ndoa

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Tanganyika ilibakwa, muungano ni sawa na ndoa ya utotoni

    Wakili Mwakubusi amesema kuwa kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika ilibakwa, muungano ilikuwa ni ndoa ya utotoni. Amesema aina ya muungano uliopo sio muungano uliohitajika na watanganyika. Aidha amesema hoja za kuwamba anachochea ubaguzi hazina mantiki kwa kuwa mambo mengi...
  2. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Wanaume walalamika kurukishwa kichurachura ili wapewe tendo la ndoa

    WANAUME WALALAMIKA KURUKISHWA KICHURA CHURA ILI WAPEWE TENDO LA NDOA Baadhi ya wanaume wamelalamikia kunyanyaswa na wake zao kwa kupewa unyumba kwa masharti ikiwemo kuwataka kuruka kichura-chura kuzunguka kitanda ili kupewa haki Yao hiyo. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Mtaa wa Namkuku...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

    Wakuu, za siku nyingi? Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu. 1. Iringa 2. Mara 3. Shinyqnga 4. Mwanza 5. Kigoma 6. Simiyu 7. Geita. 8. Mbeya 9. Ruvuma 10. Njombe 11. Tabora 12...
  4. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  5. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Shairi: Kama hamtaki ndoa, Rudisheni Pesa Zangu

    Mlikubali wenyewe, bila mtutu kichwani, Mkaazimu nipewe, kwa udi na kwa ubani, Akasaini mwenyewe, kwa agizo la fulani, Kama hamtaki ndoa, rudisheni pesa zangu. Aliyeleta mzozo, ni mtoto mtukutu, Akavujisha uozo, ukafika hadi Mbutu, Wakatilia mkazo, wananzengo wenye utu, Kama hamtaki ndoa...
  6. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kutoka 21:10 huu ni uzinzi au ndoa ya mke zaidi ya moja ilikuwa halali?

    Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. Hata mitume na manabii wapo waliooa wake wengi, je walikuwa wanazini? Kinachofatwa ni maandiko au tamaduni za Ulaya ambazo ilibidi makanisa yalioanzishwa...
  7. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Magomvi kwenye ndoa huwapa nafasi kubwa mafisi

    Wake za watu wengi hupatwa na hili tatizo chamzo ni migogoro
  8. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa ndoa

    Habari, Natafuta mke, nipo serious. Umri ni miaka 29 mpaka 35. Dini: Mkristu na kabila lolote. Nina umri 36 na nimejiajiri pia. Karibu PM.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000 DC Mtatiro aingilia kati na kuvunja ndoa

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amevunja ndoa ya kinyemela ya kimila iliyokuwa imefungwa baina ya "Muddy Muuza Urembo" wa Tunduru Mjini na Binti aliyechaguliwa kujiunga na elimu ya Kidato cha Tano katika Shule ya Wasichana ya Masasi. DC Mtatiro ameongoza vyombo vya usalama kuwakamata...
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

    Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako. Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa...
  11. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi wanandoa wengi hawapendi kuvaa pete za ndoa?

    Kuna jambo linanitatiza sana maana nimefanya research kiasi nikuwa huko mikoani na hata nilipofika huku Dar hili nimeliona sana. Kwa mujibu wa utafiti wangu nilioufanya kwa kiasi toka miaka ya 2000 wanandoa wengi japo sio wote hawaonekani kuwa na pete za ndoa kwenye mikono yao, nilijaribu...
  12. Roca fella

    JamiiForums Tanzania Maisha na mahusiano ya mapenzi

    Habari za muda ndugu zangu watanzania. mada husika hapo inaeleza maisha na mahusiano ya mapenzi katika Karne hii ya 21, na kizazi kijacho kwa Karne ya baadae itakuwaje. kwa Sasa maisha kwa hapa Tanzania kwa asilimia 60% bado yanasua sua, asilimia 40% ni wale wapigaji wa fedha katika miradi na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu

    Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu, Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
  14. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya wake wengi iruhusiwe kwenye ukristo kuokoa kizazi cha wanawake ambao wanazeeka makanisani bila waume

    Ndoa ya wake wengi inahusu zaidi kumsitiri mwanamke awe na ndoa ajulikane ni mke wa fulani kuzidi mwanaume kuwa na wake wengi. Leo hii wanawake wengi wa kikristo ni kawaida kuwakuta wanazeekea makanisani huku wakiomba wapata waume kitu ambacho ni kigumu kwasababu wanaume tupo wachache na wenye...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

    Habari wana jamvi? Kama kichwa kinavyojieleza nimeanzisha thread hii ili itusaidie sisi kujua je hizi ndoto zinatofautiana au sawa kwa watu sawa au wanaoishi maeneo tofauti lakini zinakuwa na maana moja au ni tofauti? Andika ndoto yako ya usiku wa leo hata siku zijazo utakazoota hii...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa usawa huu bado kuna umuhimu au ulazima gani kufanya tendo la ndoa siku iliyofungwa ndoa?

    Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original (zipo za kutengeneza). Na hata hivyo mapenzi ya siku hizi ni shake well before use, Ebwana wee! watu...
  17. African Geek

    JamiiForums Tanzania Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  18. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Nabi na Yanga, ndoa iliyoisha kwa amani na miguno

    ITACHEKESHA kusema kwamba mmoja kati ya makocha waliodumu sana katika timu kubwa katika miaka ya karibuni hapa nchini hatimaye ameng’oka. Nassiredine Nabi. Anaweza kuwa amekaa misimu mitatu tu Yanga lakini kwa mpira wetu amekaa muda mrefu. Katika kipindi chake unadhani Simba na Azam wamepita...
  19. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni trading, ndoa ni contract, ndoa ni partnership. Wanawake wapo makini sana kujilinda wasipate hasara kwenye biashara /mkataba wa ndoa

    Hongereni sana wanawake. Ukweli mchungu kwa wanaume wote kwamba, Hawa viumbe wa kike hili game la TRADING are better off than men. NDOA NI MKATABA WA KISHERIA Marriage is a legally binding contract. What fool doesn’t want to know the other party’s strengths? Kabla hajasaini mkataba huo. Mara...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

    Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU. Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la...
Back
Top Bottom