ndoa

  1. F

    JamiiForums Tanzania Shirika la Wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa limesajiliwa kwa sheria gani? Video yao imenifanya niogope Ndoa

    Habari wadau. Kupitia Leo tena ya clouds FM imenifanya nilijue shirika la wanaume wanaopitia changamoto kwenye ndoa. Nikakutana na video ya maelezo ya wanachama wao. Baada ya kuitazama hiyo video, nimecheka sana na kidogo Nimewaelewa wale wanaume wa humu jamiiforums wanaosema Kataa ndoa...
  2. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa tunalolifanya kabla ya kufunga ndoa

    Nimejaribu kutafakari ni kwanini kasi ya kupeana talaka na migogoro ya kwenye ndoa imeongezeka mara dufu katika zama hizi kuliko kipindi chochote kile na nilichokibaini ni kwamba kuna mahali tunakosea. Ikumbukwe kuwa watu wanapoamua kuishi pamoja kama mke na mume au kufunga ndoa ni moja ya...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo ndoa za kiserikali, sasa ni muda serikali ije na utaratibu wa Mazishi ya Kiserikali

    Hizi ni dini za mchongo zilizojaa unafiki na utapeli, zimekuwa zikimantain wafuasi wake kwa kuwajengea hofu ya kutokuswaliwa pindi watakapokufa. Tumeona hili limekuwa likileta sitofahamu kubwa sana kwenye jamii pale ambapo kiongozi wa dini kwa makusudi kabisa anakataa kumfanya ibada ya msiba...
  4. JamiiForums Tanzania Zijue style na access zake, usalama wakati wa tendo la ndoa

    Hizi hapa Angalizo ni kwa walio kwenye Ndoa Tuu
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Aliyekuwa Padri wa Kanisa Katoliki afunga ndoa baada ya kujitenga

    Father Edwin Gathang’i Waiguru spoke to the media after Sunday's ceremony Kenyan Catholic priest marries after joining splinter group An ordained Kenyan Catholic priest has taken the unusual step of getting married. In the Catholic tradition, priests are supposed to commit to a life of...
  6. JamiiForums Tanzania Sofia Mjema kushauri ndoa za utotoni

    Leo 22-10-2023 Serikali imetengua nafasi ya Katibu uenezi wa CCM -Sophia Mjema ambaye hajadumu hata kwa miezi 3 kutokana na kupwaya sana na baada ya nafasi ya kumuweka kukosekana imetengenezwa nafasi ya kuwa mshauri wa Raisi mambo ya wanawake na watoto; Serikali imesaini mkataba waDP World na...
  7. JamiiForums Tanzania Watoto waliozaliwa nje ya ndoa wana haki ya kurithi

    KESI NYINGINE AMBAYO MAHAKAMA ILISEMA WATOTO WALIOZALIWA NJE YA NDOA WANA HAKI YA KURITHI: Leo tunasoma kesi ya ELIZABETH MOHAMED v. ADOLF JOHN MAGESA ADMINISTRATION APPEAL (RUFAA YA MIRATHI) NO.14 OF 2011 Haya ni baadhi ya maswali machache ambayo utapata majibu yake ndani ya hii kesi.👇 1...
  8. JamiiForums Tanzania Nina mwaka wa sita sijavaa pete ya ndoa, je ni kosa?

    Kutokana na changamoto ya kunenepa vidole, imepelekea pete zetu kuwa ndogo, na kuonekana kama adhabu pale tunapo zivaa. Kwa upande wangu, ni mwaka wa sita huu huwa sivai pete ya ndoa zaidi ya kuishi katika maadili ya ndoa tu. Hii imepelekea wadada kujipitisha pitisha, wakiamini nipo singo; na...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au...
  10. JamiiForums Tanzania Uchoyo kwenye Ndoa, Mkeo na watoto wamekondeana alafu wewe umenawiri

    UCHOYO KWENYE NDOA, MKEO NA WATOTO WAMEKONDEANA ALAFU WEWE UMENAWIRI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati nakua Wazee wangu walitupiga marufuku kula bingo. Bingo ñi chakula ambacho vijana wanachanga pesa kisha wanaenda kukipika, inaweza kuwa Nguna(ugali) na samaki au nyama yenye...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la Ndoa SI kukosekana Kwa Upendo Bali kukosekana Urafiki baina ya wanandoa.

