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu wanadai ya kwamba, ndugu yako...
  7. FYATU

    JamiiForums Tanzania Je, Mume na Mke kushirikiana kwenye ugomvi wa ndugu wa upande mmoja ni Mapenzi au ni ukosefu tu wa maadili?.

    Unakuta Mume au Mke anahitilafiana na ndugu au hata Wazazi wake, lakini unakuta Mume au Mke bila kujali kama kosa ni la mwenza wake basi nae anaunga tela na kukosana na hao Wakwe/Shemeji zake. Hivi haiwezekani Mume au Mke kuonyesha msimamo tofauti haswa kama tatizo lililopo chanzo ni huyo...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa

    Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu. Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa...
  9. muneera75

    JamiiForums Tanzania Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

    Tabia ni kama mazoea ya mtu na kama inavyojulikana tabia ni ngozi. wewe mpaka ulipofikia hapo ni tabia gani huzipendi kwa watu na huna cha kufanya? Au ni tabia gani kutoka kwako huipendi na unajaribu kuiacha?
  10. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

    Naam, ni wakati muafaka kwa wana Kawe wote kusemezana kuhusu tarehe hii muhimu sana kwetu.. 👇👇👇
  11. BILGERT

    JamiiForums Tanzania Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

    Habari ya asubuhi wakuu.Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.Mimi nina umri wa miaka 33 na mke wangu ana umri wa miaka 31.Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto. Mimi na mke wangu,wote ni watumishi katika idara ya elimu ambapo mke wangu yupo...
  12. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ramadhani Ighondo, mgombea Ubunge Singida Kaskazini: Nitakuwa mkali kweli kwenye mambo ya maendeleo ya Jimbo letu

    Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika. Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye. Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

    Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976. Ni kampeni za kihistoria, karibu. ========== Updates; MIGORI, IRINGA LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu Polepole kitendo cha kusema hadharani kuwa Lissu "Siyo mwenzetu" na umepanga kumuanika siku saba za mwisho ni upuuzi mwingine katika siasa!

    Hizi siasa za kuchafuana utu kwa mambo ya kipuuzi, kumshushia mwenzako hadhi ya ubinadamu wake na huku ukijua alikotokea ni jambo la kipuuzi na linapaswa kukemewa hadharani. Hii inanifanya niamini kuwa hukumu za jana ndani ya mahakama ya Kisutu zilikusudiwa kupangwa kisiasa. Watanzania tunajua...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Lissu

    Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo. Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ndugu wananchi, epukeni watu wanaopita nyumba kwa nyumba na madaftari ya kuandikisha wapiga kura na kukusanya michango

    Niliona hii DSM na Sasa hivi naiona hapa Mwanza, wapo wanawake na vijana wanashona nguo za vyama vya siasa na kupita nyumba kwa nyumba wakidai wanasajili wapiga kura. Watu Hawa wanahitaji jina na namba ya kitambulisho cha mpiga kura. Ukishawapa wapa taarifa zako au ukiwanyima wanakugusia hoja ya...
  17. Superbug

    JamiiForums Tanzania Familia ya Ben na Azory unganeni muombe msaada wa Interpol kujua hatma ya ndugu zenu

    Hivi hizi familia zina hali gani mpaka sasa, je matumbo yaliyowazaa watu hawa na maziwa yaliyowanyonyesha yanajisikia vibaya kwa kiwango gani? Najaribu kuvaa viatu vya mama yake Ben na mke wa Azory. Nishauri utawala huu ukiondoka madarakani ndugu wote waliopotelewa na ndugu zao wajiorodheshe...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Jamii inayonizunguka inanipa mawazo sana ndugu zangu

    Habarini ndugu zangu, naombeni niwape mkasa wangu kidogo ili walio nizidi umri na wenye busara wanishauri kwenye ili ninalopitia, maana nina ongozwa na mawazo sana na nashindwa kuiona kesho yangu ilio bora Kwanza kabisa umri wangu ni miaka 30 kwa sasaivi, nimetokea katika familia ya ufukara...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Mgombea Ubunge wa Bukoba mjini kupitia CHADEMA ndugu Chief Karumuna: Bukoba yatikisika!

    Ni siku mbili tu baada ya Magufuli kutoka hapa!
  20. RUSTEM PASHA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kuzungumzia tozo kwa wajawazito Sumbawanga, ni kweli zipo ndugu zangu CCM au anadanganya?

    Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua. Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa kike. Je, nikweli juu yahaya ndugu zangu CCM, au Lissu anadanganya? Je, kama nikweli, kwanini tozo...
Back
Top Bottom