Mkesha wa chako ni chako kesho Kawe kwa Mwamposa; Mungu atupe ndoa zenye upendo na amani member wa JF

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,153
Kesho ni mkesha wa chako ni chako Kawe kwa Mwamposa njoo na maombi yako 12 Mungu anakwenda kufungua yale yaliyo magumu maishani mwako.

Maombi yangu maalum kwa Mungu ..Tuwe na ndoa njema zenye furaha na amani hasa member wa JF

Najua wengi mnaogopa kuingia kutokana na hali ya sitonfahamu kwa walio na ndoa

Maombi yangu kwa Mungu mwaka huu uwe mwaka wa ndoa nyingi humu JF zenye furaha

Nasisitiza vijana msiogope ndoa n changamoto hata mngeoana kwenye sayari la maana

Mtangulizeni Mungu kwa kila jamboooooo....

Wewe dada mkaka wa JF andika hii tar Dec uje kunikumbuka nakuona uko na shella ya maana

Uko na suti ya maana ukiingia kansani na msikitini kutimiza ahadi ya Mungu

Na wale mlioachika msikate tamaaa rushen majina yenu inbox naenda kufunga na kuomba Mungu awape watu sahihiiii wenginr wana majini maha...Kuyajua ushaaingia mzigoni hapo jini subhia...Aanakusubiri...Isiwe kwako ktk jina la Yesu

Nawatakia 7-7 njema..
 
Mpwa sadaka tunatuma wapi?
ileeilee mpwaaa mwisho 22 tigo
55 airtell tuendeleze kazi ya bwana
Bwana asipojenga nchi waijengao wafanyakazi bure mpwaa join me tujenge tuondoeeee wagumbaa na wanaojiitaaa singlr kumbeee majini yawanawakamata wanaachika kwenye uchumba nasema kesho n mwishoo tunahitaji kuona wanandoaa wakiongezeka humu na kuzaaaa na kuzaliana ............
 
Mpwa keshooo tuma sadaka yako mapemaaa0784390053/
jina b.mwamposa mpwaaaaaaa tuuungane kusimamisha ufalme wa Mungu unaweza kuconfirm nao pia
chako kitakuwa chakoo watu wengi wanaishi maisha sio yaoooo watu wamechukuliwa nyota zaooo wanaishi kama misukule keshooo ndio keshoo mkuu baada ya maombi tunatoka na vyetu
 
Mpwaaa waache polisi wafanye kazi zingine jaman nikianzakuwa allert si tutjaza defender kama anakuja huyo zidi
kwikiwiwiwiwiwiww ashindweeeee alegee
 
Mi natamani niwashauri vijana kabla ya kuoa usikurupuke.Maisha nayo ishi sasa nichangamoto kubwa na lukuki mpaka zina pelekea kuzorotesha Afya Yangu.
Mke nilie oa amekua Shida na nimesha chuma nae mali kiasi za kuishi bila misukosuko na watoto nimezaa nae lakini nayo yapitia asee.Na hisi hata Mwamposa anaweza asitatue shidayangu.
Nakumuacha nashindwa maana ntaanzia wapi na watoto wale nilio zaa nae.
 
Back
Top Bottom