    Baada ya Salam. Hebu Leo tuangalie nafasi ya Urafiki katika ndoa maana wengi hujikuta tunaoa au kuolewa Kwa sababu tofauti. -Kuna wanaolewa/kuoa sababu ya Mali au umaarufu -Kuolewa-kuoa baada ya mistake ya mimba -Kuolewa-kuoa sababu ya umri kuwa mkubwa au umri wa kuolewa kufika -Kuolewa-kuoa...
  12. JamiiForums Tanzania Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Habari wana JF. Nina ndugu yangu mmoja upande wa mama, yeye KE. Miaka kama 10 hivi iliyopita alikuwa na mahusiano na Jamaa mmoja hivi, walikaa muda tuu mpaka mahusiano yao yakazaa mtoto. Lakini baada ya kujifungua Jamaa alimkwepa sister. Si unajua wanaume kwa kukimbia watoto wapo. Jamaa akawa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Lengo la kuvaa pete ya ndoa ni nini wakati ndoa ni yako binafsi?

    Ni utamduni uliozoeleka na bila shaka ni wa kimagharibi zaidi ingawa uko dunia nzima. Swali ni je, kwanini uonyeshe kuwa umeoa au umeolewa? Kuna mahala watu hatambulika kwa ndoa? Kama ni kulinda ndoa, ndio iwe kwa kuvaa pete? Je, hii si mbinu ya kulazimisha watu kuheshimu ndoa? Mfungwa...
  14. JamiiForums Tanzania Muda wa kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua

    1. Hili ni tatizo ambalo linawapata wanawake wengi ambapo hawajui ni mda gani na wakati gani waanze kufanya tendo la ndoa baada ya kujifungua, wengine wanakaa mda mrefu wengine mfupi ila kadri ya wataalamu wanashuri kuwa Mama anaweza kuanza kufanya tendo la ndoa baada ya wiki sita au siku...
  15. JamiiForums Tanzania Tusilaumu mabinti wanaokwepa wanaume maskini, ndoa za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, upo tayar binti yenu aolewe na maskini?

    Walengwa ni mabinti wenye soko kubwa chini ya miaka 28 Kwa ulaya na Marekani mambo ya kuhusisha familia hayana uzito, hata binti aolewe na kapuku hayo ni maamuzi yake na atapewa kila baraka. Shida inakuja kwetu Afrika 1.familia ya binti ipo vizuri kiuchumi, binti, kaka, dada na wadogo zake...
  16. JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

    Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja. Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Anglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kumuingiza...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini tunavaa pete ya ndoa mkono wa kushoto?

    Habari zenu wanaJF na hongereni na majukumu ya kuendeleza taifa hili. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, nimekuwa nikitatizwa na hili swali kichwani na nimejaribu kuuliza watu mbalimbali hasa Wakristo waliooa, majibu niliyopata mpaka sasa kusema kweli hayajaniridhisha kwani inaonekana watu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania MREJESHO; Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Habari wanajf. Nilileta uzi hapa kuhusu rafiki yangu mmoja ambaye alizaa nje watoto 2. Na mkewe alizaa nae watoto wawili. Thread 'Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?' Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi? Alipata kigugumizi kuhusu mali...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa kawaida kwa vijana wa kikristo kuwa wazinzi waliokubuhu kwa kuwa na watoto na mahusiano lakini wanachelewa ama hawataki kuoa ?

    Ndoa za kiafrika na za kiislam, vijana wengi wakifika miaka 22 wanaanza kuoa. Kijana wa kikristo ana miaka 30, ana mtoto wa nje ya ndoa na yupo kwenye mahusiano na mwanamke anaemgharamia na pengine kuishi nae lakini hataki kuoa ?? Kwanini uzinzi umezoeleka sana kiasi hiki ??
  20. JamiiForums Tanzania Kimbieni ndoa Kwa wasi na ndoa tunakoelekea !!

    Haya sasa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…