Hivi kwa usawa huu bado kuna umuhimu au ulazima gani kufanya tendo la ndoa siku iliyofungwa ndoa?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original (zipo za kutengeneza).

Na hata hivyo mapenzi ya siku hizi ni shake well before use, Ebwana wee! watu wanatikisa kweli kweli mixer mcongo, sasa kuna kipya kipi usiku wa ndoa?
 
Shake well before use zoom
IMG_20220708_080356.jpg
 
Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original (zipo za kutengeneza).

Na hata hivyo mapenzi ya siku hizi ni shake well before use, Ebwana wee! watu wanatikisa kweli kweli mixer mcongo, sasa kuna kipya kipi usiku wa ndoa?
Sasa unakwenda honeymoon hotel ya maana mnakaa huko siku kadhaa sasa usile mzigo kwa nini?
 
Back
Top Bottom