Ndoa ni trading, ndoa ni contract, ndoa ni partnership. Wanawake wapo makini sana kujilinda wasipate hasara kwenye biashara /mkataba wa ndoa

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,873
6,283
Hongereni sana wanawake. Ukweli mchungu kwa wanaume wote kwamba, Hawa viumbe wa kike hili game la TRADING are better off than men.

NDOA NI MKATABA WA KISHERIA
Marriage is a legally binding contract. What fool doesn’t want to know the other party’s strengths? Kabla hajasaini mkataba huo. Mara nyingi jibu kuhusi huyo fool anakuwa ni mwanaume.

Mwanamke anaweza kuwa Low Value woman, jobless, elimu yake ndogo, anatoka familia yenye matatizo kibao. Past yake mbovu, papuchi mileage imeenda, Ila kamwe hakubali ofa ya kuolewa na mwanaume ambaye ni average man ama low value man.

Yaani wanawake huwa wanacheki ku gain more value from marriage contract,I can see they're Trading low value for high value. How can you exchange cheap value for higher valuable.

Iam repeating ladies are better off of relationship TRADING contract.

Check urefu wake na urefu anaotaka mtu wake awe nao.

Check elimu na elimu ambayo anataka mtu wake awe nayo.

Check umri wake na umri amtakaye,

Check employment status na anayotaka from kwa mtu wake.

Na kwa kuhusiana na kids akapigilia msumari kabisa.

Yanani hakuna sehemu alipotaka kushuka kabisa yaani apate hasara.

Yaani narudi Tena Hawa viumbe hili game la TRADING are better off than men. Yaani by nature are risk averse occurred in marriage,so they Avoid them by analysing very carefully so that they can't incur loss at the future once they sign so called the contract of the future difference.

Yaani sie wanaume wengi huwa tunacheki uzuri amasuala la ngono tu Basi. Wanawake wote huwa wanacheki faida za hiyo ndoa kwanza.

Yani ladies huwa wanapiga hesabu za Probability kwanza, they know it naturally ili ku avoid risk or incur small loss/risk. They're risk manager by nature.

Wana calculate odds of Probability that favour their choices if it's around 75% wanakubali dili wanasaini contract ama anakuvulia chupi.
 
...ndoa ni ndoano.
 
Kuna ukweli hapa

Wanawake wengi wanaoitafuta sana ndoa ama Wanaopigania sana waolewe kwa ndoa wengi wao hutanguliza ubinafsi wao mbele, huwa- judge wanaume wanaokuja kuwachumbia Kwa kigezo cha Uchumi na hadhi zao badala ya kuangalia upendo wa wanaume wanaokuja kuwachumbia.
Hii huwafanya watumie muda mrefu na Wakati mwingine hufikia kuchanganyikiwa.
Kinachounda ndoa NI Upendo sio uchumi wa mwenza iwe Mwanamke au Mwanaume.
Upendo ndio huleta yote ndani ya Ndoa,
Lakini wanyonyaji kwao upendo sio lolote, wanaamini uchumi ndio upendo. Mwishowe wakiingia ndoani huona mambo yakiwa tofauti
 
Hongereni sana wanawake. Ukweli mchungu kwa wanaume wote kwamba, Hawa viumbe wa kike hili game la TRADING are better off than men.

NDOA NI MKATABA WA KISHERIA
Marriage is a legally binding contract. What fool doesn’t want to know the other party’s strengths? Kabla hajasaini mkataba huo. Mara nyingi jibu kuhusi huyo fool anakuwa ni mwanaume.

Mwanamke anaweza kuwa Low Value woman, jobless, elimu yake ndogo, anatoka familia yenye matatizo kibao. Past yake mbovu, papuchi mileage imeenda, Ila kamwe hakubali ofa ya kuolewa na mwanaume ambaye ni average man ama low value man.

Yaani wanawake huwa wanacheki ku gain more value from marriage contract,I can see they're Trading low value for high value. How can you exchange cheap value for higher valuable.

Iam repeating ladies are better off of relationship TRADING contract.

Check urefu wake na urefu anaotaka mtu wake awe nao.

Check elimu na elimu ambayo anataka mtu wake awe nayo.

Check umri wake na umri amtakaye,

Check employment status na anayotaka from kwa mtu wake.

Na kwa kuhusiana na kids akapigilia msumari kabisa.

Yanani hakuna sehemu alipotaka kushuka kabisa yaani apate hasara.

Yaani narudi Tena Hawa viumbe hili game la TRADING are better off than men. Yaani by nature are risk averse occurred in marriage,so they Avoid them by analysing very carefully so that they can't incur loss at the future once they sign so called the contract of the future difference.

Yaani sie wanaume wengi huwa tunacheki uzuri amasuala la ngono tu Basi. Wanawake wote huwa wanacheki faida za hiyo ndoa kwanza.

Yani ladies huwa wanapiga hesabu za Probability kwanza, they know it naturally ili ku avoid risk or incur small loss/risk. They're risk manager by nature.

Wana calculate odds of Probability that favour their choices if it's around 75% wanakubali dili wanasaini contract ama anakuvulia chupi.
Hii ni applicable Africa tu, first world hakuna huu ujinga.

Labda kilichowasaidia wenzetu kila mwenye uwezo wa kufanya kazi basi hakosi ajira, na kuonesha wote mpo committed na ndoa mnakuwa na joint account, transaction zote mnaziona wote Wawili.
 
Hongereni sana wanawake. Ukweli mchungu kwa wanaume wote kwamba, Hawa viumbe wa kike hili game la TRADING are better off than men.

NDOA NI MKATABA WA KISHERIA
Marriage is a legally binding contract. What fool doesn’t want to know the other party’s strengths? Kabla hajasaini mkataba huo. Mara nyingi jibu kuhusi huyo fool anakuwa ni mwanaume.

Mwanamke anaweza kuwa Low Value woman, jobless, elimu yake ndogo, anatoka familia yenye matatizo kibao. Past yake mbovu, papuchi mileage imeenda, Ila kamwe hakubali ofa ya kuolewa na mwanaume ambaye ni average man ama low value man.

Yaani wanawake huwa wanacheki ku gain more value from marriage contract,I can see they're Trading low value for high value. How can you exchange cheap value for higher valuable.

Iam repeating ladies are better off of relationship TRADING contract.

Check urefu wake na urefu anaotaka mtu wake awe nao.

Check elimu na elimu ambayo anataka mtu wake awe nayo.

Check umri wake na umri amtakaye,

Check employment status na anayotaka from kwa mtu wake.

Na kwa kuhusiana na kids akapigilia msumari kabisa.

Yanani hakuna sehemu alipotaka kushuka kabisa yaani apate hasara.

Yaani narudi Tena Hawa viumbe hili game la TRADING are better off than men. Yaani by nature are risk averse occurred in marriage,so they Avoid them by analysing very carefully so that they can't incur loss at the future once they sign so called the contract of the future difference.

Yaani sie wanaume wengi huwa tunacheki uzuri amasuala la ngono tu Basi. Wanawake wote huwa wanacheki faida za hiyo ndoa kwanza.

Yani ladies huwa wanapiga hesabu za Probability kwanza, they know it naturally ili ku avoid risk or incur small loss/risk. They're risk manager by nature.

Wana calculate odds of Probability that favour their choices if it's around 75% wanakubali dili wanasaini contract ama anakuvulia chupi.
Huu ni ukweli mchungu na wanaume wengi wanadondokea wazima wazima.
 
Back
Top Bottom