Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,417
Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti .
Vigezo
Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary
Umri kuanzia 20 hadi 34

Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority

Awe mrefu asiye muathilika .

Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa pwani sijui lindi mtwara na mzqnzibar ndo hata asikoment

Wasukuma.wachaga.wajita wakerewe wakurya wakinga .wabena .watapewa kipaumbele

Asiwe mzuri kupitiliza awe kawaida lengo ni uzazi sio kupendana .weusi watapewa nafasi zaidi.

Walemavu watapewa upendeleo.

Masharti akipita hatua hiyo
1.kupimwa afya na dr wangu

2.tutakutana kwa lengo la uzazi akiwa siku zake tuu pia kama ana mpenzi wake anaruhusiwa kuendelea nae

3.tutatoka sana out ili tujenge bond ya kuwa washkaji nia ni kujiandaa kuwa wazazi bora kwa wanetu.

4.nitamtambulisha kwetu kama mpenxi wangu ila sitatambulishwa kwao hadi azae

5.zoez litaanza mwez wa kwanza baada ya kupata ujauzito kwa mujibu wa daktari wangu bili za kuishi zinakuwa zangu ntamlipia kodi chakula vipodozi yeye kama yeye tutaelewana tu

Mengine siweki hapa ila ntamuhakikishiq kuwa na kipato chake kizuri .
Asanteni.
 
Hela huna, unatoa masharti km vile wewe ni King Mswati.....
Acha kushinda JF kuandika ujinga ...tafuta hela Son.
Jf bwana michoko imejaa utafir.. sasa mm natafuta wanawake we unasogeza kalio .hela utaipimaje kwa kuita watu usio wajua son .kampuni ikitangaza kazi ikatoanvigezo watahiniwa pia huwa wanaenda kuikagua kama inamatarajio yao ikiwemo mshahara hebu acha kutamani kuwa mwanamke
 
Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti .
Vigezo
Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary
Umri kuanzia 20 hadi 34

Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority

Awe mrefu asiye muathilika .

Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa pwani sijui lindi mtwara na mzqnzibar ndo hata asikoment

Wasukuma.wachaga.wajita wakerewe wakurya wakinga .wabena .watapewa kipaumbele

Asiwe mzuri kupitiliza awe kawaida lengo ni uzazi sio kupendana .weusi watapewa nafasi zaidi.

Walemavu watapewa upendeleo.

Masharti akipita hatua hiyo
1.kupimwa afya na dr wangu

2.tutakutana kwa lengo la uzazi akiwa siku zake tuu pia kama ana mpenzi wake anaruhusiwa kuendelea nae

3.tutatoka sana out ili tujenge bond ya kuwa washkaji nia ni kujiandaa kuwa wazazi bora kwa wanetu.

4.nitamtambulisha kwetu kama mpenxi wangu ila sitatambulishwa kwao hadi azae

5.zoez litaanza mwez wa kwanza baada ya kupata ujauzito kwa mujibu wa daktari wangu bili za kuishi zinakuwa zangu ntamlipia kodi chakula vipodozi yeye kama yeye tutaelewana tu

Mengine siweki hapa ila ntamuhakikishiq kuwa na kipato chake kizuri .
Asanteni.
Fanya uzae wakwako awe mwenye sifa hizo umuoe

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
We ni mwehu km wehu wengine, ungetafuta jukwaa lenu. We ni mhutu au mtutsi? Lilofa tu wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom